We kashabikie midako sio mpira wa miguu.Hii timu Bora klopp alivyoondoka tu aisee mzee alikua anazingua miaka 9 EPL 1 na timu yake ilikua na uwezo wa kubeba EPL zaidi ya Moja aisee ni bonge Moja la flop
Unanuswa nyuma wewe sio bureWe kashabikie midako sio mpira wa miguu.
Sawa.Unanuswa nyuma wewe sio bure
Sawa mamaSawa.
Ila hujui lolote, jitahidi ufiche ujinga wako.
Acha kujitia umbelembele huu uzi hauna watoto wenzako. Nenda majukwaa ya Chelsea na Man city huko ukakeshe unatukanana.Sawa mama
Sawa mama mjamzitoAcha kujitia umbelembele huu uzi hauna watoto wenzako. Nenda majukwaa ya Chelsea na Man city huko ukakeshe unatukanana.
Una utoto mwingi sana Si ajabu Liverpool umeanza kuishabikia kipindi hiki hiki cha Klopp.Sawa mama mjamzito
Sawa mama nimeshabikia janaUna utoto mwingi sana Si ajabu Liverpool umeanza kuishabikia kipindi hiki hiki cha Klopp.
Una utoto mwingi sana Si ajabu Liverpool umeanza kuishabikia kipindi hiki hiki cha Klopp.
KwshachokaVVD mitano tena
Please katafute jukwaa linalokufaa sio hukuUnanuswa nyuma wewe sio bure
Tatizo hana adabuCan just close this chapter please, sio utamaduni wa huku…!!! Let him express his thoughts which mighty nit be realistic
Up reds
YNWA
Huyo dogo ninemuobserve kwa muda sana hana staha hata kidogo, ni mtu wa kuropoka tu, hajengi hoja ila kakaa kibishibishi.Please katafute jukwaa linalokufaa sio huku
We don’t deal with mental cases
What you see ni reflection ya maisha yakeHuyo dogo ninemuobserve kwa muda sana hana staha hata kidogo, ni mtu wa kuropoka tu, hajengi hoja ila kakaa kibishibishi.
Huyo dogo ninemuobserve kwa muda sana hana staha hata kidogo, ni mtu wa kuropoka tu, hajengi hoja ila kakaa kibishibishi.
Kanitukana sana ile jana halafu ilikuwa ni ishu ya kumwelekeza tu, lakini nashangaa kanitukana .What you see ni reflection ya maisha yake
Hatafika popote kwa mentality ile
Ile ni mental case kabisaKanitukana sana ile jana halafu ilikuwa ni ishu ya kumwelekeza tu, lakini nashangaa kanitukana .
Majukwaa yote hana staha ni kuropoka na matusi tu.Kanitukana sana ile jana halafu ilikuwa ni ishu ya kumwelekeza tu, lakini nashangaa kanitukana .
Sawa mamaMajukwaa yote hana staha ni kuropoka na matusi tu.