Game against teams kama Forest siyo za kupoteza, especially at home.
Jana he ditched his go-to style of play, baada ya dk 60.
Baada ya goal we were totally on Klopp’s era damn it didn’t work
1. Football ni game of moments, Subbing off McAllister was a BIG MISTAKE, subbing him off without a proper plan was a SCHOOL-BOY ERROR, coach ukiwa kwenye touch-line, sometimes inanguwa ngumu ku-see the game kwa ufanisi kwasababu ya mihemko/kukosa utulivu especially kama plans zako hazifanyi kazi, hence unakuwa na assistants kwenye bench, wanakusaidia kukupa heads up, Forest MFs didnt go band to band na Alexis, Nuno just congested his MF, alijaza 5 MFs kwenye his MF area, ili kuzuia our build-up progression, hence ndiyo maana tulikuwa na umiliki mkubwa sana wa mpira, but we lacked penetration traits, Grav+Alexis were occupying our Middle-ground, na walikuwa wanasaidia sana hasa katika ku-recycle possession, you need a tidy player kama Alexis kama unataka ku-own up the MF, hence we had control most of the times, kwenye transitions & counter-pressing, we lacked creativity edge because Szobo was struggling to get out of our middle-third area, and he gets worse akiwa anatokea upande wa kulia, the plan was for Szobo to connect/get close to Salah, but we failed because Forest didnt offer a lot of space, and ukikosa space, huwezi ku-create kwa ku-run into tidy spaces, but kwa kutumia last-ditch passes, ambazo hatukuwa nazo, kama Slot alikuwa anataka kufanya the later (last ditch passes), ilikuwa amtoe Szobo for Endo/jones, then am-move Alexis kwenye eneo la Szobo, shape inge-shake kidogo, balance & transition traps bado tungekuwa nazo, na tungekuwa tumeongeza kitu kwenye kutengeneza nafasi, but kumtoa Alexis kabisa was a school-boy mistake, ukizingatia game-state ilivyokuwa, we were just fine, tulikuwa tunakosa tu goal, so hakukuwa na haja ya ku-panic kabisa, kulikuwa bado na dakika za kutosha kujaribu kupata goal, Slot alivyowasimamisha Nunez/Bradley/Gakpo, Nuno was taking notes, na alivyoona Sub ya Bradley ni Alexis, he thought yeah, its time for Odoi & Elanga, you can blame Bradley for that goal, Alli & VVD shouted at Bradley baada ya goal, but mzizi wake ulikuwa ni upi?
2. Saying Nuno is a good tactician is a bit stretch, ni aina ya coach ambaye hajawahi kubadilisha his style of play, thats it, he came at Anfield with a plan and stuck with it, ilikuwa ni duty ya home-coach ku-come up na njia za ku-nullfy plan ya Nuno, and kama alikuwa haoni good plan B or C, at that time kwa sababu ya aina ya player aliokuwa nao kwenye bench (which is weird to say the least) hakukuwa na haja ya ku-subotage the day, play for draw or stay patient and let the players do it for you (force a goal), then rudi ofisini and anza kuumiza kichwa again kuhusiana na different approaches za ku-win games dhidi ya coaches kama Nuno etc, Kufundisha mpira siyo kitu rahisi.
3. Kuna games za ku-blame players, but siyo ya jana, nothing was working kuanzia dakika ya 1, everything was flat, kwa game ya jana, ungehitaji zaidi uwezo binafsi wa players kukuokoa, but you cant subotage the game na utegemee watakuokoa, dakika ya 60, unakuwa na zaidi ya dakika 30 za kutafuta goal, game ilikuwa ni tight, but patience ni key, umeona leo kwa Arsenal, they had no Rice or their Captain and away at Spurs kwenye NLD, and Arteta did not panic, stuck to his plan, and eventually got a goal, Salah, Szobo, Robertson, Jota had off-day, na inajulikana kwanini, Salah is 32 na alikuwa ame-feature kwenye games zote za misri week iliyopita, Robertson is 31 na alikuwa ame-feature kwenye games zote za Scotland a week ago, Szobo ni work-horse, he had a lot of minutes na Hungary, i know these are pro footballers, but ni human-beings, na siyo kwamba hatuna replacements zao at LFC, zipo na ndiyo maana ya kuwa na squad, Kostas shouldve started, Jones shouldve started, Gakpo/Nunez shouldve started. rotation ni muhimu, na ndiyo maana ya kuwa na big squad, Joe Gomez haja-feature game yeyote mpaka sasa, same kwa Endo, minutes ngapi alizopata Elliott kabla ya his injury? we cant just blame players.
