Basi ngoja nikuache tu hivyohivyo [emoji23][emoji23]
Hujambo the Mona?
Wapigwe popote wanapokanyaga hawa wajinga[emoji1787]
Mimi na Salah tunasubiri kulipa kisasi labda this time tutaweza
Amezidi sana umri labda 40,.lakini ni under 40 huyo hahahaha
Hata hao Ethad Elite Squad wameweza kuzalisha serial 1st squad member ni Foden tu then akina Bob wanachipukia sana sana wameuza list ni ndefu Laiva, Sancho, Palmer, Ienacho, Delap, Brahim Diaz, Trafford nk nk...
YNWA
YuleMawazo yangu π€
Tumsifu au kumponda kila kocha kwa zama zake na uwezo wake. Kwasasa tuendelee kufurahia hiki tunachokiona huku tukiomba kidumu, tusijegeuka Spurs, msimu jana walionekana wako serious mpk wakawekwa kwenye wagombea ubingwa, ila siku walipoanza kupigwa mpk huruma.
Hatuhitaji kufanya comparisons kati ya walimu hawa wawili...maana huyo mmoja ni an undisputed living legend wa Liverpool acha apumzike.
Mwamba aliyeturejeshea heshima, na kutupa nafasi ya kuonekana vibanda umiza bila presha
Naona wote wanafichiana ma weakness yao maana under pressure Macca ndio weak link pale MF.. Tazama hata gemu ya Man U.... But Macca is special rarely hua anapoteana mazima... Muone hapaCaptain huyu dogo weaknesses zake zote zinafichwa na Macca πππ
Ooooops not the one i meant.Naona wote wanafichiana ma weakness yao maana under pressure Macca ndio weak link pale MF.. Tazama hata gemu ya Man U.... But Macca is special rarely hua anapoteana mazima... Muone hapa
View attachment 3089628
YNWA
Kwamba ana sura ya kirefareeπ