Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Epl is so demanding once you reach the other side of 30 muhimu ni mkatabta mmoja wakati anaadaliwa heir yanki yanki lakin ilivyo Liverpool kutokana na ufinyu wa bajeti hio hua ngumu... Hapa dawa ni ikitokea ofa ya maana itakua jambo njema wachukue ela ni ku reinvest klabuni ili tupate 1 DM, 1 CB anaetumia mguu wa kushoto, 1 RW, 1 RB upcoming, hapo bwana Slot atakua na kikosi cha kazi kazi.

YNWA
 
Salah haondoki
Hela za kununua hao watu wapya club inazo mbona..itoe tu
Nadhani sasa wamejifunza kama ubahili siyo jambo zuri.
YNWA[emoji3590]
 
Hata akiondoka sawa tu hamna kipya atachoipa club ameshazeeka inaitajika damu changa
Hata damu changa nao wanapuyanga tu
Akina Nunez wamepuyanga

Akina Jota ndio hao wanashinda wodini muda wote
Ndio hapo umuhimu wa Salah unaonekana,hana majeruhi ya mara kwa mara na ya muda mrefu.
 
Salah haondoki
Hela za kununua hao watu wapya club inazo mbona..itoe tu
Nadhani sasa wamejifunza kama ubahili siyo jambo zuri.
YNWA[emoji3590]
🀣🀣🀣Ebu mcheki babu bhana atupe yajaya ya Salah maana kama uchezaji wake ndio huu wa mechi kama 10 zilizopita basi hatufai kama stata wa muda wote na kwa mshahara wake yule sio squad player ujue...

Aonyeshe tena makali sio kingine... Naelewa form is temporary na class is permanent hivyo bado anaweza kufanya jambo.

YNWA
 
Kwani anacheza pekeyake?
Timu ndiyo inayomuangusha Salah

Akipata combo nzuri ya wachezaji wa aina yake jamaa ni moto sana

Mnataka aondoke halafu nani acheze?
Jones,jota sijui Diaz wote wanashinda wodini.
 
Kwani anacheza pekeyake?
Timu ndiyo inayomuangusha Salah

Akipata combo nzuri ya wachezaji wa aina yake jamaa ni moto sana

Mnataka aondoke halafu nani acheze?
Jones,jota sijui Diaz wote wanashinda wodini.
Wewe mpira unaangaliaga kweli yaani unasema Salah Sasa hivi wa moto nafikiri humjui Salah miaka 5 nyuma mtu umri ukienda kwenye mpira hata iweje hawezi kulazimisha kiufupi asepe wachezaji wapo wengi tu wakusajiliwa
 
Salah wa sasa siyo wa miaka mitano nyuma lakini haiondoi ukweli kuwa ni mchezaji mzuri bado.
 
Salah wa sasa siyo wa miaka mitano nyuma lakini haiondoi ukweli kuwa ni mchezaji mzuri bado.
Mchezaji mzuri sawa ila watu wanaitaji matokeo ya ubingwa sio kucheza vizuri umeelewa dada Liverpool inahitaji wachezaji wa kuipa ubingwa hata firmino anacheza vizuri ila hayupo Liverpool
 
Hata damu changa nao wanapuyanga tu
Akina Nunez wamepuyanga

Akina Jota ndio hao wanashinda wodini muda wote
Ndio hapo umuhimu wa Salah unaonekana,hana majeruhi ya mara kwa mara na ya muda mrefu.
Kwani usajili Liverpool imefungiwa tunavyosema Salah asepe inamaana maingizo mengine lazima yaingie yenye uwezo wa juu yatayokuja kuibeba nembo ya Liverpool Salah alishabeba Kila kitu Hana uchungu na Liverpool tena kwahiyo ni legend wa Liverpool Sasa hivi
 
Kwani usajili Liverpool imefungiwa tunavyosema Salah asepe inamaana maingizo mengine lazima yaingie yenye uwezo wa juu yatayokuja kuibeba nembo ya Liverpool
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Salah sio tena Mchezaji muhimu pale Liverpool afanye kuondoka kama wenzake Mane na Bobby.
 
Wewe mpira unaangaliaga kweli yaani unasema Salah Sasa hivi wa moto nafikiri humjui Salah miaka 5 nyuma mtu umri ukienda kwenye mpira hata iweje hawezi kulazimisha kiufupi asepe wachezaji wapo wengi tu wakusajiliwa
Saint Annie katanguliza mahaba kuliko uhalisia wa kile anachokifanya Salah uwanjani sasa hivi
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Salah sio tena Mchezaji muhimu pale Liverpool afanye kuondoka kama wenzake Mane na Bobby.
Yaani Salah kiufupi Sasa hivi ni legend sio mpambanaji tena anafosi tu na hiyo ni hata Kwa klopp naye ni mstaafu akili yake imeshazeeka na mpira wa kisasa hauhitaji wazee kama ndio wafanya maamuzi ya mwisho
 
Auzwe tu hiyo hela ikamlete Takefusa Kubo wa real Sociedad
Ndio kinachotakiwa auzwe vinginevyo EPL 20 itakua tabu kuipata mwakani sababu mpira sio maigizo kwamba mnapanga iwe hivi Bali ni kazi ya userious wa Hali ya juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…