The MoNA tupe mtazamo wako mechi ya jana
Slotball.
Brentford walijaribu sana kutushambulia but we were combact enough hawakuwa na madhara sana.
Ubora wa Alisson, Ibou, Vvd, Gravern, pass makini za Trent, Runs za Szobo, ziliwafungua Brent, vizuri tu. Magoli mazuri, la kwanza counter, la pili flowing move, good timing, good decisions kwenye magoli yote.
Mimi ni muumini wa double pivot, sana kwa sababu inasadia kutunza energy ya kiungo wako no. 6 na kuwa na watu wawili katikati.
Bado wachezaji wanahangaika na system ya Slot ila pole pole inawaingia.
Vvd na Ibou waliwin aerial duels nyingi sana, 2nd balls tuliziwin nyingi sana. Ikarahisisha maisha ya timu kwa ujumla wake.
Mtu naona tunahitaji mbadala wake ni Robertons ule upande wake upo very weak ukianza na yeye mwenyewe, ana struggle sana. Robbo alishamaliza mpira ma LFC since 2022/2023, injuries ya za last season zimemmaliza. He is not the same.
Uzuri sasa hivi kila mtu anatekeleza wajibu wake, hakuna mtu kuhangaika na jukumu la mtu.
Slot naona anavyomtumia Trent huenda tukamfaidia sana offensively na defensively kwa sababu hamtumii kuingia ndani zaidi anamuacha akae pembeni, zaidi which is good hata mkishambuliwa space inakuwa ndogo.
Slot sio attack attack coach kuna muda anacotrol mchezo with less intensity ili ku save energy ya wachezaji wake na kupunguza Spaces, kupunguza makosa yatokanayo na counter za opponents. Which is good thing, kuna muda ni bora kulinda moja ulilopata kuliko kuhangaikia mengine ambayo pengine unaweza kukosa.
Kuna njia nyingi za ku defense na moja wapo ni possession with low intensity, less counter, stay focused kwenye patterns, na combination plays.
Combination play ni mchanganyiko wa patterns na namna ya kucheza kuna muda inakuwa diamond, triangle, rectangular, passing through players, individual dribbling n.k hii inasaidia kumchanganya mpizani wako asijua unatumia nini.
Kuna muda Salah alikuwa anagonga 1.2 anaondoka, kuna muda Trent aliingia katikati, na 1,2 yeye na Szobo, kuna muda through dribbling, kuna muda tulikuwa, 4–2-4 kwenye kukaba, kuna muda 4-4-2 kwenye kuzuia. Baada ya goli la pilia tukapiga Slot ball with flowing movements waohh, just waooh..!!!
It’s a second match, binafsi gari la Slot nilishapanda muda tu, mengine mambo ya pira.
Gravern kwenye no. 6 anaicheza vizuri mno, mno, weakness yake ni tackling kama ile aliyoifanya jana unaona he is not expert kwenye mambo hayo akaishia kupata njano. Bradley, Konate hawa ndio wataalamu wa Tackling pale LFC, timing yao nzuri sana.
Namba nzuri kwa mtu ambaye sio natural 6.
Tukio lililoshika hatamu mechi ya jana. Nilipenda Slot alivyomfuata jana Trent baada ya kuonesha kutoridhishwa na kufanyiwa sub dk zile, Na hata alivyolijibu swali hilo kuhusu tukio lile.
Trent he is a world class player, kikubwa akubaliane na hali, na aendelee kupiga kazi, Anfield inamkubali sana na LFC inamtegemea kwenye ubora wake, (quality passes, long and shot passes, long and short ranges). Kipimo kizuri ni next match vs Utd at OT.
Its too early ila tuna enjoy every moment we have under Slotball. He might be our Bob Paisley
Best luck to us
Up reds
YNWA