Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
Klopp ana mapungufu yake ana huruma sana mpaka anapitiliza na dhahiri tangu mechi ya Manchester United ameshaishiwa mbinu ukiangalia upangaji wa kikosi, anavyo fanya sub utaona ni dhahiri ana fear syndrome ya kuboronga jambo ambalo sio msimu huu tu yashamkuta sana tu huko nyuma...Hiyo Tradition way ndio imesababisha hata makombe yakauke, mtu kama klopp alitakiwa awe alishatimuliwa kitambo
Wakati sahihi wa yeye kuodoka ni sasa ndugu na anatuacha pazuri tu sio tena kusaka top 4 mbali kusaka ubingwa..
Anatuacha pazuri kuliko alipotukuta aisee nampa maua yake kwa hilo maana alikuta mediocre team akaweka mfumo ambao umetuweka tulipo jambo alikuja kujiona yeye ni zaidi ya klabu akaanza kuingilia majukumu ya wengine na mwishowe sasa amechoka ameishiwa ameomba apumzike nakumbaliana nae apumzike tuanze upya tukiwa na misingi imara na mfumo imara anatuacha tukiwa pamoja kama klabu.
Amejaribu sana lakini ndio anaishia hapa kuchelewa kwake mapema kukumbaliana na Edwards kumetufikisha tulipo.
YNWA