The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,168
- 10,184
Nunez anaingia top 5?
Taja mastriker 5 uone kama Nunez atakosekana”,. ST.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nunez anaingia top 5?
Kadi ya mwaka juzi hadi leo tunaimba hiyohiyo[emoji23][emoji23]
Huyu ndio mzuri sasa
Kuna watu akili itawajia
Sio mtu anaboronga tu
Mechi inayofuata anapata namba
Hakuna tena yale ma hug [emoji847] ya Klopp. Slot ni kazi kazi hana bla bla. Kwa hili nasimama nae. Klabu kwanza mengine baadae. Klopp alitaka kua mwema kwa kila mtu wakati mwingine ilimgharimu mechi kwa kukosa ujasiri wa sub kama hizi.
YNWA
Klopp na ka cult club kake ka miujiza huku henderson
Huku milner huku trent humwambii mtu yule babu.
Klopp bwana klopp [emoji23][emoji23] klopp alkua mhuni sana yule mzee anakupump unaamini wewe duniani hamna kama wewe
Ref to Gini haya akahama [emoji23][emoji23]
Na mwingine mnamjua nyie
Klopp alikua ana believe kwenye miracles funny football... fantasies
Na it was funny watching klopp era mimi alifanya ni believe everything ni possible
Huyu slot tumpe muda
Asiporudi kwenye mambo ya cult ya klopp tutaona [emoji23][emoji23]
Maombi yazidishwe kwa Nunez
Hehehehe kuna comment niliiona mahali dah.!!!
Ety “kila mtu kwa imani yake afanye jambo kwa ajili ya Nunez watu wa kwao wamuachie.”
Kuna wanaigeria wa LFC wamesema wapelekewe Nunez wakamtengeneze.
Jamaa ana kila kitu cha kumfanya awe mchezaji mzuri ila msingi wake hautimizi, (kufunga magoli). Anyway sisi shabiki zake tunasubiri under Slot atafanya nini?? Kisha nitakuja kurusha taulo au niendelee kupanda gari lake.
Haifanyi kazi mkuu, mi tangu usiku wa kuhamka jana ina sumbua
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Kummke tokea jana nina-uninstall na ku-install upya tu kumbe wahuni washafanya yao.
Huenda ndiyo mwisho wake huu haitorudi tena.
Naomba huo ujumbe Mkuu hata screenshot yake.Hehehehe kuna comment niliiona mahali dah.!!!
Ety “kila mtu kwa imani yake afanye jambo kwa ajili ya Nunez watu wa kwao wamuachie.”
Kuna wanaigeria wa LFC wamesema wapelekewe Nunez wakamtengeneze.
Jamaa ana kila kitu cha kumfanya awe mchezaji mzuri ila msingi wake hautimizi, (kufunga magoli). Anyway sisi shabiki zake tunasubiri under Slot atafanya nini?? Kisha nitakuja kurusha taulo au niendelee kupanda gari lake.
Mmiliki wa ule mtandao kabananishwa ufaransa huko.Kummke tokea jana nina-uninstall na ku-install upya tu kumbe wahuni washafanya yao.
Huenda ndiyo mwisho wake huu haitorudi tena.
The MoNA tupe mtazamo wako mechi ya jana
Kafanyaje?Mmiliki wa ule mtandao kabananishwa ufaransa huko.
Kafanyaje?
Wachezaji wapo zaidi ya 20 ukiweka na vijama wa Academy sasa huyu Trent ananuna nini wakati hizi sub zina manufaa kwa wote. Yeye atulie tuli Slot haangalii jina anataka mfumo ueleweke na utekelezwe bila bla bla...Tulishihudia kwa Henderson baada ya kuondolewa.
Klopp alizidisha ubaba sana, ikafika mahali wachezaji wakaona hata ikitokea nimeharibu next match nitakuwepo.
Kwa maamuzi haya ya Sub nafikiri sasa ni wakati wa wachezaji kujituma, hakuna mchezaji wa kocha. Ni kazi kazi.
Amezingua hata Vvd piga bench weka sub, hakuna kulea lea kimayai.
Halafu Trent hajazoea hii hali kwani miaka yake yote ya professional football anamjua Klopp hakuwahi kupitia hizi heka heka. Zabu anazofanyiwa sio kwamba hafai, ameharibu, hapana ni kwa ajili ya faida yake. Long season to go. Kingine Trent anaweza kumuhofia Bradley maana bwana mdogo hana masihara, no. Anaitaka sana which is good thing. Sasa hivi kidoooogo akiumia Trent pressure inakuwa kidgo kwa sababu ya Trent. Kitu kama hiki tunakiona kwa Pep, hata Slot alisema timu zingine kila no zina wachezaji wawili wawili, wengine hadi watatu position moja.
Hofu yangu ni DM na LCB,
😝😝😝😝Yaani FSG na akina Gillett ni full vimeo aisee ni balaa sijui ni nuksi ipi ... Ipo hivi team ikiwa kwenye peak ndio wamiliki hua wanacheki vipaji na kuongezea nguvu wale waliopo klabuni , ukijiuliza kwa nini Barcelona, Real Madrid, Manchester City, Bayern nk hawachezi mbali na makombe ni kwa sababu wanajicho la vipaji kwa bei yoyote kusudi kuwe na continuity uwanjani.. Tulikua kwenye peak 2019 na 2020 yaani pale ilifaa FSG kuingia sokoni full throttle kusudi sasa kua kikosi kipana sana cha kutetea UCL na EPL lakini FSG walidhani miujiza ya Klopp inatosha kuleta ubingwa na mwishowe tupo hapa Klopp hoi kaona kisha nini kupata ma presha na Yankees akasepa na sasa ni Slot.Mr captain if you understand one thing about Liverpool you will stop being irritated by FSG
Being a kop is like being in a cult, all you need to do is to believe
In a perspective view i was irritated when we signed endo and yes endo was bad signing mjapan mhuni yule hana strength katuchoma sana
Klopp knew ndio maana akataka caicedo hata kwa kutoa 125m yaani sio hawajui wanajua where there is a defect
Ni kwamba sasa ni cult organisation
Liverpool ni ka team flani hivi ka miujiza kanakotegemea scousers sajili chache zinazodumu muda mrefu
Better call us mwamposa fc miracle team
Hata kumchukua slot wakachukua mtu anayedevelop vipaji
Si unaona trent sa hivi mapema anatoka kapumzike baba