Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

nipo kwenye hoja mkuu... sikuanza kutukana, i was just being realistic, and its not me, it is a real situation hatuko tena juu

the best thing for the club ni kukubali na kuanza kupanda juu, sadly nilipewa za chembe... i had to return the favor

Hope The Magnificent ataomba radhi. Liverpool will never walk alone
 
Last edited by a moderator:
huyu jamaa kazidi kuzingua na koment zake za ki-boya humu daily,watu tunapiga kimya,naona huko anakoelekea siko kbs,naamini hakuna Kopite yeyote humu wa kweli atakayeunga mkono ule ushuzi wake aloandika humu!
Dogo, ati watu mnapiga kimya, wewe na nani???

toa mifano basi, la sivyo tuliza anus... Hatuli kharam

talking about kopite... what kopite, you?? the google kopite?? Give me a break... I watches games at anfield once or twice, facts are facts... Liverpool is no longer where it was the graph is there for anyone to see

as for boya, i can understand, imbeciles think they are bright too
 
oooh boy

If we were a big team tungeshindwa kuongeza hizo 2M kwa Salah?? Remember we were told by Simeone, match his value (Costa) and he is yours and he chose to stay instead?? and when Chelsea came calling, money was not even discussed, he started trumpeting moving to chelsea even before they met in UCL??

Tena ya Willian ndio kituko zaidi, he boarded the plane coming to Liverpool, Totts haijacked him in London, he finished his medical then a bigger club (Chelsea) came calling

Mh, yawezekana kabisa research zipo, na they can easily be twisted to bias to what we want to translate the findings to

We are small.... Kwisha!!!

Labda tutakua wakubwa tena in 2-4 years

Umeshasikia Citeh, Chelsea au Manure wanabishana na muuzaji na kuacha kununua because of 2M??? those are big clubs!!!

Ya Benzema ndio umenimaliza kabisa.... He was quoted and he never refuted, hata fox of all the network reported it (remember all these teams were in the US during summer)

Real Madrid striker Karim Benzema snubs Liverpool move | FOX Sports

OK, OK, OK. You take it all dude.... LFC is a "small" club! Isn't that everyone is entitled to their opinion after all??

On the other side we, Kopites, proudly believe LFC is big because we are a class act and class (a.k.a cousin to greatness) is permanent. We remain realistic that our current form isn't up there where it should have been but I will quickly add that form has and will always have zero bearing on class.

From swagger to stagger between last and current season someone will argue, huh? That's normal. We will dust ourselves up and pick up where we left off last May. Who knows??

How? Just get FSG inject some more quids plus keep BR for one more season at least for rebuilding. For those who are crying for BR's head (which I personally believe is ill advised), I would love to see them come up with a feasible plan B.
 
OK, OK, OK. You take it all dude.... LFC is a "small" club! Isn't that everyone is entitled to their opinion after all??

On the other side we, Kopites, proudly believe LFC is big because we are a class act and class (a.k.a cousin to greatness) is permanent. We remain realistic that our current form isn't up there where it should have been but I will quickly add that form has and will always have zero bearing on class.

From swagger to stagger between last and current season someone will argue, huh? That's normal. We will dust ourselves up and pick up where we left off last May. Who knows??

How? Just get FSG inject some more quids plus keep BR for one more season at least for rebuilding. For those who are crying for BR's head (which I personally believe is ill advised), I would love to see them come up with a feasible plan B.

My brother,

kwanza nakupa respect, we have agreed to disagree respectfully... saludo!!

No disrespect wala nini, those were my opinion, as stupid as they may seem to be; na nina imani kubwa kwamba we will be back to where we belong in 2-4 years (BR drafted a roadmap that was endorsed, and it will be implemented even if he is gone), the transfer team (which is already being scrutinized) and owners will make it right (I am optimistic)

as you rightly said, class is permanent! and Liverpool is still a class above many other clubs like scums and citeh
 
Mse*ge babako, mamako, mmeo, shangazi yako, na vyakwenu wote... mk*undu wa mjomba wako

usidhani hatuwezi kutukana

If you cant stand the heat, stay out of the kitchen

sio unajaribu kujiliwaza in a way that you cant afford

Mimi navumilia utumbo wako, m@v! yakko na hata mikojo but naelewa ndio ushabiki ila ya kuitana mse*nge karibu sana nipo tu na matusi yapo pomoni

When Mancity was a "small club" they attracted Robinho, and when Liverpool is i big club, we attracted markovic

Sometimes its better to accept unafiki ili tuishi kama imbecile

Ok, from now on, LIverpool is a big club ila bahati mbaya sana tunashindwa kuarrtact wachezaji but we are still a big club

Walk on, walk on


Janjaweed pole sn Mkuu lkn nakupongeza kwa kusimamia ukweli..!

