Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Dah,nilimsapoti sana BR ila naona amekuwa chizi. Siamini km haoni ni mchezaji gani anastahili au hastahili kuanza mechi. Yani hata subs zake za ajabu kweli..
 
PRIVATE ANNOUNCEMENT❗

Kama unaakaunti INSTAGRAM. Nahitaji kuwa connect na wewe. Nifollow kwa Jina la Mchoraji_Cyper55 , Nami nitafollowback

MCHORAJI_CYPER255.
 
Mechi saba zilizopita tumeshinda moja!Ndani ya mechi nne zilizopita tumepata point moja!BUT WE STILL BIG CLUB,can you believe it?If BR is not leaving our lifetime legacy is coming to an end.
 
Mechi saba zilizopita tumeshinda moja!Ndani ya mechi nne zilizopita tumepata point moja!BUT WE STILL BIG CLUB,can you believe it?If BR is not leaving our lifetime legacy is coming to an end.

halafu kuna watu wanajifariji eti miaka ya themanini tulikuwa big club imewasaidia nini kuwa weak club leo hii
 
Janjaweed pole sn Mkuu.

Ulitukanwa Hapa kwasababu ya kusema ukweli. Lkn mambo yanazidi kutimia.
ndugu yangu... LIverpool is in the panic mode kwa sasa

I feel sorry for Brendan, he is young and smart, ila ubishi wake unamtupa nje kabisa ya kazi, ataishia kuwa jobless soon
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
ndugu yangu... LIverpool is in the panic mode kwa sasa

I feel sorry for Brendan, he is young and smart, ila ubishi wake unamtupa nje kabisa ya kazi, ataishia kuwa jobless soon

Dah! Watani mnatia huruma...siwacheki, ila nawaoneo huruma.

Kishuzi cha ulezi (Suarez) kimewaganda aisee...
 
ndugu yangu... LIverpool is in the panic mode kwa sasa

I feel sorry for Brendan, he is young and smart, ila ubishi wake unamtupa nje kabisa ya kazi, ataishia kuwa jobless soon

Tatizo alilewa sifa kwa kumaliza nafasi ya pili msimu uliopita na akaja na usajili mbovu msimu huu na kuwauza wachezaji ambao waliomsaidia ktk msimu uliopita.

BR ndio wa kulaumiwa no moja.

Pole sn Mkuu. Ngoja tuone hapo baadae km kutakua na mabadiliko.
 
Hiv hawezi akawaacha wachezaji wajipange tu wenyewe km mechi za mchangani aisée???
 
Hahaaa hii timu in gundu ..khaaa..nimeacha liv 1 cry 0.. Nilikuwa ndani napiga show na mama gaude natoka nacheki live score eti lifer 1 cry 3...😰
 
Back
Top Bottom