Ilishawahi tokea kipindi kile timu inataka kufilisiwa na Royal Bank of ScotlandMashabiki wa Liverpool walioko Uingereza ndio wanatuangusha
Hawawezagi hata kuandamana kuwatia jamba jamba wamiliki
Hawaoni wenzao wa Man Utd walitia jamba jamba mpaka wamiliki wakafanya mabadiliko kwenye uongozi
Mashabiki wameanza tutabia twa wanasiiimmbaaaaaIlishawahi tokea kipindi kile timu inataka kufilisiwa na Royal Bank of Scotland
Unaona kinachofanywa na FSG? Wanaboresha miundombinu tu lakini kusajili sasaMashabiki wameanza tutabia twa wanasiiimmbaaaaa
Kama mimi yaani sema kwa vile alikuwa kijukuu cha malkia ila kama angekuwa wa nje wangeisha mtimua muda mrefu mno.😂😂😂 ila tuache utani Henderson sikuwahi kumuelewa hata siku moja
Waingereza wana uzalendo mwingi mnoooKama mimi yaani sema kwa vile alikuwa kijukuu cha malkia ila kama angekuwa wa nje wangeisha mtimua muda mrefu
Kama kawaida utasikia we are working behind the scenes kwamba Hughes yupo bizy sana kukokotoa target....Unaona kinachofanywa na FSG? Wanaboresha miundombinu tu lakini kusajili sasa
Mwazimeni tajiri wa Chelsea kwa muda awatolee mpunga make wataalam wenu wana macho ya kuona wachezaji...tajiri wenu anaishi maisha ya kimasikini sana kwenye kuleta burudani.Kama kawaida utasikia we are working behind the scenes kwamba Hughes yupo bizy sana kukokotoa target....
Slot haelewi yupo anajipa moyo kwamba ana access kikosi kumbe bila kujua FSG wanatega kwanza kuuza zaidi ndio wanunue... Baada ya kuuza Fabio tutegemee na angalau wengine wawili kuodoka ndio kusajili.
Ishu ipp wazi hatuna DM wa uhakika Liverpool.. Rodri ni injini ya timu kama alivyokua Fabby kwetu akiwa kwenye peak... Hatujapata replacement ya Fabby
YNWA
Mwazimeni tajiri wa Chelsea kwa muda awatolee mpunga make wataalam wenu wana macho ya kuona wachezaji...tajiri wenu anaishi maisha ya kimasikini sana kwenye kuleta burudani.
Patamu hapo.UPDATED ZUBIMENDI DEAL.
Liverpool walitaka kumsajili kwa udi na uvumba Zubimendi kutoka Real Sociedad ila deal likafa kwa sababu nayoweza kuiita LOYALTY.
Zubimendi amekulia Sociedad toka akiwa na miaka 12 mpaka hivi sasa, its his club boyhood. Liverpool walivutiwa nae na walitaka ku trigger his real clause ila ikabaki kwa Zubimendi kusema Yes/No. Zubimendi alikubali deal la kuondoka Sociedad na kuhamia Liverpool, lakini utata ukaja kwa Sociedad wakamtaka ajifunge kwenye kipengele cha buy out clause maana yake ni kwamba ajinunue mwenywe kwa £51m ambacho ni kujichonganisha na mashabiki na kuonekana msaliti au abaki na kuongezewa mkataba utakomfanya kulipwa pesa nyingi kuliko mchezaji yeyote yule pale Real Sociedad. Zubi aka turn out his mind kuondoka na kuamua kubaki Sociedad.
Ishu imekuja kuwa ngumu hapa;
Liverpool walimuahidi kumlipa Triple ya anachochukua sasa hivi Sociedad (£50k per week) kwa kutua kwake Anfield angelipwa (£150k per week) maximum. Ikumbukwe mchezaji anayelipwa pesa nyingi Sociedad ni Mikel Oyarzabal kitita cha €69,231 per week. Baada ya Zubi kukataa ofa ya Liverpool ili kupata reward ya his loyalty kwa Sociedad mambo yamekua magumu huko Sociedad. Kwa mujibu wa wakala wake anasema Zubi alikubali kubaki kama uungwana kwa Sociedad ila inavyoonekana mambo yanaenda kinyume na makubaliano.
Kuna taarifa LFC wanaweza kurudi kulifufua deal upya na kuona uwezekano wa kumchukua Zubi.
Up Reds
YNWA.
kwa kikosi gani?
Acha maneno bana, hampendeki, ingekuwa chelsea au hata Barca angekubali hata kwa 80kUPDATED ZUBIMENDI DEAL.

Klopp angekuwa ndio kocha wala jamaa asingewaza mara mbili, ila akiwaza CV ya kocha aliyepo anaona bora asikilizie kwanzaAcha maneno bana, hampendeki, ingekuwa chelsea au hata Barca angekubali hata kwa 80k