Cc: Viol Grand PA Manumbu
 
Last edited by a moderator:
My brother,

kwanza nakupa respect, we have agreed to disagree respectfully... saludo!!

No disrespect wala nini, those were my opinion, as stupid as they may seem to be; na nina imani kubwa kwamba we will be back to where we belong in 2-4 years (BR drafted a roadmap that was endorsed, and it will be implemented even if he is gone), the transfer team and owners will make it right (I am optimistic)

as you rightly said, class is permanent! and Liverpool is still a class above many other clubs like scums and citeh

Respect, mkuu.

But don't get me wrong re my position vs the argument you have been trying to get across to the Kopites on this forum... I love and thrive on self criticism just like you possibly do because I know it's one of the best (if actually not the best) recipe for a step or two forward. Different schools of thought are always bound to pop up under such circumstances but it's always good not to let emotions conquer over reason (and passion).

Let me fn(k my bed now..

YNWA!
 
oooh boy

If we were a big team tungeshindwa kuongeza hizo 2M kwa Salah?? Remember we were told by Simeone, match his value (Costa) and he is yours and he chose to stay instead?? and when Chelsea came calling, money was not even discussed, he started trumpeting moving to chelsea even before they met in UCL??

Tena ya Willian ndio kituko zaidi, he boarded the plane coming to Liverpool, Totts haijacked him in London, he finished his medical then a bigger club (Chelsea) came calling

Mh, yawezekana kabisa research zipo, na they can easily be twisted to bias to what we want to translate the findings to

We are small.... Kwisha!!!

Labda tutakua wakubwa tena in 2-4 years

Umeshasikia Citeh, Chelsea au Manure wanabishana na muuzaji na kuacha kununua because of 2M??? those are big clubs!!!

Ya Benzema ndio umenimaliza kabisa.... He was quoted and he never refuted, hata fox of all the network reported it (remember all these teams were in the US during summer)

http://www.foxsports.com/soccer/pap...-karim-benzema-snubs-move-to-liverpool-072714

Hahahahahah!!!!!!

Kwahyo Barcelona waliposhindwa kukamilisha deal ya Javi Martnez ambaye alitimkia Bayern..ikaonekana Barcelona ni team ndogo???

Au madrid walivyopigwa Fitna na Barcelona kuhusu Neymar mpaka dogo akaenda Barca..so tuseme madrid ni team ndogo???

Au lucas Moura alivyoOpt Kwenda PSG over Manchester utd because fergie refused to match the reported fee...ndo tuseme man utd ni team ndogo???

Henderson alivyoopt kuja LFC over Manchester utd...ndo tuseme manchester ni ndogo???

Arsenal si walinyang'anywa HAZARD mikononi mwao na Chelsea???

Kinachoangaliwa kwenye transfer market ni BID, umeimatch kias gan, haijalishi we ni team kubwa au ndogo...watu wanaangalia PESA!

And...Diego Costa never turned down or RULED OUT his move to LFC...ni ATLETICO MADRID ndo walioiturn down BID ya LFC...siyo Diego costa (tofautisha)

Hapo kuhusu Willian..umeongea madudu sana!! Willian aliboard plane ya Liverpool??? (city)...wakat deal ya Anzh na LFC ilikufa wakat hata bado Willian hajatua ENGLAND...umenishangaza sana!

Mbona BARCELONA walishindwa kumatch bid ya David Luiz??..mbona walishindwa kumng'oa Marqunho kule PSG??? Kwahyo Barca ni team ndogo kisa ilifail katika hizo signings????


CHANZO CHA KWANZA KUREPORT ISHU YA BENZEMA SIKU ILE USIKU KILIKUWA NI *DAILY STAR*...
 
Watanzania tuna kitu kimoja ambacho kinatusumbua sana..ni kukrem vitu bila kufikiria kwa upana zaid!

