Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mpira hauko hivyo, hao Westham wanaweza kuifunga City na hao wengine hata sare wanaweza toa na Man City. Halafu pia Arsenal mwaka huu wapo serious sanaa na hili kombe
Kwamba mpira haupo hivyo wa kufungwa awe ni city tu na sio arsenal? Kama ni hivyo kombe si lingeshakuwa letu mda?

Mpira ni dakika 90 uwanjani mkuu, hii EPL mpaka mechi ya mwisho ndio tutajua bingwa nani.
 
Liverpool last 4weeks:

Lost at home to Atalanta❌
Lost at home to Crystal Palace❌
Knocked out of Europa League❌
Lost at Everton❌
Sasa hv wahuni wanakugonga hapo hapo nyumbani kwako mbele ya watoto na mke wako 😂
 
Anakandwa vzuri tu na Brighton...tumeshaanua mkeka pale goodison Park sasa tunaelekea American express stadium kuweka makao pale🤠🤠...ni mwendo wa kuwanga mpk kieleweke
Mm kama friends of brighton tupo tayari kwa kipigo
 
Hao wote vibonde kwa arsenal
Hakuna wa kumzuia
Sema tu city apiteze japo moja au draw tu inatosha, anazidiwa magoli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…