Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hiyo Tradition way ndio imesababisha hata makombe yakauke, mtu kama klopp alitakiwa awe alishatimuliwa kitambo
Klopp ana mapungufu yake ana huruma sana mpaka anapitiliza na dhahiri tangu mechi ya Manchester United ameshaishiwa mbinu ukiangalia upangaji wa kikosi, anavyo fanya sub utaona ni dhahiri ana fear syndrome ya kuboronga jambo ambalo sio msimu huu tu yashamkuta sana tu huko nyuma...

Wakati sahihi wa yeye kuodoka ni sasa ndugu na anatuacha pazuri tu sio tena kusaka top 4 mbali kusaka ubingwa..
Anatuacha pazuri kuliko alipotukuta aisee nampa maua yake kwa hilo maana alikuta mediocre team akaweka mfumo ambao umetuweka tulipo jambo alikuja kujiona yeye ni zaidi ya klabu akaanza kuingilia majukumu ya wengine na mwishowe sasa amechoka ameishiwa ameomba apumzike nakumbaliana nae apumzike tuanze upya tukiwa na misingi imara na mfumo imara anatuacha tukiwa pamoja kama klabu.
Amejaribu sana lakini ndio anaishia hapa kuchelewa kwake mapema kukumbaliana na Edwards kumetufikisha tulipo.

YNWA
 
We spent 94 million £ on Nunez instead of building schools, hospitals, foodbanks etc
20240425_020418.jpg
 
Baada ya sisi kuondolewa kwenye mbio za ubingwa kuanzia sasa nasimama na Arsenal.
Sababu zangu ni
1. Kwa msimu wa pili sasa wamepambana sana kuupata ubingwa. Wanafail kizembe.
2. Kusimamisha ubabe wa city kuendelea kuitawala epl.
3.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Broo stress za Liverpool hazijakutosha unataka ujibebeshe na stress za hawa mafalse hopes?
Hawa Arsenyau walishindwa kubeba kombe msimu ulioisha wakati waliongoza ligi kwa siku 258, zimebaki mechi 8 kumalizika ligi wao wanaongoza kwa points8 dhidi ya City, imebaki mechi moja ya ligi Arsenyau wako points8 nyuma ya City[emoji16][emoji16][emoji16]
Kweli nimeamini kuna watu hua hawapendi kabisa kuishi kwa furaha hapa duniani[emoji23][emoji23][emoji23]
1713782188650.jpg
 
Liverkuku acheni kula kande kwenye safar ndefu bus linasimama watu wachimbe dawa nyie mnaenda haja kubwa...kuchimba dawa porini ni kwenda kukojoa tu hapo nyuma ya gar tukutane mwakani ndugu zetu
#coyg
 
Hili kombe achukue arsenal tu
Akichukua mwasiti itakuwa ni upuuzi wa kiwango cha ajabu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Una uhakika hawa Chuchunge wakichukua kombe mtasalimika humu?
Mimi kila nikiwaza ufidhuli wao naona bora tu Epl ionekane ni Farmers league kwa City kujibebea kombe kila msimu.
Hio shida tuliyopata walivyobeba ngao tu ya hisani, sijui itakuaje hawa Chuchunge wakibahatisha kubeba Epl.
Hebu angalia hapa chini huu ufidhuli wanaowafanyia, na hapa bado hawajebeba kombe halafu fikiria wakibeba kombe hali itakuwaje[emoji16][emoji16][emoji16]
1714033462065.jpg
 
😂😂😂😂😂
Hapa tu wanatusumbua utadhani wameshabeba ligi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Una uhakika hawa Chuchunge wakichukua kombe mtasalimika humu?
Mimi kila nikiwaza ufidhuli wao naona bora tu Epl ionekane ni Farmers league kwa City kujibebea kombe kila msimu.
Hio shida tuliyopata walivyobeba ngao tu ya hisani, sijui itakuaje hawa Chuchunge wakibahatisha kubeba Epl.
Hebu angalia hapa chini huu ufidhuli wanaowafanyia, na hapa bado hawajebeba kombe halafu fikiria wakibeba kombe hali itakuwaje[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2973462
 
sijui yule mrembo wa liva anajisikiaje kwasasa
kuna timu zinajua kuharibu mood za watu
kwasasa klop anaonekana ndezi tu,wanaona bora ya baba ubaya
"Kwa sasa Klopp anaonekana ndezi tu, wanaona bora hata Baba Ubaya"
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] We Arsenyau unakera na kufurahisha kwa wakati mmoja.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa tu wanatusumbua utadhani wameshabeba ligi
[emoji16][emoji16][emoji16] Hawa sio wa kuwaombea wapate hata bilauri achana na hilo kombe la Epl.
Kama unawahurumia sana ni bora uwaombee wapate mimba ili msimu huu wasitoke mikono mitupu[emoji38][emoji38][emoji38]
 
[emoji16][emoji16][emoji16] Hawa sio wa kuwaombea wapate hata bilauri achana na hilo kombe la Epl.
Kama unawahurumia sana ni bora uwaombee wapate hata mimba ili msimu huu wasitoke mikono mitupu[emoji38][emoji38][emoji38]
😂😂😂😂😂😂
City akichukua ligi itapoteza mvuto

Acha tu wachukue hata kama watatusumbua.
Halafu wasipochukua nitawaonea huruma sana,mpira mzuri wacheze wao halafu watoke mikono mikavu
Heri sisi tuna koroboi mkononi.
 
sijui yule mrembo wa liva anajisikiaje kwasasa
kuna timu zinajua kuharibu mood za watu
kwasasa klop anaonekana ndezi tu,wanaona bora ya baba ubaya
Klopp bado ni kocha mzuri
Na hadi sasa tayari ndiye kocha mwenye kombe mkononi.

Baba ubaya ana kombe gani la msimu huu?
 
Back
Top Bottom