Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sasa last seazon ilikuaje tukapata majeruhi ndio ikawa taa ya kijani ya ushindi, walivyopona tuu wakarudi ndio tukaanza kupoteana
Ina maana kikosi kilikua na benchi dhaifu Mkuu kwamba waliuoumia ndio kazi kazi... Unaweza aje kukimbizana na kipara bench yupo Jones, Elliot, Endo, nk nk.... Kingine Klopp alitaka kila kituuuu yaani Carabao, FA, Europa, EPL nadhan ilikia mistake kwa klabu ku target kote bila kua na jeshi imara.

Kwa Slot asiingie tamaa akomae tu na UCL na EPL huko kwingine apange akina Nyoni, Rio Ngumoha, nk nk

YNWA
 
Slot ni upgrade ya pep na klopp?

Give me a break negro

Too early aisee
Pep his idol mate😂😂😂😂😂😂 n nuff respec kwa Klopp ana mu admire haswaa.... He ain't there yet but that where he wonna be.

Ukitazama mateso wanayapata Chelsea na Manchester United pamoja na kuajiri makocha na kusajili kama kote lakin hawana identity hata mfumo haujulikana... utaona we got the right candidate, actually i wont mind akitoka nil msimu huu bila kombe but at least his philosophy is taking shape kwa ma boys...

Be positive Legend...

YNWA
 
Take it or not that is the reality. Slot amekiri kujifunza kwa hao jamaa sana, na misingi yake ya ukocha aliyonayo mpaka sasa amejifunza mengi sana kwa hao jamaa..!!!

Sawa hawezi kuwa kama Pep hawezi kuwa kama klopp, kwa CV but but but on the pitch ameonesha ni mjumuiko wa hao jamaa,. He is not Pep he is neither Klopp, but his style of football ni mjumuiko wa Pep na Klopp not entirely, ila amenyofoa madini mengi kwa hao jamaa. Thats why licha ya kuwa alikuwa Holland ila alikuwa anatumia muda mwingi kuitazama EPL, he didnt even hesitate to say Yes once Edward called him.

YNWA
Well said brother.

YNWA
 
Atleast Pep vs Klopp kulikuwa na muda wanaogopana na kuvizia especially last two season(s),. In all competitions ila vs Arsenal last two seasons walitupa nyakati ngumu sana, hasa ukiangalia 2-1 shape ya Klopp halafu walikuwa waki press na 2-3 shape aisee walitubana sana sana, sasa ndipo unahitaji kocha wa mbinu anayejua kubadilika ndani ya mchezo sio kusubiri HT pekee yake. Una switch from 2-1 shape unaenda 2-2 au 2-3 au 3-3.

Good thing kwa Slot kwenye upande wa possession through park of the middle huko ndilo eneo lake.

Nasuburi kwa hamu btn oct to dec ata manage vipi wachezaji wake.

YNWA
Last 2 seasons Arsenal wamejitahid sana kusajili aisee, Edu has worked wonders in the transfer market na pia kumpa Arteta proper back room staff ambao wamekua wakisaidia sana vijana ndio ule uteja wa kuwapiga nje ndani umekua si kama zamani... Kuwafunga jamaa kwa sasa ni mwendo wa kaunta aisee maana wana ukuta wa Berlin yaani kazi ipo.

Gemu za Pep na Klopp zilikosa uhondo sana kwa kuviziana yaani tooo much respect aisee but zile za miaka ile 2017 to 2020 zilikua bombastic haswaa.

Ngoja tuone approach ya Slot kwa hizi gemu. Dalili ni kwamba anakwenda na wanao deliver kama uliona alianza na same line up kwa mechi ya Brentford na Manchester United hakutaka mambo mengi.

YNWA
 
Warudi kipigo kiendelee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kua na huruma basi we mshangazi.
Sema hata hivyo tunawashukuru sana kwa kutuheshimisha kwa kile kipigo cha 3-0
Kiukweli siku ile niliwasifu sana kwa kuonyesha walau kidogo mna utu mnapokua ugenini, isingekua busara za Amne Slope ile game huenda mngetunywesha 7up nyingine nyumbani kwetu.
 