KuAttract na kutumia pesa ili kumpata mchezaji ni vitu viwili tofauti...katika dunia ya sasa ni team tatu 3 ambazo tunaweza tukasema zina Attract BIG Players (RMA, Barcelona na Bayern Munchen) ni katika hizi team 3 ambapo a World class player anaweza akaforce move ya kwenda kuzichezea hizi clubs (lewandowsk, Suarez, Bale, Neymar, Mascherano, James Rodriguez, Gotze, Kroos, Modric, Ibarahmovich etc)

Mchezaji anatoka Barca akiwa analipwa 120k anakuja kwako unamlipa 180k au mchezaj anatoka RMA akiwa anabembeleza kuongezwa mshahara kwa 5% tu na anakaziwa, lakin anakuja kununuliwa kwa £64m na mshahara wa 200+k, mchezaji anatokea independent ya Brazil (syo European proven player) ananunuliwa kwa £26m...etc WHILE mchezaj anatoka LFC akiwa analipwa 200k lakin ili tu kujiunga na Barca anaomba mshahara wake UPUNGUZWE...au mchezaji anatoka Monaco kwa RMA kwa kuomba RMA wam-bane tu hata kwenye mshahara ili deal ya £60m za kum-beba ziwepo...kuna mchezaji gani ambaye ni World Class BAR English players ambaye maishan mwake alikuwa na ndoto za kuzichezea Liverpool, Man utd, Arsenal achilia mbali Man city na chelsea mbele ya RMA and BARCELONA?????

Tusidanganyane humu ndani, ukisema LFC ni *shitty club* kwa sasa ntakuelewa lakini siyo kusema LFC ni *small club* thats LFC haina tofaut na Burnley, Crystal palace, Derby county etc..manake a *small club* ni club ambayo haina makombe au ni below zile mid-table teams...huwez ukasimama mbele ya Wachambuzi wa masuala ya soccer ulaya ukasema LFC, Milan, Intermilan ni *small club* kisa tu zimekuwa na misimu mibovu...maana ya *small club* ni kubwa sana..na maana ya *BIGGER CLUB* ni kubwa sana..kuna tofauti kubwa sana kati ya BIGGER CLUB na TOP CLUBS..mfano mdogo tu, Dortmund katika miaka michache iliyopita imekuwa ni TOP CLUB kutokana na mafanikio yao Europe kuliko LFC, Arsenal, Ac milan, Ajax etc lakin Siyo BIGGER CLUB kuliko hizo team!!!

ENGLAND pale tunaona MAN CITY wakidominate recently lakin hii haiifany Iwe BIGGER CLUB zaid ya Manchester utd yenye makombe 20 ya league, Arsenal and LFC katika Soccer la ENGLAND...bado ina safar ndefu ya kufika huko...

Afu eti mtu anasema we ended with Markovic..a true kopite anaelewa sera za usajili wa FSG na LFC since then, na bado haijabadilika...kipind kile Benitez anawasajili kina Dossena, voronin, ngog mbona mlikuwa hamsemi kuwa LFC ni small club???

Fergie, kasajili kina Ashley Young, Valencia, Bebe, Chicharito (anatokea mexico akiwa unproven EPL player), kina evans etc wakat Man city walikuwa wanasajili kina Aguero, Dzeko, Tevez etc..mbona mlikuwa hamsemi kuwa Fergie kashindwa kuattract players kama Man city???..kila team ina mbinu zake katika usajili aisee...ndo maana aina ya usajili wa RMA ni tofaut na ya Barca!
 
BR to Original and the team
 

Attachments

  • 1416624912122.jpg
    1416624912122.jpg
    68.4 KB · Views: 49
  • 1416624939136.jpg
    1416624939136.jpg
    19.9 KB · Views: 49
MosDef SALUTE

your analysis is fully respected and i deffo agree with you kwamba we cant judge a team whether small or big simply by the players decision

Based ont he same argument, now tell me what are the criteria you chose to categorize teams

Tukirudi kwenye posts zako mbili hapo juu... majority of players and their decisions ulizoweka hapo zimelenga kwenye bids!! a club is capable of bidding higher value of they have money to spend, na kwakuwa soka imekua pesa, ukubwa unakua determined na pesa kwa kiasi kikubwa, PSG, manshitty, Scums, Bayern, Real, Barca, manure have ppurchasing power

kuhusu shitty vs. small club pia nakubali, probably small is way to extreme kulinganisha na shitty

with all due respect, nakubaliana na wewe kwamba we are a shitty club kwa sasa, and not small, lakini pia sio big club, coz we cant compete in the market, tuko level ya totts

PS: kuhusus willian, he was heading to liverpool, totts hijacked the deal and while in london, scums sealed the deal

Let me apologize to you and the wise supporters (with exception of one a$$h0le) kuhusu shitty vs. small, shitty is more appropriate term to be used, no malice, no matusi
 
Last edited by a moderator:
More goals to come........

