Success yake LFC itategemea na uimara wa kikosi kwanza kufanya game management ya wachezaji wale top level ambao ni injini ya timu.. Supa players hua wanahitaji dakika tu na kuleta mabadiliko case study ni KDB alikaa nje gemu kibao last season akarejea gemu yao vs Newcastle akafanya maajabu na pale taa ikawaka kwa kipara ikawa mchakamchaka na kuchukua ubingwa...
Impact ya Salah, VVD, Allison, Trent, Robbo ni kubwa sana kiasi hata wanaocheza nao hua na comfort fulani kwamba wapo kwenye mikono salama. Hivyo hao hakika Slot na department yake ya fitness lazima wawe on spot.
Hughes nae aache bla bla kwa kua tangu anatua pale mapungufu yetu yapo well documented na unless Klopp kaodoka na ma scout woteee sidhan kama kulikua na target mmoja tu...
Slot nae aache bla bla za kuwapa ma Yankees kichwa kwamba eti ameridhi kikosi imara hivyo yupo vzuri...
Mambo ni mengi Slot is settling really well.
Prepare ua pop corn the good times are coming...
YNWA