MosDef SALUTE
your analysis is fully respected and i deffo agree with you kwamba we cant judge a team whether small or big simply by the players decision
Based ont he same argument, now tell me what are the criteria you chose to categorize teams
Tukirudi kwenye posts zako mbili hapo juu... majority of players and their decisions ulizoweka hapo zimelenga kwenye bids!! a club is capable of bidding higher value of they have money to spend, na kwakuwa soka imekua pesa, ukubwa unakua determined na pesa kwa kiasi kikubwa, PSG, manshitty, Scums, Bayern, Real, Barca, manure have ppurchasing power
kuhusu
shitty vs. small club pia nakubali, probably small is way to extreme kulinganisha na shitty
with all due respect, nakubaliana na wewe kwamba we are a shitty club kwa sasa, and not small, lakini pia sio big club, coz we cant compete in the market, tuko level ya totts
PS: kuhusus willian, he was heading to liverpool, totts hijacked the deal and while in london, scums sealed the deal
Let me apologize to you and the wise supporters (with exception of one a$$h0le) kuhusu shitty vs. small, shitty is more appropriate term to be used, no malice, no matusi
ni ukweli usiopingika kuwa LFC ni "shitty club" kwa sasa, lakin hyo haituvui UKUBWA wetu as a CLUB..
Ukubwa wa CLUB unakuwa determined na;
1. Mkusanyiko wa makombe
2. Worldwide fan-base
3. mafanikio ya kibiashara
4. kuattract big investors na kusign deals kubwa.
5. uchumi wa club kama club etc.
hivyo vitu LFC wanavyo vyote na kwa upana sana!!! LFC ni club pekee dunian ambayo inaingiza pesa nyingi kupitia tu ile nembo ya "standard charted" kwenye jezi zetu zile!!...only a BIGGER club can attract deal kubwa kama hilo!!!
Kama ulimsiikiliza Billy hogan (director wa mambo ya biashara LFC) alipoulizwa kuhusu mchanganuo wa biashara na muitikio wa fans, akasema we've 580millions fans worldwide..Europe na Asia wakiwa katika front seat ya uwingi...a small club can not attract a bigger number ya fans kama hiyo...wakat nadhan unajua tu juzi tumesikia kuwa Man city haina fan-base East Africa!!!
LFC, ARSENAL and MANCHESTER UNITED bado ndo BIGGER club in ENGLAND lakin recently zimekuwa siyo TOP CLUB katika league ya ENGLAND...
mkuu
Janjaweed siyo kwamba tunashindwa kucompete kwenye market, NO..hata mchezaj awe na ndoto za kuja kuichezea LFC ni lazima matakwa ya pesa yatekelezwe, market ya sasa imekuwa inflated, Club zinauza wachezaj kwa bei kubwa sana, coz mchezaj anaweza akademand mshahara mdogo katka personal terms lakin club husika ikataka hela nyingi, rejea saga ya Lallana etc...huwez ukabid £45m na kuendelea kwa mchezaj mzuri na mshahara wa maana na ukam-mkosa!!!
LFC hatujawah kufanya hicho kitu kwa muda mrefu sana, wakat wenzetu Arsenal ndo wanaanza kufunguka kwa sasa (sanchez, Ozil etc)..Kwa Emre Can kama syi nguvu za ziada za BR kwenda mpaka Germany kumshawishi Dogo ajiunge LFC, coz alikuwa ashagoma kutokana na mshahara tuliokuwa tunataka kumpa (wa kijinga)..asa kwa mtindo huo tutakosa wachezaj wengi sana, kwa mfano MB kama asingekuwa anataka kuja LFC asingekuja, coz walihakikisha mpaka kakubali kuukata mshahara wake ndo akasign mkataba!!!
Si unaikumbuka saga ya Mata katika Daglish error?? kipind master wa signings yupo LFC (comolli)..si Daglish aliletewa Mata akaamua kumsajili Downing na kumuacha Mata?? (unakumbuka hyo saga)??
unakumbuka Saga ya Aguero??..tangu akiwa ATM alikuwa ana ndoto za kuja Kucheza LFC coz ni kopite yule, na kipind kile hatukuwa UCL kabisa, lakin FSG walikuwa ready kuspend, lakin Daglish opted for Caroll kwa £35m...Aguero akaenda Man city...(si unakumbuka?) asa hapo ni kosa la LFC as a CLUB???..me huwa namchukia sana Daglish kuliko hata hodgson ni kocha ambae alitukosesha wachezaj weng sana wazuri kipind kile, Kwasababu ya Kutaka kuitengeneza LFC ya miaka 1980's kujaza waingereza watupu kwenye club, na mwisho wa siku Comolli got sacked, Na kwa bahat mbaya Kocha aliyekuja mpya (BR) alikataa kuwa na Director of football kwenye club (si unakumbuka FSG walikuwa washa-mPick Van Gaal??)..BR akagoma, Na LFC haina DoF mpaka leo, asa team inapokuwa haina DoF unategemea itafanya nn katika transfer market???..tangu ile transfer commitee ianzishwe imefanya nn?? na sahv naona BR kaamua kuitolea uvivu, maanake inasemekana kuna beef ya chini chini kati ya BR na Transfer commitee...na nadhan hata BR kuendelea kuwa stubborn kuhusu Formation ni kuikomoa Transfer comittee(mtazamo wangu)..coz imekuwa proved kuwa MB wasn't BR signings, Transfer comittee forced it...lakin hapa tunaangalia Affairs za club aisee, kwasababu kama ni blunder hata ye alifanya kwenye signungs za kina Borini, Aspas, Lovern etc...so akiendelea kucheza na formation ya aina moja na ikitokea akapigwa chini NITASUPPORT..coz as a Manager lazima uweke affairs za club mbele kwanza...
Janjaweed, si tunatakiwa tutoke katika mikono ya hawa wa Marekani..waje watu ambao wanajua ni jinsi gan market ya sasa ilivyokuwa inflated!!!..hapo watakuja wachezaj unaowataka wewe, lakin chini ya hawa waMarekani, Ayre na transfer committee, tutaendelea sana kusubiri!!
unakumbuka kuhusu links za REUS kipind kile???..Asa as a Club huwez kutoka na official statement kusema kuwa "LFC are baffled na Links za REUS"...thats a totally joke...tukubali tu kuwa we're shit na team yetu inaendeshwa kiswahili sana sahv...team haina "Director of football" kisa tu manager kakataa, anataka kufanya kazi na kina Morgan, Marsh, Poscoe (totally unExprienced backroom)...
Janjaweed i know how it feels kuwa a Liverpool fan brother and you just one of the true kopite humu JF, so chochote kile kuhusu club yako ni lazima ukiongee coz we ndo unayeijua club yako kiundani zaid na feeling unazozipata kuhusu hii club..naamini kuna watu huwa wanajufunza mengi kupitia Comments zako tactical analysis zako za soccer kuhusu LFC..so lets keep doing it, lets keep the family alive, we've managed to survive kwenye vipind kama hivi and we chose si wenyewe kuwa LFC fans..so as long as we're true kopite tupo free kuongea chochote tunachojiskia kuhusu our great Club!
Lets keep doing IT!
#YNWA