Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Mawazo yangu 🤔
Tumsifu au kumponda kila kocha kwa zama zake na uwezo wake. Kwasasa tuendelee kufurahia hiki tunachokiona huku tukiomba kidumu, tusijegeuka Spurs, msimu jana walionekana wako serious mpk wakawekwa kwenye wagombea ubingwa, ila siku walipoanza kupigwa mpk huruma.
Hatuhitaji kufanya comparisons kati ya walimu hawa wawili...maana huyo mmoja ni an undisputed living legend wa Liverpool acha apumzike.
Mwamba aliyeturejeshea heshima, na kutupa nafasi ya kuonekana vibanda umiza bila presha