Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
Ina maana kikosi kilikua na benchi dhaifu Mkuu kwamba waliuoumia ndio kazi kazi... Unaweza aje kukimbizana na kipara bench yupo Jones, Elliot, Endo, nk nk.... Kingine Klopp alitaka kila kituuuu yaani Carabao, FA, Europa, EPL nadhan ilikia mistake kwa klabu ku target kote bila kua na jeshi imara.Sasa last seazon ilikuaje tukapata majeruhi ndio ikawa taa ya kijani ya ushindi, walivyopona tuu wakarudi ndio tukaanza kupoteana
Kwa Slot asiingie tamaa akomae tu na UCL na EPL huko kwingine apange akina Nyoni, Rio Ngumoha, nk nk
YNWA