Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Bro!
Nimekuelewa na nimeelewa sana. 👍
 

Appreciated mate alot. Thanks.

But still Edward is smart sana, Kama alivyo Mike Gordon katika mission zake mpaka kumuamini yes he has good IQ & EQ.
Dr. Ian Graham huyu tumuache kwanza, alitofautiana na Klopp baadhi ya Transfer kama hii ya Nunez. Bado nawaza nani alikuwa nyuma ya kuendelea kubaki na kina Keita, Thiago, Ox, Matip licha ya kuwa ni injury prones?? Again lack of quality ya Hendo na Milner why tuliendelea kuwang’anga’ania for long licha ya kuwa leas productive hasa last 3yrs??

If Gordon, Edward, Klopp, Ward walikuwa too that smart kwa hili la kuheld long injury prones nawavuwa vyeo.

Then we can Say, Klopp amewabeba hao wote, they were there before Klopp entrance & we did nothing zaidi ya Carling cup 2012 vs Cardiff.

Kwa maelezo haya basi our Perez is Mike Gordon, master mind, kwenye maeneo fulani hasa katika financial issues.

Hendry anachokitaka yeye ni pochi lisome tu hela, on the pitch hana uelewa sana, na EUROPEAN FOOTBALL zaidi ya American Football. Sell to buy policy wanajua wao kutokana na kutumika sana America japo hata ulaya ipo kwa timu kama Ajax, Shakhtar Donetsk miaka ya nyuma kidogo, Southampton tulipoigeuza academy yetu, but under FSG ilikuwa tofauti kwa klabu kama LFC kuuza first team players ili kuleta fresh legs tulikuwa tunajichimbia shimo kama haupati like for like replacements.


Slot hajaaminiwa na mashabiki wengi, bado watu wanaona hatoshi kuvaa viatu vyake Klopp, but but but, wanajicheleweha kufurahia good moments.
 
Slot akifanikiwa kubeba UEFA na EPL basi atakuwa Mwamba sana
 
[emoji837]Liverpool submit Champions League squad for 2024-25.

Alexander-Arnold, Alisson, Chiesa, Diaz, Endo, Gakpo, Gomez, Gravenberch, Hill, Jaros, Jones, Jota, Kelleher, Konate, Mac Allister, Morton, Nallo, Nunez, Nyoni, Robertson, Salah, Szoboszlai, Tsimikas, Van Dijk.


Conor Bradley, Harvey Elliott and Jarell Quansah – are eligible but do not need to be included on List A due to their ages and club-trained status.

YNWA
 
Ha u sound mkongwe ila tu wadada kwenye mpira emotion zenu husomeka kama watoto hivi.

Anytime feel at home
How do I sound like?
Naonekana kama nyie eeh watoto wa 99😝

Mie bwana nina roho nyepesi sana wakati wa mpira huwa nalia kabisa
Iwe Kwa machungu au furaha.

Na huwa narusha miguu mikono kichwa
Wakati hata danadana sijui kupiga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…