Liverpool FC (The Reds) | Special Thread



You're overreacting.

New era, and inexperinced coach in the league at the big club.

unahitaji kuwa na at least 3-4 experenced players kwaajili ya kumsaidia coach kurahisisha mwanzo wake mpya at the club.

Salah ni perfect role model, VVD ni perfect role model, Alisson ni perfect role mode, unahitaji hizi figures kwenye dressing room.

Kocha ni mpya, anatoka uholanzi, most of LFC fans wengi if not 70% wamemjua jamaa baada ya kuanza kuhusishwa na sisi, na ni the same kwa Premier league fans around the globe.

Huyu kocha anakuja kufundisha egos za kina Trent, Jones, Elliott, Bajcetic, Nunez, Gravenberch, Alexis etc, hawa wote ni watoto wa Klopp, you think itakuwa rahisi wao kumuheshimu jamaa kama wanavyomuheshimu Klopp? kipi ameshinda kwenye career yake mpaka wamuheshimu au kumuogopa? Trent alifunga milango yote ya mazungumzo baada ya Klopp kutangazia wachezaji kuwa anaondoka rasmi, hakutaka tena kubaki LFC, but hasira zimepungua na mazungumzo yanaendelea, but unadhani atakuwa anamuangalia Slot sawa kama alivyokuwa anamuangalia Klopp?

Generally, most players are dissapointed na appointment ya Slot, but club ingefanya nini zaidi?

Unajua dressing rooms zilivyo kwenye mpira, kusipokuwa na leaders.

Na hizi PR za FSG, zinamis-lead sana expectations za fans.

Slot, siyo world class coach, anakuja LFC akiwa na philosophies na ideas zake, tusimpe pressure, tumuache afanys kazi yake, tumpe muda wa kutosha, kama kaona anaweza kubeba hili jukumu, tumpe muda wa kutosha. mambo yanaweza kwenda vizuri au kombo, but hatutakiwi kufikiria hayo, Slot ni coach wa LFC na tunatakiwa kum-back kama tulivyofanya kwa coaches wengine.

But, tumpunguzie mzigo wa expectations.
 
Dah kweli aisee wanafuata mkumbo eti Salah huyu wa moto hivi anamjua Salah vizuri miaka 5 iliyopita combo Yao mane firmino salah kwenye hii dunia tukisema Salah ameisha tunamaanisha 🤣🤣🤣🤣

Kitu gani kinakufanya uone kuwa Salah kaisha?

Na akiondoka, nani unahisi anafaa kum-replace?
 

Nani amemvuruga mwenzake kati ya FSG na Klopp?

Klopp communicated kwa FSG kuwa anaondoka, few weeks baada ya summer transfer window kufungwa, FSG knew kuwa Klopp anaondoka tangu October/early november last year, they did everything to STOP him, but FAILED.

Klopp, had to announce it, kwasababu alikuwa anajua soon or later, habari zita-leak, na alifanya hivyo because FSG werent doing nothing about the situation, its like walikuwa wanaamini wata-manage kumconvince kubaki, because it wasnt the FIRST TIME.

Kuna vitu haiitaji kuwa na inside infos, but unaweza ku-connect dots tu, mapishano ya Klopp na FSG yalianza kwenye signing ya Gakpo, then Gravenberch & Endo, na mwisho ni the fact kuwa Klopp wanted FSG to give Matip a new contract, na nyingine ni mpaka Klopp ali-hint kwenye presser, na niliwahi kuiongelea humu, ni ishu ya Palhinha.

Mkuu, if anyone ambaye anajua how it takes to compete for the titles ni Klopp, sasa tuanze kuhesabia ni mara ngapi FSG walimwacha uchi kwenye Transfer Windows? ni mara ngapi wamemdanganya Klopp na us fans? kwanini walifanya mpaka Klopp kufanya vikao vya mara kwa mara na wazazi wa Jude, only for them ku-back out baada ya kutajiwa the whole package? kwahyo tunakiwa kufikiria kuwa alikuwa na furaha kwa deal ya jude ku-collapse? kisa hakulalamika kwenye medias? au kuwa alikuwa na furaha kwa deals za Palhinha, Caicedo, Lavia etc kuvunjika, kisa hakulalamika? au tuamini kuwa he was more happy about Endo? baada ya kukosa kina Caicedo? kwasababu hakulalamika?

Were we expecting to challenge for the league, with Endo & Alexis (who is not a 6) as our starting Six? or with Jarrel as VVD partner mara kwa mara, sababu ya Injuries za Konate? what if Klopp asked to backed na funds za kusajili CB? na FSG wakakataa? we were linked with a lot of good CBs in the summer, why Klopp akaamua ku-gamble na Jarrel in the end? alipenda? au hakupata fund?

