Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,153
- 10,670
Janjaweed KOPS is big club.Period
Miaka ya 2000's ligi ya Spain hasa wakati wa Golden Era Spain aliyetamba ni BARCA hii haina maana kuwa Madrido alikuwa small club!
Italy Milan AC na Inter wote wana vikombe 18 ya ligi lkn sasa wana suasua hii haina maana kuwa sasa hawa giants ni small clubs kaka!
Nitakubaliana na wewe tu kuniambia kuwa we are not good lkn sio kama Kops ni team ndogo!Legacy ya Majogoo huwezi ukaimaliza kwa miaka 10 kaka!Man City mabingwa Uingereza mara 2 kwa miaka 3 ina maana Man City ni team kubwa zaidi ya Liverpool?Chelsea ni team kubwa zaidi ya Liverpool?Kwa takwimu zipi?
Mwisho jamani tubishane kwa hoja sio matusi
I agree, we are big but shitty at the moment... and not attractive to players, hata raheem anatusumbua