Mkuu hii Liverpool sisi sio wageni tunaijua vizuri linapokuja suala la kusajili.
Kiufupi Liverpool walifanya Vetting ya kutosha wakaona only Slot ndiyo new version ya Klopp atakayekuwa Yes boss ndiyomana mpaka muda huu jama anasifia kikosi kilichopo na hajaongea ulazima wa kusajili baadhi ya nafasi.
Umesikiliza interview zake mkuu,?? Hopefull not, and incase is ndio umesikiliza umemiss his huge points.
Summary ya aliyosema.
Kwanza Slot hajasifia kikosi, interview yake ya kwanza alisema atashangazwa kama hatautasajili.
Tuna kikosi ila kwa kuangalia Pre season yes ila tuna a normal avarage players, wengine wana vikosi kwenye kila position kuna nafasi mbili mbili hadi tatu, tofauti na timu yetu. Ukiangalia vijana wengi watarudi u-18, u-19, u-21.
Mie na Richard tunawasiliana kwa karibu kuona namna tunaweza kupata wachezaji wazuri zaidi.
END
Mkuu Slot ni kocha wa tofauti kabisa na Klopp linapokuja suala la ubora wa kikosi, hakuna mahali amesefia kikosi zaidi, amesema hayao niliyoyasema hapo juu.
Slot alikasirishwa na mechi ya utd kuruhusu nafasi nyingi sana, “We conceded many chances”, In term of reality Slot is far miles kwa Klopp.
Dude will shine”,. JOYOUS DAYS ARE AHEAD…
We will enjoy Slot’s era. Just a proper DM, LCB and RW and its a winnable team we will have.
Up reds
YNWA