Ukubwa wa LFC, ni wa kuangalia sehem gani za kuanza na rebuild? na rebuild gani ya MF inakamilika bila a starting DM? how can your owners wanaridhika na a world class DM kuwa replaced na a 31 year old Endo? na it took klopp a lot of power kuwashawishi FSG kumnunua Endo, because he needed a DM.

Sasa, nani alikuwa anamvuruga mwenzake? huoni.kwamba Klopp alichoka?

Structure wanayotengeza FSG now, ni kupunguza nguvu ya Manager, ni kama structures za Simba na Yanga tu, kwamba kocha anakuwa hana nguvu yeyote ile.kwenye maamuzi, sasa nitajie team yeyote ile kubwa duniani inayofata huu mfumo wa kijinga??

Arne Slot, anaweza akashuhudia kina Trent, Alisson, VVD, Salah etc wakiuzwa na anakuwa hana uwezo wa kuzuia, na team iki-fail apart anakuwa wa kwanza kulaumiwa, sasa hiki ni kitu kizuri au kibaya kwa team?

Rodgers kwani ilikuwaje? si naye alikuja katika structure hii hii? au tunasahau kuwa hii structure ishakuwepo kabla? baada ya misimu miwili, Rodgers si akaikataa? si akaanza kulalamika kuwa analetewa wachezaji ambao hawataki? Klopp alivyokuja si alivunja huu upuuzi wote? sasa 9 years baadae huu mfumo unarudi tena, kwa faida ipi?
 

Naam Naam kiongozi. Suarez na Neymar wangekuwa wakuimbwa kama wasingekutana na era ya Cr7 na Messi. Ndio mpira ulivyo.

Mara mbili Klopp kawa runner kwa point moja halafu points ni 90+ dah.!! Wakati Sir Alex kabeba EPL na 77-85 mara kibao tu.

YNWA
 

Welcome back Mosdef you were missed alot, especially after Jurgen Departure announcement.
But guess what.!!! Jinsi msimu umemalizika majority tumemuelewa Klopp aliposema ameishiwa nguvu.

Imekituliza kidonda cha january, its ok let him go and rest, may be Bayern or German NT will be his next stop. Ilifaa wakati huu ufikie ila sio kama hivi” I personally respect his decision and i’m healed already regardless of coming seasons results.

What i know i trust Edward inanipa confidence sana. Salah over Julian Brant Maner over Gotze, good thing Edward alitaka kumchukua Rodrygo at £3m ila akachagua kubaki kwao kabla Madrid hawajamuona na kumchukua.

I trust Edward alot as i used to Klopp. I have huge hope we are still safe with what Klopp left for us.

YNWA
 
Def is back
 

Agreed with you. Ila kama tungekuwa killers kutumia nafasi hii April isingetuumiza kwa kiwango hiki”

Beat Arsenal, UTD, City, it was on our hands at Anfield six clear points hizi tulidondosha ambazo zingefidia hizi za sasa palace. Achana na mechi ya Spurs refa aliharibu, achana na Luton Nunez with Glorious chance.

Atleast we could easily still be in a tittle race kama tungetumia vizuri kidogo tulichokua tunapata.
 
Does Fabio Carvalho have a future at Liverpool under Arne Slot next season?

Has has 9 goals and 2 assists for Hull City since signing on loan in January.
 
Does Fabio Carvalho have a future at Liverpool under Arne Slot next season?

Has has 9 goals and 2 assists for Hull City since signing on loan in January.

Ngumu kusema chochote kuhusu Arne Slot na aina ya wachezaji atakaowatumia next seaeon. Ikimbukwe hana sauti kwenye upande wa signings (kuingia au kutoka) sana sana mapendekezo tu.

Kama Hughes na Edward plust technical director ajaye hatakubaliana na performance yake with and without no.s basi atauzwa tu.

Carvalho mzuri akicheza no. 10 amabao ndio mchezo wa Slot kucheza na no. 10, kwa sasa pale Una Szobo na Macca wenye uwezo huo, Una Elliot pia mwenye uwezo huo utamchukua Carvalho ahead of Macca, Szobo na Elliot? Gakpo anaweza kucheza nyuma ya Striker pia as no. 10

Nafikiri jambo la kwanza ni upande wa DM zaidi ndio panavuja we need young and better DM to pair with Macca as double pivot. Slot ni muumini wa double pivot. Anyway tusubiri hiyo preseason tutajionea, kwanza.

YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…