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
kua na huruma basi we mshangazi.
Sema hata hivyo tunawashukuru sana kwa kutuheshimisha kwa kile kipigo cha 3-0
Kiukweli siku ile niliwasifu sana kwa kuonyesha walau kidogo mna utu mnapokua ugenini, isingekua busara za Amne Slope ile game huenda mngetunywesha 7up nyingine nyumbani kwetu.
Tunawasubiri Anfield tuwanyweshe seven up,Nina jokofu Zima la SevenUp hapa nyumbani😂
 
Attachments

  • JamiiForums518994288.jpg
    JamiiForums518994288.jpg
    82.4 KB · Views: 5
Heheh nikikuambia ni alfu mbili humo humo unanibishia,. Hii vita nitaibuka mshindi mapema tu ndani ya dk 90’ haina ET.

Hata mwandiko una sound alfu mbili hivi, kwa haraka haraka ni 23-27.

YNWA
Asante Mungu ananipa kuonekana kijana mdogo wakati ni mzee wa miaka ya 70
 
Ina maana kikosi kilikua na benchi dhaifu Mkuu kwamba waliuoumia ndio kazi kazi... Unaweza aje kukimbizana na kipara bench yupo Jones, Elliot, Endo, nk nk.... Kingine Klopp alitaka kila kituuuu yaani Carabao, FA, Europa, EPL nadhan ilikia mistake kwa klabu ku target kote bila kua na jeshi imara.

Kwa Slot asiingie tamaa akomae tu na UCL na EPL huko kwingine apange akina Nyoni, Rio Ngumoha, nk nk

YNWA
Kwamba akina Endo ni dhaifu?
 
Pep his idol mate[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] n nuff respec kwa Klopp ana mu admire haswaa.... He ain't there yet but that where he wonna be.

Ukitazama mateso wanayapata Chelsea na Manchester United pamoja na kuajiri makocha na kusajili kama kote lakin hawana identity hata mfumo haujulikana... utaona we got the right candidate, actually i wont mind akitoka nil msimu huu bila kombe but at least his philosophy is taking shape kwa ma boys...

Be positive Legend...

YNWA

Nyota njema huonekana asubuhi.

YNWA
 
Last 2 seasons Arsenal wamejitahid sana kusajili aisee, Edu has worked wonders in the transfer market na pia kumpa Arteta proper back room staff ambao wamekua wakisaidia sana vijana ndio ule uteja wa kuwapiga nje ndani umekua si kama zamani... Kuwafunga jamaa kwa sasa ni mwendo wa kaunta aisee maana wana ukuta wa Berlin yaani kazi ipo.

Gemu za Pep na Klopp zilikosa uhondo sana kwa kuviziana yaani tooo much respect aisee but zile za miaka ile 2017 to 2020 zilikua bombastic haswaa.

Ngoja tuone approach ya Slot kwa hizi gemu. Dalili ni kwamba anakwenda na wanao deliver kama uliona alianza na same line up kwa mechi ya Brentford na Manchester United hakutaka mambo mengi.

YNWA

Vs Arsenal quality will decide, and i think we will regain our ruthless vs them.
Will be a match to be watched.
 
Sasa last seazon ilikuaje tukapata majeruhi ndio ikawa taa ya kijani ya ushindi, walivyopona tuu wakarudi ndio tukaanza kupoteana

We were on a panic mode apart from injuries.

Tulitamani kubeba quadruple iwe worth sendoff kwa Klopp, sasa desire without concrete plans, ndio ilituchezesha mahali.

We should calm down ourselves enjoy games na kuamsha ile hamu kuu ya kuwin every game. Klopp nae alikuwa kwenye panic mode, tazama hizi line up selections, tazama his subs especially 2nd half of the season. Na ile kuaga mapema iliwavuruga sana wachezaji kiakili, wengine waliwaza ITAKUWAJE?zaidi ya inakuwaje?

Kuna muda iliwalazimu baadhi ya wachezaji kucheza kwa pain killers kama Nunez, Endo, Jones… Later on they had rushed into games kabla hawajawa fit, kama Trent, Szobo, Salah ili kukimbizana na mechi.
 
Ina maana kikosi kilikua na benchi dhaifu Mkuu kwamba waliuoumia ndio kazi kazi... Unaweza aje kukimbizana na kipara bench yupo Jones, Elliot, Endo, nk nk.... Kingine Klopp alitaka kila kituuuu yaani Carabao, FA, Europa, EPL nadhan ilikia mistake kwa klabu ku target kote bila kua na jeshi imara.

