Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Unaona kinachofanywa na FSG? Wanaboresha miundombinu tu lakini kusajili sasa
Kama kawaida utasikia we are working behind the scenes kwamba Hughes yupo bizy sana kukokotoa target....

Slot haelewi yupo anajipa moyo kwamba ana access kikosi kumbe bila kujua FSG wanatega kwanza kuuza zaidi ndio wanunue... Baada ya kuuza Fabio tutegemee na angalau wengine wawili kuodoka ndio kusajili.

Ishu ipp wazi hatuna DM wa uhakika Liverpool.. Rodri ni injini ya timu kama alivyokua Fabby kwetu akiwa kwenye peak... Hatujapata replacement ya Fabby

YNWA
 
Mwazimeni tajiri wa Chelsea kwa muda awatolee mpunga make wataalam wenu wana macho ya kuona wachezaji...tajiri wenu anaishi maisha ya kimasikini sana kwenye kuleta burudani.
 
Ukiachana na kuazima tajiri, hii sentensi “wataalamu wenu wana macho ya kuona wachezaji” mashabiki wengi wa LFC huwa hawalioni hili.

Nimeona keyboard warriors kwenye IG ya LFC wameanza na tags za FSGOUT…!!!
 
Fsg hawana matamanio makubwa ya kushinda makombe isipokuwa kushinda vitabu vya mahesabu pekee. Na hawajiwezi kwa lolote kwenye biashara ndio maana walimlilia sana Klopp baada ya kuwakatalia wakamlilia sana Edward aje, kwa nini wawalilie watu hawa,?

Wao wanajali vitabu vya mahesabu zaidi with Jurgen vitabu vilibalansi vizuri sana kwa bajeti ndogo sana, huku timu ikiwa inakimbizana na City na baadae Arsenal.

Kwa Edward ni mule mule, fikiria Fabio sio regular stater LFC sio squad player LFC hatukuwa nae whole last season, tulimnunua 5M na kumuuza 27M. FSG walijua Edward he is genius when it comes kwenye hizi biashara. Deal la Solanke kwenda Spurs limeipa LFC 7M kwenye vipengele alivyowekeana kipindi kile wanamuuza kwenda B’mouth.
Kwa deal kama Fabio ukiwa iliwaumiza wengi lkn huwezi kukataa hela ya mchezaji kama Fabio ambayo ni 27 ongezeko la mara tano ya bei aliyonunulia huku ukiwa haumuhitaji.

Clark akiuzwa sio chini ya 25M
Sepp V.D Berg akiuzwa price tag ni 20M

These are the reasons why FSG wanted KLOPP to stay na baada ya kuwachomolea walimuhitaji Edward sana.

Sidhani kama Edward na jopo lake halijachungulia no. 6 zaidi ya mmoja ila tatizo mabosi sio watu wa mpira hata kidogo, kabla deal halijawa published kuna majadiliano lazima yawepo na ndio hapo mwanzo mgumu wa madeal mengi kufa kufa.

FSG walimsumbua Klopp azungumze hadi na mama yake Jude but it was sad ending.

Deal za Edward ni zile zile unamchukua mchezaji unamuacha huko after a season mnamfuata. We did kwa Origi, Keita, VVD (huyu tulimsubiri kabisa).

Guys i think hatuko kubaya sana kama wengi waaminivyo, our challange is depth only. Two good signs are quite fine to me. DM & Versatile offensive player.
 
UPDATED ZUBIMENDI DEAL.

Liverpool walitaka kumsajili kwa udi na uvumba Zubimendi kutoka Real Sociedad ila deal likafa kwa sababu nayoweza kuiita LOYALTY.

