Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Si alikuwa analazimishwa kucheza nafasi isiyo yakeUdhaifu wa Trent ni kuzuia tangu kitambo.... Kwa sasa ataonekana bora kwa kua Slot anacheza full DM Gravenberch na half DM Macca.
Slot maelekezo yake ni FULL CONTROL ndio maana utaona Jota anakimbia kote kama Firmino enzi zile.
Kwa maana hio Trent anasaidiwa sana pale nyuma
YNWA
Heloo Miss Liverpool the one n only one...Si alikuwa analazimishwa kucheza nafasi isiyo yake
Klopp anamlazimisha
Bradley yupo kikazi zaidi upande wa ulinzi... Kushambulia akasubiri sana kwa Trent... Ni wachezaji wawili wanacheza nafasi sawa ARB ila ni wenye uchezaji tofauti kabisa..Si ni huyu au nimechanganya
Aliyebadili namba ya
Trent, Trent alipoumia
Anasukwa ujue... Huyu ni time bomb soon atalipukaππππDogo wa kukosa kosa
Hapa suala siyo yeye wa kwanza kuotewa vile
Kwahiyo kama siyo wa kwanza ndio aachie magoli vile!
Tena yote matatu
Muacheni Trent
Huyo dogo kiduku ana jicho kama la Trent la kufunga akiwa katikati ya uwanja?
Anasukwa ujue... Huyu ni time bomb soon atalipuka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
YNWA
π π π π Slot amefanya homework yake vyema sana...Heheh hawataamini macho yao, japo hachelewi kutuvua taulo huyu jamaa
YNWA
Slotball taking over..... π₯ π₯ π₯ π₯ π₯
Mbona ghafla sanaTunacheza nn hiki? [emoji24]
Haya mkuuπ π π π Slot amefanya homework yake vyema sana...
Hivi Mkuu najiuliza Macca hana speed na wakati mwingine yupo sloppy sana hata ukicheki mechi kadhaa anadakwa usingizini kiaina na kupokonywa mpira, je huyu Macca si ndio angecheza nyuma ya front line aafu Domy Soz arejee nyuma half DM kwa kua dogo ana kila sifa kucheza pale, ana tackle, ana mbio, ana pasi za mbali nk nk....
YNWA
Kuchamba kwingi
Yupo sahihi na hiyo kauliKuchamba kwingi