Balotelli stressed his approval rating outside
his inner circle is not something which concerns
him.

"I don't need people to believe in me so long as I
believe in myself," he told Fox Sports Australia .

"The important people for me are my family and
my few close friends."

Criticism of Balotelli has centred not only around
his lack of goals but the apparent unwillingness
to put in the effort on the pitch.
However, the striker insists he is working harder
than ever before and rated his overall
performance as 7/10 – a half-point increase on
the assessment of himself two years ago.

"I run more than before," he added.
"I've never run like this…so I give a half point
more.

"Goals, they will come. It is something that's just
not coming at the moment."
 
Liverpool manager Brendan Rodgers
has confirmed striker Daniel Sturridge
will not play until the new year.
And Rodgers admits the time has
come for the club to take a long-term
view on the treatment they give to a
the thigh problem which has restricted
the England man’s career.

Sturridge has suffered nine separate
but similar injuries to the same thigh
and Rodgers says the issues may be
genetic – the striker’s father and two
uncles, Dean and Simon, both ex-
professionals, suffered with similar
injuries.

Rodgers admits the club will now use
the next couple of months to explore
every avenue in an attempt to find a
solution to the problem but the
manager absolved the player of any
blame.

"It is extremely unfair. He has just
been extremely unfortunate," he said.
"The last time he played was August 31
and he is a player who does not want
to be out for this length of time.

Consistent
"There is no-one more frustrated than
him at this present time. I spoke to him
today and he was as down as I have
seen anyone in terms of not being able
to help the team.
"I think now is the time for him and us
to go away to see what more we can
do to get him onto the pitch
consistently.

"He is world-class talent but he can
only fulfil that if he is playing games -
but there is no-one who wants that
more than Daniel; he wants to be
working and playing.
"We need to look to find the answers
to allow him over a consistent period
of time to perform here at
Liverpool.

Daniel has had up to nine
injuries on that same thigh over a
period time, not just over the last six
or seven months.
"We have to look across his time as a
young player and see where we can
find ways to get him out there playing."
While the club's medical staff will look
deeply into the problem it is likely
Liverpool will also explore external
specialist advice to get to the root of
the cause.
"There are many different ways of
dealing with players. I am very proud
of my medical and sports science team
here - we have shown our ability to get
players on to the field is second to
none," added Rodgers.

"Unfortunately for the likes of Daniel
over a number of years he has been
unable to have that fitness that is going
to allow him to play a consecutive
number of games.
"There are maybe cases due to a
player's make-up genetically where it
can be difficult. Hopefully in this
adverse moment we can find a way
that allows a programme over a period
of time that allows him to play and
train.

"With him being out we need to
refocus on the players who are fit and
available. We can't cry about it, we just
need to work really hard as a team
with the players who are fit and look to
get results."
Rodgers dismissed speculation he
could recall Belgium international
Divock Origi from his season-long loan
spell at Lille as that was a prerequisite
of the £10million deal they struck with
the French club in the summer.
For that to change the Ligue 1 side
would have to concede to a new
agreement, with Liverpool having to
pay considerable compensation, and
they have shown no appetite to
entertain such an option.

"I don't think there is any chance. It
was never the case," said
Rodgers. "When he was signed - and
there was no discussion - it was one
where he had to stay at Lille.
Reasons "I've seen reports saying he
may come back early but that was
never the case - one of the reasons we
were able to sign the player was that
he stayed there all season. As far as I
am concerned that is still the case."
That means there is extra pressure on
Mario Balotelli, who will be assessed
over the next 48 hours to see whether
he has fully recovered from the
hamstring injury which forced him to
leave international duty with Italy early.

Balotelli is yet to score a Premier
League goal since his £16million move
from AC Milan.
However, the misfiring Italian may at
last be close to getting the extra
support he needs up front after
Rodgers confirmed fellow summer
signing Rickie Lambert was due for
more action in the coming weeks.
"A lot of the focus this season has
been on players who are injured and a
player who is no longer here (Luis
Suarez)," he said. "I need to ensure my
time is devoted to the players who are
fit and available.

"Rickie will get an opportunity now - we
have so many games in an exciting
period and he will feature in those
heavily."
 
Janjaweed KOPS is big club.Period

Miaka ya 2000's ligi ya Spain hasa wakati wa Golden Era Spain aliyetamba ni BARCA hii haina maana kuwa Madrido alikuwa small club!

Italy Milan AC na Inter wote wana vikombe 18 ya ligi lkn sasa wana suasua hii haina maana kuwa sasa hawa giants ni small clubs kaka!

Nitakubaliana na wewe tu kuniambia kuwa we are not good lkn sio kama Kops ni team ndogo!Legacy ya Majogoo huwezi ukaimaliza kwa miaka 10 kaka!Man City mabingwa Uingereza mara 2 kwa miaka 3 ina maana Man City ni team kubwa zaidi ya Liverpool?Chelsea ni team kubwa zaidi ya Liverpool?Kwa takwimu zipi?

Mwisho jamani tubishane kwa hoja sio matusi
 
Last edited by a moderator:
MosDef SALUTE

your analysis is fully respected and i deffo agree with you kwamba we cant judge a team whether small or big simply by the players decision

Based ont he same argument, now tell me what are the criteria you chose to categorize teams

Tukirudi kwenye posts zako mbili hapo juu... majority of players and their decisions ulizoweka hapo zimelenga kwenye bids!! a club is capable of bidding higher value of they have money to spend, na kwakuwa soka imekua pesa, ukubwa unakua determined na pesa kwa kiasi kikubwa, PSG, manshitty, Scums, Bayern, Real, Barca, manure have ppurchasing power

kuhusu shitty vs. small club pia nakubali, probably small is way to extreme kulinganisha na shitty

with all due respect, nakubaliana na wewe kwamba we are a shitty club kwa sasa, and not small, lakini pia sio big club, coz we cant compete in the market, tuko level ya totts

PS: kuhusus willian, he was heading to liverpool, totts hijacked the deal and while in london, scums sealed the deal

Let me apologize to you and the wise supporters (with exception of one a$$h0le) kuhusu shitty vs. small, shitty is more appropriate term to be used, no malice, no matusi

ni ukweli usiopingika kuwa LFC ni "shitty club" kwa sasa, lakin hyo haituvui UKUBWA wetu as a CLUB..

Ukubwa wa CLUB unakuwa determined na;
1. Mkusanyiko wa makombe
2. Worldwide fan-base
3. mafanikio ya kibiashara
4. kuattract big investors na kusign deals kubwa.
5. uchumi wa club kama club etc.

hivyo vitu LFC wanavyo vyote na kwa upana sana!!! LFC ni club pekee dunian ambayo inaingiza pesa nyingi kupitia tu ile nembo ya "standard charted" kwenye jezi zetu zile!!...only a BIGGER club can attract deal kubwa kama hilo!!!

Kama ulimsiikiliza Billy hogan (director wa mambo ya biashara LFC) alipoulizwa kuhusu mchanganuo wa biashara na muitikio wa fans, akasema we've 580millions fans worldwide..Europe na Asia wakiwa katika front seat ya uwingi...a small club can not attract a bigger number ya fans kama hiyo...wakat nadhan unajua tu juzi tumesikia kuwa Man city haina fan-base East Africa!!!

LFC, ARSENAL and MANCHESTER UNITED bado ndo BIGGER club in ENGLAND lakin recently zimekuwa siyo TOP CLUB katika league ya ENGLAND...

mkuu Janjaweed siyo kwamba tunashindwa kucompete kwenye market, NO..hata mchezaj awe na ndoto za kuja kuichezea LFC ni lazima matakwa ya pesa yatekelezwe, market ya sasa imekuwa inflated, Club zinauza wachezaj kwa bei kubwa sana, coz mchezaj anaweza akademand mshahara mdogo katka personal terms lakin club husika ikataka hela nyingi, rejea saga ya Lallana etc...huwez ukabid £45m na kuendelea kwa mchezaj mzuri na mshahara wa maana na ukam-mkosa!!!

