Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

TRANSFER NEWS:

Marseille walipeleka offer ya kumnunua Wataru Endo kwa £11m ila ofa imekataliwa.

PSV Eindhoven wamepeleka ofa ya £10m kwa ajili ya kumchukua Sepp Van Den Verg lakini Liverpool imekataa ofa hiyo.

Tumekuwa na jeuri msimu huu kama walivyotufanyia last season tulipokuwa tuna njaa ya kusajili. Msimu huu hatuna njaa ya kusajili kitu ambacho ni kizuri sokoni unaepukana mijukano ya bei.

Edward namkubali sana kwenye deals za namna hii ngoja tuone atakavyo ni prove wrong this time.

Up Reds
YNWA
 
Back
Top Bottom