3. Overall Performance was not good.
4. Slot didnt stick with his plan (IPS, Brentford, Utd), he lost the plot baada ya kuona tunashindwa kuifungua b-structure ya Forest, and we are lucky ilikuwa ni Forest, City, Arsenal or Villa and tungekufa goals si chini ya 3 kwa zile changes za dakika 60 na kuendelea. EPL siyo easy league, games kama zile Slot atakutana nazo nyingi tu, huitaji ku-panic, a lot of coaches will test him, and kwenye EPL ni how you react. its just simple.
He had a blunder and its OK for now, ni learning curve, i hope imekuwa ni realty check kwake, nilikuwa sidhani kama itakuja mapema kulingana na fixtures tulizonazo, but it happened, ni suala la kujifunza kulingana na makosa na ku-move on, but its Liverpool, Klopp alikuwa questioned mara kwa mara kuhusu his blunders, will be the same kwa Slot, LFC comes first, always.
Gakpo had a good Euro, but it seems nae amekuwa akipata scrap minutes, yes, its too early na kuna a lot of games, but kama unataka kupata good atitude uwanjani, especially kwa hawa wachezaji ambao wapo in their 20s, unatakiwa uoneshe kuwa unawaamini, na hawapo kama rotational or cup game players.
Game kama ya jana, against Forest, baada ya international break, ndiyo za kuwapa minutes, maana kama humpi minutes Gakpo or Nunez, baada ya wenzao walioanza games 3 mfululizo kutoka internationals with a lot of minutes, wanaanza kujiuliza maswali, na ndiyo maana unaona hata wakiingia sub, hawatoki kwenye first gear kabisa.
Klopp alipata the best out of players like Origi, Shaqiri, Takumi, Ox etc kwasababu ukiachana na cup games, alikuwa anawapa CL games and EPL games mara kwa mara, kuonesha umuhimu wao kwenye kikosi, same na kwa kina Jones, Elliott & Bradley.
Gakpo jana alitakiwa aanze on the left, Diaz was in South America few days ago kabla ya mechi, haikuwa wise kumuanzisha.
Tuesday itatufungua mengi, and not in a bad way, napenda coaches ambao wanapenda ku-stick na same 11, but ni matter ya kufanya mchezaji akufie uwanjani, hata kama anapata minutes chache, but anacheza kwa moyo wote kutokana na unavyotreat na kumanage his game-time, sasa unaona kabisa Gakpo & Nunez wanakuwa hawapo kabisa interested, jana Nunez lost the ball, Gakpo refused to take a yellow for the team, few sequences later, goal la Forest likapatikana, Nunez wasnt scoring goals under Klopp but he was pressing & running like a mad dog, Gakpo used to drop deep kuokota mipira na kutembea nayo past players etc, shida ya ku-manage vijana ndiyo hii, Endo haoni shida kabisa, but haitachukua muda Elliott akianza kulia lia kwenye medias, au Curtis Jones kama atakuwa anakosa sana minutes, especially na form ya Gravanberch now.
You need to show them kuwa they can contribute.
My team against Ac Milan.
Alli
Trent
Konate
VVD
Kostas
Gravenberch
Alexis/Jones
Szobo
Gakpo/Diaz
Nunez
Salah
AC Milan ni pressing team, you need press-resistants in the middle, its important kuwa na profile ya Jones or Alexis at the base.
Personally, ningefanya 5 total changes (Kostas, Gomez, Gakpo, Nunez, Jones), but i dont think Slot is ready to risk that, its his first CL game at LFC, so ni understandable. win or lose, muhimu ni kutokuhama kwenye msitari.
Macca ni unsung hero. You need quality and string mentality players too.
Slot was on a panic mode.
1. He knew im at home i will win, its against NF no problem.
2. After the goal, panic mode ikawaka green, kitendo cha kuwepo nyumbani kilimvuruga sana mdachi yule.
Sioni kama ni sahihi kusingizia International break ndio sababu big no kwangu. Other team wachezaji wao walikuwa break too. Hii imekuwa changamoto yetu ya muda vs Low Block team. Na hatujapata suluhisho bado. Waiting to see how Slot will react
Suspension and injury will do favour to them. He trust young players, two next games will tell us story.
