Nadhani
Captain Marvelous Arne anatofautiana Kiasi na KLOPP Kwenye
Umiliki wa Mpira. Moja ya Changamoto za Msimu Huu kwa KLOPP imekuwa kufungua timu za Low Block.
KLOPP anakuwa na Ubora wake akicheza TRANSITION BASED Game, kuna namna Msimu huu Liverpool Imeadapt Mpira wa Tupasi pasi twa Hovyo kitu ambacho huezi kiona 🎅 a kw kina
Mane, Bobby & Salah. Hawa ilikuwa
One~two tukimbie.
ARNE anapenda Inverted FB's kitu ambacho KLOPP ameleta kwa TAA ila hakijawa na Matunda kama wakati anawatumia kama
Marauding FB's yeye na ROBBO kupiga Krosi. ARNE Inverted wanaongeza Idadi kwenye Build Up na Mara nyingi wanatengeneza Box. KLOPP Mara nyingi Holding wake alikuwa anashuka chini kama Option namba 1 ya Pasi toka kwa GK. FABBY Aliitendea haki hii sehem, Alcantara Klopp alihisi ni Upgrade ila ikawa tofauti.
Kama anakuja
ARNE sitashangaa kuhusishwa haya Majinaa
Geetruida, Hanco, Wieffer na Captain wake wa zamani Aulkmaar
Teuuuun u.