Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Hamna mechi niliipenda kama ile ya 7-0[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila ndani ya misimu kama minne hivi mmeamua kutugeuza shamba la bibi.
Ila Ten Hag sidhani kama atakuja kuwasahau maishani mwake, akikumbuka na zile dharau zake za "eras come to an end."
We shabiki wa matakataka upo?😂33 bila kukosea😂😂😂
Mmeanza mambo ya kiboko ya wachawiWee Subiri tuwapige kwanza nyie tuna fufukia hapo kwenu livakuku😂😂
Hivi kipara wa manure mechi zake 5 za kwanza zilikuaje?Pep his idol mate😂😂😂😂😂😂 n nuff respec kwa Klopp ana mu admire haswaa.... He ain't there yet but that where he wonna be.
Ukitazama mateso wanayapata Chelsea na Manchester United pamoja na kuajiri makocha na kusajili kama kote lakin hawana identity hata mfumo haujulikana... utaona we got the right candidate, actually i wont mind akitoka nil msimu huu bila kombe but at least his philosophy is taking shape kwa ma boys...
Be positive Legend...
YNWA
Hujambo toto?
MarahabaSijambo SHIKAMOO Mama,.
Hii fixture nimeipenda kwa sababu;Heheh achana na mambo ya umri ni no. Tu hizo ”,. Ok??
View attachment 3087962
Hii September.
View attachment 3087965
Hii October
View attachment 3087966
Late October + Whole November.
YNWA…!!!
Marahaba
Mechi lini hivi
Hii fixture nimeipenda kwa sababu;
1. Itatuonesha ubora wetu.
2. Itatupapatia sababu ya kuwa na kikosi kikubwa.
Kwani itakuwa full logo msimu ujaoAdidas are back.
“Liverpool have completed a deal to partner up with Adidas since the beginning of 2025/2026 season.”
Waanze na kurejesha Logo.
YNWA
Hivi kipara wa manure mechi zake 5 za kwanza zilikuaje?
I love Lfc strategy na naamini we have a really good deal…. But it is too early kumpamba
Kuna mwaka hata Norwich waliongoza ligi
Let’s stay humble
Ile mechi dhidi ya Aseno tukafungwa 3Alison for club and country this season
4 Games
4 clean Sheets
19 Saves made
One of the best in his position [emoji817]
View attachment 3091866
Mambo asiyotaka kuyaona Saint Anne
View attachment 3091888
YNWA
Salah apewe mkataba wa maishaVvd & Salah may extend their contracts to 2 yrs.
Ile mechi dhidi ya Aseno tukafungwa 3
Hata Manula angekuwa Manula golikipa asingedaka vile
Mechi za muhimu ndio anachomeshaHapo tu ndipo unapo muhukumu Beckor.
Ana loads of good moments thou,
YNWA
One game wonder.... Consistent is key.Kwamba akina Endo ni dhaifu?
Mechi za muhimu ndio anachomesha
Tena kijinga tu namna ile.
Kuna haja ya kuweka viboko Kwa wachezaji wanaoleta mzaha.