YNWA
Beckor
Trent
Konate
Vvd
Tsimi
Macca
Gravern
Szobo
Diaz
Nunez
Salah
My line up, wish to see Endo get some good mins
I feel sorry for the boy... Minus injuries he has given his all.. Come rain come sunshine he has played LB, RB, CB with utmost determination never complained at all.... If his wish was to depart as he no longer higher on th list wangekumbali....Rejecting bids from Newcastle and Fulham for Gomez was a bad idea and unfair to Gomez.
I can see this happening mate. Morton, Bajetic and Endo are the only DM we had if its was my decision hawa wangebakia tu klabuni msimu huu.Bajcetic akiwa na wakati mzuri under Lijnders, Edwards will sell him.
Kelele tuSlot kabla ya jana alionja kipigo Deseba 2023.
Jana Salah pasi zake zilikua asilimia 70 mechi 3 za mwanzo alikua na wastani wa asilimia 87. Utaona jana hakua mchezoni...
Domy Szo kabla ya jana alikua na wastani wa pasi asilimia 93 na jana akawa na asilimia 78, na hapo pia inakupa picha halisi..
Mipira ya chini tulishinda asilimia 35[emoji849][emoji848].
Wachezaji 7 wa Liverpool kikosi kilichoanza jana walicheza dakika 180 mechi za kimataifa[emoji2307]...
EPL ukishatabirika ujue huna chako.. Alichokifanya kocha wa Nottingham Forest ni ku bet kwamba Slot ataingia mchezoni na wachezaji wale wale wa ushindi wa Trafford na kweli ikawa hivyo basi hakua na kingine zaidi ya kuweka Central Midfielder wa tano [emoji119][emoji119][emoji119]James, Nicolas, Yates, Anderson, Morgan na make shift MF Woods matokeo yake Slot akapagawa hajui atoke vipi pale kati yaani jamaa walishinda duels 55 Liverpool 44,tackle 15 Liverpool 9 na walicheza clearance 29 na huku wakiwa na 3 shot on target....
Nwa ndio EPL mzee Slot kakaribiwa vyema.
YNWA
Kingereza kingi lkn yamekanyagwaNaam.
Kudos kwa NF, guys they did everything right aisee. Ilipigwa low block ya maana sana.
Odoi & Elanga were on their days. Watch their next game no wonder wakifungwa na timu usiyofikiria. Playing big games kwao everything change. Even their mentality inakaa kikubwa
We can address major challanges we had but bad day is just a bad day.
Next match will tell me if im correct with what im thinking”,.
Ditch “Slotball to Kloppball”, during the natch, how will he prepare his team vs Milan, line up changing.
YNWA
Risala sasa1. Football ni game of moments, Subbing off McAllister was a BIG MISTAKE, subbing him off without a proper plan was a SCHOOL-BOY ERROR, coach ukiwa kwenye touch-line, sometimes inanguwa ngumu ku-see the game kwa ufanisi kwasababu ya mihemko/kukosa utulivu especially kama plans zako hazifanyi kazi, hence unakuwa na assistants kwenye bench, wanakusaidia kukupa heads up, Forest MFs didnt go band to band na Alexis, Nuno just congested his MF, alijaza 5 MFs kwenye his MF area, ili kuzuia our build-up progression, hence ndiyo maana tulikuwa na umiliki mkubwa sana wa mpira, but we lacked penetration traits, Grav+Alexis were occupying our Middle-ground, na walikuwa wanasaidia sana hasa katika ku-recycle possession, you need a tidy player kama Alexis kama unataka ku-own up the MF, hence we had control most of the times, kwenye transitions & counter-pressing, we lacked creativity edge because Szobo was struggling to get out of our middle-third area, and he gets worse akiwa anatokea upande wa kulia, the plan was for Szobo to connect/get close to Salah, but we failed because Forest didnt offer a lot of space, and ukikosa space, huwezi ku-create kwa ku-run into tidy spaces, but kwa kutumia last-ditch passes, ambazo hatukuwa nazo, kama Slot alikuwa anataka kufanya the later (last ditch passes), ilikuwa amtoe Szobo for Endo/jones, then am-move Alexis kwenye eneo la Szobo, shape inge-shake kidogo, balance & transition traps bado tungekuwa nazo, na tungekuwa tumeongeza kitu kwenye kutengeneza nafasi, but kumtoa Alexis kabisa was a school-boy mistake, ukizingatia game-state ilivyokuwa, we were just fine, tulikuwa tunakosa tu goal, so hakukuwa na haja ya ku-panic kabisa, kulikuwa bado na dakika za kutosha kujaribu kupata goal, Slot alivyowasimamisha Nunez/Bradley/Gakpo, Nuno was taking notes, na alivyoona Sub ya Bradley ni Alexis, he thought yeah, its time for Odoi & Elanga, you can blame Bradley for that goal, Alli & VVD shouted at Bradley baada ya goal, but mzizi wake ulikuwa ni upi?
