The MoNA nini maoni yako mchezo wa jana na Arsenal?
Premier wont be ready for Slotball.
Nafikiri ni miongoni mwa niliyekubali mapema sana kwa heri ya Klopp na kukubali ujio mpya wa koche yeyote. Binafsi ni mtu ninaemini sana deals za Edward hasa toka awe Sporting director wa klabu 2015. Jamaa naweza kusema 80% of his deals zinafit na zinakuwa za bei nzuri.
Kutuletea Slot was a huge gamble but aliangalia culture ya klabu kocha aliyepita na sera za wamiliki akaona Slot will fit kwani:- aliyewataka mwanzo Alonso na Amorin walikataa deal la kuwa head coach wakataka Manager Edward akashindwa na hapo akaja na asiyejulikana Arne Slot.
Since then nilichagua kumuamini ili nisije kuumia akifanya mabalaa, ila nilijipa 50/50 bado kwake. Nikasema nitatazama hizi mechi za pre season nimuone ameleta nini. Guys i can say tumepata kocha aisee. Kitu kimoja nilitamani kuona ni kocha mnyumbulifu na anayesoma mchezo kutoka na mpinzani sio kutokana na yeye. Bahati mbaya Klopp kwake hakuwa dynamic ndio maana kuna baadhi ya makocha walimuweza mf. Ancelloti toka akiwa Napoli na Madrid, kwa nini? Zuia flanks halafu mwachie mpira auchezee we were not good with the ball under Klopp, inakuwa rahisi kumshinda.
Slot alisema amekuwa na role model kadhaa, Klopp, Guardiola, Arteta, De Zerbi, Spalletti. Amenyofoa tuvitu vitu humo akaongeza na vya kiholanzin na anavyoviamini yeye. Kuna changes kubwa kwenye build up yetu na defending yetu pia. Jamaa anatumia double pivot MF which is something good kama Klopp angelimtumia Fabinho na DP asingechoka haraka pengine.
Tunafanya build up na CB’s plus GK, then RB & LB wanatanua wide, RW & LW wanakuwa simple wide, then mchakato unaendelea kuanzia hapo, unakutana na 2-4-4 kwenye build very risk ila inakuwa rahisi kubreak the lines. Kwenye defending nimeona inakuwa 4-2-4 pale opponent anafanya build up yake.
Slot bana he is very dynamic, anajua kudance according to the beat & rhythm. Im happy atleast kuona kuna changes kwenye build up na defending yetu, short passes accurate plus long passes. Nilisema Elliot, Szobo, Macca, Gakpo hawa wanaweza kushine sana under Slot kwa patterns zake, kwani hazihitaji only energetic players but also tactical players. Hapa ndio msimu Hendo angetukanwa na kutetewa sana, mchezo wa Pasi fupi fupi na ndefu kwa haraka unahitaji brainers.
Kwenye attacking naiona ile geggen pressing ya Mr. Klopp kwa mbaaaali ikitumika, unaona kama goli la jana kwenye box la mpinzani unakuta atleast 3-5 players wanshambulia. Nimeona high defensive line, ila hii kidogo inabakisha watu watatu kati kati which is good think risk but worth.
Elliot naona gari limekubali excellent assist from the boy, Szobozslai yule aliyemkununa Jurgen tunaweza kumuona under Slot, huenda Graven akafufukia kwa Slot, boy has a talent ile move yake kwenda Bayern ilimuharibu wakati tulimuhitaji ila nilielewa kwa nini.
Haya ndio mambo ya Slot kwa Sasa EPL is not ready for him, Arteta alimpa good test bwana Slot especially second half, Arsena wananikera defending yao na pressing yao, kama hauna ma brainer utaishia kufanya makosa kibao unahitaji watu watulivu sana hivi hivi utaminywa. Nilipenda zaidi Slot alipombana Arteta 1st half na kumnyima uhuru wa kucheza atakavyo, kuanzia pressing ya Slot, defending yake.
TAHADHARI:
Ni mapema sana kutoa view ya kusema next tutafanya nini ila tunaweza kuwa kwenye race. Wasi wasi wangu ni kwa Alison he is a Stopper world class one, ila kwa kufanya build kuanzia na yeye ni very risk guy is not good kwenye footwork hii inaweza kutusumbua zaidi. Moja ya silaha kubwa na Pep kwenye kutengeneza movements kuanzia nyuma ni yule Ederson anakuwa kama extra MF, footwork ya jamaa ni hatari sana, ngoja tuone Slot atafanya nini kwenye hili.
Challange ya pili kwa Slot ni Trent atamtumiaje kwa faida?? Challange nyingine kwa Slot ni kumpata no. 6 japo hapa ana msaada wa watu wawili Hughes and Edward. Tunahitaji no. 6 ambaye atarahisisha kazi ataleta uwiano mzuri kwenye attacking and defending.
Guys dont panic kwa Slot hana jina na wengi hawamjui ila we have that guy, good coach, with his brain about football, good days are there for us.
Tunasuburi behind the scene deals.
Up REDS
YWNA