Zubimendi amekulia Sociedad toka akiwa na miaka 12 mpaka hivi sasa, its his club boyhood. Liverpool walivutiwa nae na walitaka ku trigger his real clause ila ikabaki kwa Zubimendi kusema Yes/No. Zubimendi alikubali deal la kuondoka Sociedad na kuhamia Liverpool, lakini utata ukaja kwa Sociedad wakamtaka ajifunge kwenye kipengele cha buy out clause maana yake ni kwamba ajinunue mwenywe kwa £51m ambacho ni kujichonganisha na mashabiki na kuonekana msaliti au abaki na kuongezewa mkataba utakomfanya kulipwa pesa nyingi kuliko mchezaji yeyote yule pale Real Sociedad. Zubi aka turn out his mind kuondoka na kuamua kubaki Sociedad.

Ishu imekuja kuwa ngumu hapa;
Liverpool walimuahidi kumlipa Triple ya anachochukua sasa hivi Sociedad (£50k per week) kwa kutua kwake Anfield angelipwa (£150k per week) maximum. Ikumbukwe mchezaji anayelipwa pesa nyingi Sociedad ni Mikel Oyarzabal kitita cha €69,231 per week. Baada ya Zubi kukataa ofa ya Liverpool ili kupata reward ya his loyalty kwa Sociedad mambo yamekua magumu huko Sociedad. Kwa mujibu wa wakala wake anasema Zubi alikubali kubaki kama uungwana kwa Sociedad ila inavyoonekana mambo yanaenda kinyume na makubaliano.

Kuna taarifa LFC wanaweza kurudi kulifufua deal upya na kuona uwezekano wa kumchukua Zubi.

Up Reds
YNWA.
 
Patamu hapo.
Wazungu wapo smart sana linapokuja swala la pesa, mapenzi na maisha.
 
IMG-20240815-WA0026.jpg
 
Ko huyu nfo mnamtegemea awafikishe mbali😂😂😂😂😂
 
Attachments

  • Screenshot_20240816-105128.png
    Screenshot_20240816-105128.png
    928.6 KB · Views: 5
UPDATED ZUBIMENDI DEAL.

Liverpool walitaka kumsajili kwa udi na uvumba Zubimendi kutoka Real Sociedad ila deal likafa kwa sababu nayoweza kuiita LOYALTY.

Zubimendi amekulia Sociedad toka akiwa na miaka 12 mpaka hivi sasa, its his club boyhood. Liverpool walivutiwa nae na walitaka ku trigger his real clause ila ikabaki kwa Zubimendi kusema Yes/No. Zubimendi alikubali deal la kuondoka Sociedad na kuhamia Liverpool, lakini utata ukaja kwa Sociedad wakamtaka ajifunge kwenye kipengele cha buy out clause maana yake ni kwamba ajinunue mwenywe kwa £51m ambacho ni kujichonganisha na mashabiki na kuonekana msaliti au abaki na kuongezewa mkataba utakomfanya kulipwa pesa nyingi kuliko mchezaji yeyote yule pale Real Sociedad. Zubi aka turn out his mind kuondoka na kuamua kubaki Sociedad.

Ishu imekuja kuwa ngumu hapa;
Liverpool walimuahidi kumlipa Triple ya anachochukua sasa hivi Sociedad (£50k per week) kwa kutua kwake Anfield angelipwa (£150k per week) maximum. Ikumbukwe mchezaji anayelipwa pesa nyingi Sociedad ni Mikel Oyarzabal kitita cha €69,231 per week. Baada ya Zubi kukataa ofa ya Liverpool ili kupata reward ya his loyalty kwa Sociedad mambo yamekua magumu huko Sociedad. Kwa mujibu wa wakala wake anasema Zubi alikubali kubaki kama uungwana kwa Sociedad ila inavyoonekana mambo yanaenda kinyume na makubaliano.

Kuna taarifa LFC wanaweza kurudi kulifufua deal upya na kuona uwezekano wa kumchukua Zubi.

Up Reds
YNWA.
Acha maneno bana, hampendeki, ingekuwa chelsea au hata Barca angekubali hata kwa 80k
 
[emoji599][emoji837] Arne Slot on Zubimendi not joining Liverpool: “I believe our squad is really strong and it’s not easy to find players who can strengthen us”.

“Zubimendi was one, yes… but unfortunately he decided not to come and we move on”.

Sent from my 23129RAA4G using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom