Kipara anachozizidi timu zote, ni jinsi ya kushinda mechi zake zote au karibu zote za mwisho wa msimu.Kwisa habari yetu! Tumeishia kuongoza ligi muda mrefu na kutoka mikono mitupu! Mchuano tumewaachia Arsenal na Man City! Tukutane msimu ujao👋👋
Amefeli tena dakika za mwisho!Klopp is in deed specialist in failure
Ndezi pale nyuma zinakabia macho tu!
Oh!! Ila ndio zimejazana kwenye kabati lenu pale Emirates au naongopa?Hilo ni Mickey Mouse cup. No?
Mambo yashafika mwishoni ndio kila kitu kinavurugika."what you want me to do ,you disrespect me I disrespect you ,no way" Salah akimchana klop mbele ya camera [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2975359
Westham sio wakutugombanisha kabisa 🤔 hali ni tete"what you want me to do ,you disrespect me I disrespect you ,no way" Salah akimchana klop mbele ya camera [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2975359
I saw exchange of words between Klopp and SalahDressing room imevurugika .
Guardiola nimemuwekea makasiriko najikuta naumia mwenyewe kila msimu mwamba anachukua ndoo kilaini dakika za majeruh DahTurudi tujipange tena kwa msimu ujao! Guardiola bingwa tena!
Salah mzee wa kununa anagombana nn sasa na Mwalimu....hii sijawahi kuona....wanagombana hadharani badala ya vyumbani hukoDressing room imevurugika .
Egyptian king amemkosea adabu mwalimu...hyo ni dharau ya hali ya juu....ale benchi mechi zte zilizobqkiDaah 😟
Na bado hujasema ,mpaka useme [emoji23][emoji23][emoji23]Guardiola nimemuwekea makasiriko najikuta naumia mwenyewe kila msimu mwamba anachukua ndoo kilaini dakika za majeruh Dah
Warabu na Ego.Salah mzee wa kununa anagombana nn sasa na Mwalimu....hii sijawahi kuona....wanagombana hadharani badala ya vyumbani huko
WellKlopp : "We have four games to go, 12 points to get. If you ask me, I want them all." 🗣️
Jürgen Klopp previews #WHULIV and the remainder of the season: Jürgen Klopp press conference: 'There are 12 points to get and I want them all' - Liverpool FC