Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Janjaweed KOPS is big club.Period

Miaka ya 2000's ligi ya Spain hasa wakati wa Golden Era Spain aliyetamba ni BARCA hii haina maana kuwa Madrido alikuwa small club!

Italy Milan AC na Inter wote wana vikombe 18 ya ligi lkn sasa wana suasua hii haina maana kuwa sasa hawa giants ni small clubs kaka!

Nitakubaliana na wewe tu kuniambia kuwa we are not good lkn sio kama Kops ni team ndogo!Legacy ya Majogoo huwezi ukaimaliza kwa miaka 10 kaka!Man City mabingwa Uingereza mara 2 kwa miaka 3 ina maana Man City ni team kubwa zaidi ya Liverpool?Chelsea ni team kubwa zaidi ya Liverpool?Kwa takwimu zipi?

Mwisho jamani tubishane kwa hoja sio matusi

I agree, we are big but shitty at the moment... and not attractive to players, hata raheem anatusumbua
 
Uzuri ni kuwa BR kasema wazi kuwa mfumo wake wa kumuacha mtu mmoja mbele umeshindwa,na sasa anabadili mfumo presumably ni diamond!!

Tunaanza kushinda kiurahisi kuanzia kesho
 
Kila siku huwa najiuliza iko wapi ile quick, faster and counter attacking football ya msimu uliopita? Huwa nikiangalia ile me hi ya Arsenal, Everton, Spurs, stoke, Man City na Man u najiuliza ni sababu tu ya Suarez au kuna kitu kingine? Zile tachi za Coutinho, pasi za haraka za Hendo, diamond na Raheem, Gerrard, ziko wapi? Kwanini BR hataki kuendelea na diamond ( aliitumia tu juzi na Chelshity), kwanini BR hamwamini Coutinho? Kwanini hampi muda wa kutosha Fabio Borini? Kwanini...kwanini?
 
Formation 4-3-3 lineup Mignolet> Manquilo> Toure> Skrtel> Moreno> Henderson> Gerald> Can> Sterling> Lambert> Lallana But line-up yet confirmed!
 
line up ya BR leo


mignolet
manquillo,skrtel,lovren,johnson

gerrard allen
sterling countinho lallana
lambert
Mi naenda kuangalia hii game kwakuwa naipenda liverpool, huyu allen sijawahi mkubali hata siku moja
 
Formation 4-3-3 lineup Mignolet> Manquilo> Toure> Skrtel> Moreno> Henderson> Gerald> Can> Sterling> Lambert> Lallana But line-up yet confirmed!

BR karudi kwenye mfumo wake wa 4-2-3-1
 
Inakuwaje hapa, naanza kuangalia mchezo naona dakika ya 2 pili lakini 1 - 0!
 
Awali BR alisema atapiga 4-3-3 lkn mbona sasa naiona tena 4-2-3-1?
Huyu BR ana nn na sisi huyu?
 
nmeshangaa Can kukaa bench!

GJ kuanza!

na 4-3-2-1!!!

inasikitisha aisee

Hata bia hainyweki

and whats up with Sterling, he is like a lost boy kabisa, hana purpose, hana pace, hana motivation etc.

ingekua uwezo wangu, ningetoa sterling nimwingine fabio, toa allen aje Emre na kumpa Moreno final 20 min acheze kama wingback
 
defensive errors kama kawa

SG should be moved further forward ampishe Emre kwenye holding

Sijui lini BR ataacha ubishi wa kikuku

Lose or draw today, I'll be at the frontline backing an inquest that'll lead to BR's ouster.

He has enjoyed more support from the loyal die-hards like myself than he has actually deserved (mainly kutokana na performance ya last season)lakini kwa huu ujinga na ukichwangumu wake huu wa leo he's eating into my nerves.
 
Lose or draw today, I'll be at the frontline backing an inquest that'll lead to BR's ouster.

He has enjoyed more support from the loyal die-hards like myself than he has actually deserved (mainly kutokana na performance ya last season)lakini kwa huu ujinga na ukichwangumu wake huu wa leo he's eating into my nerves.
hata mie nimeanza kumchoka huyu kuku
 
Back
Top Bottom