Kwa Slot asiingie tamaa akomae tu na UCL na EPL huko kwingine apange akina Nyoni, Rio Ngumoha, nk nk

YNWA

Im a huge fan of Slot kwa sababu ambazo nimekua nikizitoa mara kwa mara. Lakini moja wapo ni miongoni mwa wanaopenda kujifunza na kuweka mambo mapya kwenye system yake.

Slot alipotua Anfield alifanya simple research kuhusu Maisha ya Klopp na LFC kwa ujumla. Miongoni mwa mambo aliyoambiwa ni pamoja na

1.Kuchukiwa kwa early kick off both Klopp na wachezaji. Game vs Ipswich we had seen first half na second half how it was. Aliwaambia tu Early kick off is just like other games, win your aerial duels win your second balls and you will see the positive outcomes. Mindset about Early kick off ilituhadhiri sana.

2. Mechi ni nyingi sana EPL.
3. EPL hakuna kibonde never underestimate your opponents.

Guys Slot will kill it i’m pretty sure if not this season, coming 2-3 seasons ataitawala EPL.

We were on the verge to clinch quadruple twice under Klopp, we will under Slot probably.

YNWA
 
Ina maana kikosi kilikua na benchi dhaifu Mkuu kwamba waliuoumia ndio kazi kazi... Unaweza aje kukimbizana na kipara bench yupo Jones, Elliot, Endo, nk nk.... Kingine Klopp alitaka kila kituuuu yaani Carabao, FA, Europa, EPL nadhan ilikia mistake kwa klabu ku target kote bila kua na jeshi imara.

Kwa Slot asiingie tamaa akomae tu na UCL na EPL huko kwingine apange akina Nyoni, Rio Ngumoha, nk nk

YNWA

Im a huge fan of Slot kwa sababu ambazo nimekua nikizitoa mara kwa mara. Lakini moja wapo ni miongoni mwa wanaopenda kujifunza na kuweka mambo mapya kwenye system yake.

Slot alipotua Anfield alifanya simple research kuhusu Maisha ya Klopp na LFC kwa ujumla. Miongoni mwa mambo aliyoambiwa ni pamoja na

1.Kuchukiwa kwa early kick off both Klopp na wachezaji. Game vs Ipswich we had seen first half na second half how it was. Aliwaambia tu Early kick off is just like other games, win your aerial duels win your second balls and you will see the positive outcomes. Mindset about Early kick off ilituhadhiri sana.

2. Mechi ni nyingi sana EPL.
3. EPL hakuna kibonde never underestimate your opponents.

Guys Slot will kill it i’m pretty sure if not this season, coming 2-3 seasons ataitawala EPL.

We were on the verge to clinch quadruple twice under Klopp, we will under Slot probably.

YNWA
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kua na huruma basi we mshangazi.
Sema hata hivyo tunawashukuru sana kwa kutuheshimisha kwa kile kipigo cha 3-0
Kiukweli siku ile niliwasifu sana kwa kuonyesha walau kidogo mna utu mnapokua ugenini, isingekua busara za Amne Slope ile game huenda mngetunywesha 7up nyingine nyumbani kwetu.

LFC huwa tuna huruma na kuheshimu wakubwa wenzetu.

Ile mechi kama ni Pep angedunda tu hata zikifika 8 anaendeleza.

Mateso yenu furaha yetu, furaha yenu mateso yetu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila ndani ya misimu kama minne hivi mmeamua kutugeuza shamba la bibi.
Ten Hag sidhani kama atakuja kuwasahau maishani mwake, akikumbuka na zile dharau zake za "eras come to an end."
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila ndani ya misimu kama minne hivi mmeamua kutugeuza shamba la bibi.
Ila Ten Hag sidhani kama atakuja kuwasahau maishani mwake, akikumbuka na zile dharau zake za "eras come to an end."

Tunamshukuru Klopp, katufanya tusiwe wanyonge sana, japo makombe sio mengi ila H2H ametupa heshima.

Slot ataendeleza alipoachia Klopp na mifupa migumu migumu iliyomsumbua kama Pep na Madrid yake,.

YNWA.
 
Back
Top Bottom