Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

LOL

LFC bhana yaan i cant believe we're aiming katika kumleta Origi a 19 years old POTENTIAL player kuja kuisaidia LFC msimu huu!!!

We're SHIT!!

Umeona eh??

Yeah, we're shitty (for now) but hey....no way a small team!
 
Umeona eh??

Yeah, we're shitty (for now) but hey....no way a small team!

Nmemshangaa Janjaweed hapo kwa comment yake kuhusu kina willian kuwa walikataa kuja coz LFC ni small club...

Saga ya Salah inajulikana (the kid waited for 11 months to complete his move to LFC but we we refused to pay £11m ila we wanted to pay £9m...the kid was eager for a move, but chelsea came in with a bigger offer and completed a deal in just 48 hrs...na its a known fact Salah went to chelsea coz LFC refused to add only £3m tu..EGYPT yote ilikuaa inajua *Egyptian Messi* wao anaenda LFC)

Saga ya Willian ndo inajulikana kabisa...we didnt want to match £32m ambayo Anzhi waliitaka, na kilichotufanya tuende kwa willian ni zile comments zake alizozitoa kuhusu LFC kwenye radio ya Brazil, but we failed kumatch the needed bid, na spurs walifanikiwa kumatch na Willian alikubali kwenda Spurs mpaka akafanya vipimo kabla Mourinho hajafanya Counter-Attack (so ipi ni small club kat ya Spurs na LFC?? Mbona alikubali kwenda Spurs???

Kwa Diego costa tulibid £24m, na nakumbuka kipind tunabid Costa alikuwa holday kwao Brazil, alipoulizwa akasema *hajaambiwa na club yake chochote kuhusu bid ya LFC, lakin kama ATM wataridhia atakuwa open kuondoka ATM for LFC)..na kipind kile Falcao ndo alikuwa ameondoka na msimu uliokuwa unafatia Diego Costa ndo alikuwa anaandaliwa kuwa the main ST, and ATM turned down our Bid...

Hapo kwa Erkssen ndo nmecheka sana, wakat its a known fact kuwa BR himself turned the kid down..Ajax only wanted £8m tu, na BR hakumuhitaj kabisa kwasababu ya LUIS ALBERTO...asa nashangaa kusikia Erkssen aliyekuwa anashinda kwenye medias kubeg move ya LFC, aseme LFC ni small club.


And hakuna qoute yoyote inayoonyesha Benzema said LFC ni small club...hyo habari ilirepotiwa na *daily star* (---- newspaper)..ingekuwa kweli kasema unafikiri angepokelewaje na mashabiki wa LFC pale Anfield kwenye our CL game???..na ulishawah iona interview yake alipoulizwa kuhusu kufunga goal pale Anfield????



*tuwe tunafanya research kwanza*
 
Umeona eh??

Yeah, we're shitty (for now) but hey....no way a small team!

we are a small team, apparently... we can fight Chelsea, Man city, asenane, Manure, Totts... once you are out of top three wewe ni mdogo tu

Gone are the days when we dominated

what FENWAY is doing ni kuturudisha juu kwa hatua, and it is a multiyear plan

Mediocrity is our middle name
 

Count me bloody out!
 

My sentiments exactly. Kudos! Nadhani pia unakumbuka Xavi Hernandez alivosema recently kuhusu LFC.

Granted, we are going through a shitty spell but that doesn't take away LFC's greatness.
 
My sentiments exactly. Kudos! Nadhani pia unakumbuka Xavi Hernandez alivosema recently kuhusu LFC.

Granted, we are going through a shitty spell but that doesn't take away LFC's greatness.

Kwenye Rankings za UEFA (the mother of EUROPEAN football clubs).

Kuna TOP 250 biggest club of all time in EUROPE..ntatoa hapa TOP TEN.

1. Real madrid
2. Barcelona
3. Bayern Munich
4. Ac milan
5. Juventus
6. LIVERPOOL
7.Manchester united
8. Ajax amsterdam
9. Inter Milan
10.Benifica

LFC haispend kulingana na mahitaj ya Soccer la sasa, Policy ya Usajili ndo inaiangamiza team, suala la kwamba we're just aiming katika kukuza vipaji and not buying Proven players ndo linatucost katka dunia ya sasa ya soccer..since 2000's bar *Fernando Morientes* LFC haijawah kununua a WORLD CLASS player zaid ya kuwatengeneza...akina Torres, Xabi alonso, Reina, Mascherano, Suarez, Agger, Baros, Berger, Glen johson, Arbeloa, etc...wote walikuja kutambuliwa na dunia ya mpira na kuturn out kuwa World Class players wakiwa LFC..GJ became one of the BEST RB pale ENGLAND akiwa katika jersey ya LFC kabla kiwango chake hakijaporomoka....