LFC hatujawah kufanya hicho kitu kwa muda mrefu sana, wakat wenzetu Arsenal ndo wanaanza kufunguka kwa sasa (sanchez, Ozil etc)..Kwa Emre Can kama syi nguvu za ziada za BR kwenda mpaka Germany kumshawishi Dogo ajiunge LFC, coz alikuwa ashagoma kutokana na mshahara tuliokuwa tunataka kumpa (wa kijinga)..asa kwa mtindo huo tutakosa wachezaj wengi sana, kwa mfano MB kama asingekuwa anataka kuja LFC asingekuja, coz walihakikisha mpaka kakubali kuukata mshahara wake ndo akasign mkataba!!!

Si unaikumbuka saga ya Mata katika Daglish error?? kipind master wa signings yupo LFC (comolli)..si Daglish aliletewa Mata akaamua kumsajili Downing na kumuacha Mata?? (unakumbuka hyo saga)??

unakumbuka Saga ya Aguero??..tangu akiwa ATM alikuwa ana ndoto za kuja Kucheza LFC coz ni kopite yule, na kipind kile hatukuwa UCL kabisa, lakin FSG walikuwa ready kuspend, lakin Daglish opted for Caroll kwa £35m...Aguero akaenda Man city...(si unakumbuka?) asa hapo ni kosa la LFC as a CLUB???..me huwa namchukia sana Daglish kuliko hata hodgson ni kocha ambae alitukosesha wachezaj weng sana wazuri kipind kile, Kwasababu ya Kutaka kuitengeneza LFC ya miaka 1980's kujaza waingereza watupu kwenye club, na mwisho wa siku Comolli got sacked, Na kwa bahat mbaya Kocha aliyekuja mpya (BR) alikataa kuwa na Director of football kwenye club (si unakumbuka FSG walikuwa washa-mPick Van Gaal??)..BR akagoma, Na LFC haina DoF mpaka leo, asa team inapokuwa haina DoF unategemea itafanya nn katika transfer market???..tangu ile transfer commitee ianzishwe imefanya nn?? na sahv naona BR kaamua kuitolea uvivu, maanake inasemekana kuna beef ya chini chini kati ya BR na Transfer commitee...na nadhan hata BR kuendelea kuwa stubborn kuhusu Formation ni kuikomoa Transfer comittee(mtazamo wangu)..coz imekuwa proved kuwa MB wasn't BR signings, Transfer comittee forced it...lakin hapa tunaangalia Affairs za club aisee, kwasababu kama ni blunder hata ye alifanya kwenye signungs za kina Borini, Aspas, Lovern etc...so akiendelea kucheza na formation ya aina moja na ikitokea akapigwa chini NITASUPPORT..coz as a Manager lazima uweke affairs za club mbele kwanza...

Janjaweed, si tunatakiwa tutoke katika mikono ya hawa wa Marekani..waje watu ambao wanajua ni jinsi gan market ya sasa ilivyokuwa inflated!!!..hapo watakuja wachezaj unaowataka wewe, lakin chini ya hawa waMarekani, Ayre na transfer committee, tutaendelea sana kusubiri!!

unakumbuka kuhusu links za REUS kipind kile???..Asa as a Club huwez kutoka na official statement kusema kuwa "LFC are baffled na Links za REUS"...thats a totally joke...tukubali tu kuwa we're shit na team yetu inaendeshwa kiswahili sana sahv...team haina "Director of football" kisa tu manager kakataa, anataka kufanya kazi na kina Morgan, Marsh, Poscoe (totally unExprienced backroom)...
Janjaweed i know how it feels kuwa a Liverpool fan brother and you just one of the true kopite humu JF, so chochote kile kuhusu club yako ni lazima ukiongee coz we ndo unayeijua club yako kiundani zaid na feeling unazozipata kuhusu hii club..naamini kuna watu huwa wanajufunza mengi kupitia Comments zako tactical analysis zako za soccer kuhusu LFC..so lets keep doing it, lets keep the family alive, we've managed to survive kwenye vipind kama hivi and we chose si wenyewe kuwa LFC fans..so as long as we're true kopite tupo free kuongea chochote tunachojiskia kuhusu our great Club!


Lets keep doing IT!


#YNWA
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom