Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Baada ya sisi kuondolewa kwenye mbio za ubingwa kuanzia sasa nasimama na Arsenal.
Sababu zangu ni
1. Kwa msimu wa pili sasa wamepambana sana kuupata ubingwa. Wanafail kizembe.
2. Kusimamisha ubabe wa city kuendelea kuitawala epl.
3.
Hiyo ya 3 tujaze sisi wasomaji, ama?
 
Brighton kwa kweli afanye kitu pale kwake auonyeshe ulimwengu kwa nini alikuwa hajafungwa pale tangu Agosti, kabla ya Asenali kufika pale na kumpiga 3-0.
Narudia tena...mechi ya jana niliipa nickname ya ugomvi wa mawe🤠🤠..na kuna watu jambo baya limewakuta...leo ni mambo ya shotokan au kodachi miksa mikareti ya shivo....De Zerbi lazima ang'ang'anie shingo ya Guardiola leo🤠🤠
 
Baada ya sisi kuondolewa kwenye mbio za ubingwa kuanzia sasa nasimama na Arsenal.
Sababu zangu ni
1. Kwa msimu wa pili sasa wamepambana sana kuupata ubingwa. Wanafail kizembe.
2. Kusimamisha ubabe wa city kuendelea kuitawala epl.
3.
Una akili sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…