Lakin kwa sasa mpira umebadilika sana..team zinaspend, mpaka Barcelona inaspend BIG kwa sasa, tumeona Arsenal wakiwasajili kina Ozil na Sanchez...but LFC haijafanya *Marquee signing* yoyote...na hii ni kutokana na sera za usajili wa team...

Kuna waarabu wangapi ambao kila siku wanalilia kuinunua team???..katika suala la kudevelop Anfield stadium kuna msaada mkubwa tu ambao FSG wanaupata Kutoka Ka waarabu wa DUBAI...na juzi tu JOHN HENRY alikuwa DUBAI kuangalia uwezekano zaid ya kuidevelop anfield stadium na alikaa kule zaid ya Week...na kulikuwa na rumours kuwa FSG wanataka kukamilisha utanuzi wa uwanja ili wauze hisa za club kwa BEI kubwa zaidi!!

Tatizo ni kwamba wale *wazee* scousers watakubali the most traditional English club iwe chini ya waarabu???..manake its a known fact kuwa SHEIKH MANSOUR (Man city owner) ndo alitaka ainunue LFC lakin akakaziwa vibaya, akaamua kwenda kuiestablish MAN CITY...

Lakin baada kama ya miaka miwili...2010 akina Tom wakakubal kuiuza team kwa wamarekani wenzao kina Henry...nadhan tunakumbuka idadi ya watu waliyojitokeza kutaka kuinunua LFC kipind kile...tatizo ni wazee wa club kutaka kuienzi Tradition ya LFC na ni kitu ambacho kinatucost kwa sasa!!!..

Tunahitaj changes katika sera ya usajili..

RMA ni the biggest club duniani lakin wakina Perez wakija kujichanganya katika managaments kama ilivyoitokea LFC mwaka 2009 lazima ingeporomoka..na hii beef ya chini chini kati ya BR na Transfer commitee ndo inaicost club zaidi kwa sasa!!..kuna watu kama watatu katika scout department wameshapigwa CHINI mpaka sasa!!!
 

oooh boy

If we were a big team tungeshindwa kuongeza hizo 2M kwa Salah?? Remember we were told by Simeone, match his value (Costa) and he is yours and he chose to stay instead?? and when Chelsea came calling, money was not even discussed, he started trumpeting moving to chelsea even before they met in UCL??

Tena ya Willian ndio kituko zaidi, he boarded the plane coming to Liverpool, Totts haijacked him in London, he finished his medical then a bigger club (Chelsea) came calling

Mh, yawezekana kabisa research zipo, na they can easily be twisted to bias to what we want to translate the findings to

We are small.... Kwisha!!!

Labda tutakua wakubwa tena in 2-4 years

Umeshasikia Citeh, Chelsea au Manure wanabishana na muuzaji na kuacha kununua because of 2M??? those are big clubs!!!

Ya Benzema ndio umenimaliza kabisa.... He was quoted and he never refuted, hata fox of all the network reported it (remember all these teams were in the US during summer)

http://www.foxsports.com/soccer/pap...-karim-benzema-snubs-move-to-liverpool-072714
 
My sentiments exactly. Kudos! Nadhani pia unakumbuka Xavi Hernandez alivosema recently kuhusu LFC.

Granted, we are going through a shitty spell but that doesn't take away LFC's greatness.
we are a good team, but no a big "elite" european giants anymore

Ludogores na Basel wanatutoa kamasi

Lets be patient and realize kwamba we have some miles to walk to reach greatness... lying to ourselves like the cat below doesnt help either
 
I though you said we are a big team... how can a big team struggle kuleta mchezaji??

Contradictory indeed!

Tumebakiza historia, msimu huu tupo UCL na tumeshindwa kuvuta wachezi wakubwa, mwakani kuanzia dirisha dogo la Januari ndio tusahau
 
Wee jamaa ni Mseng* sana! Nimevumilia utumbo wako mpaka basi,kama LFC timu ndogo ndo Spurs timu kubwa? Ridiculous..

Mse*ge babako, mamako, mmeo, shangazi yako, na vyakwenu wote... mk*undu wa mjomba wako

usidhani hatuwezi kutukana

If you cant stand the heat, stay out of the kitchen

sio unajaribu kujiliwaza in a way that you cant afford

Mimi navumilia utumbo wako, m@v! yakko na hata mikojo but naelewa ndio ushabiki ila ya kuitana mse*nge karibu sana nipo tu na matusi yapo pomoni

When Mancity was a "small club" they attracted Robinho, and when Liverpool is i big club, we attracted markovic

Sometimes its better to accept unafiki ili tuishi kama imbecile

Ok, from now on, LIverpool is a big club ila bahati mbaya sana tunashindwa kuarrtact wachezaji but we are still a big club

Walk on, walk on
 

Mse*nge wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…