Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Udhaifu wa Trent ni kuzuia tangu kitambo.... Kwa sasa ataonekana bora kwa kua Slot anacheza full DM Gravenberch na half DM Macca.

Slot maelekezo yake ni FULL CONTROL ndio maana utaona Jota anakimbia kote kama Firmino enzi zile.

Kwa maana hio Trent anasaidiwa sana pale nyuma

YNWA
Si alikuwa analazimishwa kucheza nafasi isiyo yake
Klopp anamlazimisha
 
Hapa suala siyo yeye wa kwanza kuotewa vile
Kwahiyo kama siyo wa kwanza ndio aachie magoli vile!
Tena yote matatu

Muacheni Trent
Huyo dogo kiduku ana jicho kama la Trent la kufunga akiwa katikati ya uwanja?

Hakuachia, maana ya kuachia unatumia vibaya,

Trent hajawahi kufungia katikati ya uwanja.
 
Heheh hawataamini macho yao, japo hachelewi kutuvua taulo huyu jamaa

YNWA
😂 😂 😂 😂 Slot amefanya homework yake vyema sana...

Hivi Mkuu najiuliza Macca hana speed na wakati mwingine yupo sloppy sana hata ukicheki mechi kadhaa anadakwa usingizini kiaina na kupokonywa mpira, je huyu Macca si ndio angecheza nyuma ya front line aafu Domy Soz arejee nyuma half DM kwa kua dogo ana kila sifa kucheza pale, ana tackle, ana mbio, ana pasi za mbali nk nk....

YNWA
 
IMG_20240914_151234_031.jpg
 
Haya mkuu

I warned
 
Back
Top Bottom