2. Saying Nuno is a good tactician is a bit stretch, ni aina ya coach ambaye hajawahi kubadilisha his style of play, thats it, he came at Anfield with a plan and stuck with it, ilikuwa ni duty ya home-coach ku-come up na njia za ku-nullfy plan ya Nuno, and kama alikuwa haoni good plan B or C, at that time kwa sababu ya aina ya player aliokuwa nao kwenye bench (which is weird to say the least) hakukuwa na haja ya ku-subotage the day, play for draw or stay patient and let the players do it for you (force a goal), then rudi ofisini and anza kuumiza kichwa again kuhusiana na different approaches za ku-win games dhidi ya coaches kama Nuno etc, Kufundisha mpira siyo kitu rahisi.
3. Kuna games za ku-blame players, but siyo ya jana, nothing was working kuanzia dakika ya 1, everything was flat, kwa game ya jana, ungehitaji zaidi uwezo binafsi wa players kukuokoa, but you cant subotage the game na utegemee watakuokoa, dakika ya 60, unakuwa na zaidi ya dakika 30 za kutafuta goal, game ilikuwa ni tight, but patience ni key, umeona leo kwa Arsenal, they had no Rice or their Captain and away at Spurs kwenye NLD, and Arteta did not panic, stuck to his plan, and eventually got a goal, Salah, Szobo, Robertson, Jota had off-day, na inajulikana kwanini, Salah is 32 na alikuwa ame-feature kwenye games zote za misri week iliyopita, Robertson is 31 na alikuwa ame-feature kwenye games zote za Scotland a week ago, Szobo ni work-horse, he had a lot of minutes na Hungary, i know these are pro footballers, but ni human-beings, na siyo kwamba hatuna replacements zao at LFC, zipo na ndiyo maana ya kuwa na squad, Kostas shouldve started, Jones shouldve started, Gakpo/Nunez shouldve started. rotation ni muhimu, na ndiyo maana ya kuwa na big squad, Joe Gomez haja-feature game yeyote mpaka sasa, same kwa Endo, minutes ngapi alizopata Elliott kabla ya his injury? we cant just blame players.
3. Overall Performance was not good.
4. Slot didnt stick with his plan (IPS, Brentford, Utd), he lost the plot baada ya kuona tunashindwa kuifungua b-structure ya Forest, and we are lucky ilikuwa ni Forest, City, Arsenal or Villa and tungekufa goals si chini ya 3 kwa zile changes za dakika 60 na kuendelea. EPL siyo easy league, games kama zile Slot atakutana nazo nyingi tu, huitaji ku-panic, a lot of coaches will test him, and kwenye EPL ni how you react. its just simple.
He had a blunder and its OK for now, ni learning curve, i hope imekuwa ni realty check kwake, nilikuwa sidhani kama itakuja mapema kulingana na fixtures tulizonazo, but it happened, ni suala la kujifunza kulingana na makosa na ku-move on, but its Liverpool, Klopp alikuwa questioned mara kwa mara kuhusu his blunders, will be the same kwa Slot, LFC comes first, always.
Lini wewe umeanza ukocha?My team against Ac Milan.
Alli
Trent
Konate
VVD
Kostas
Gravenberch
Alexis/Jones
Szobo
Gakpo/Diaz
Nunez
Salah
AC Milan ni pressing team, you need press-resistants in the middle, its important kuwa na profile ya Jones or Alexis at the base.
Personally, ningefanya 5 total changes (Kostas, Gomez, Gakpo, Nunez, Jones), but i dont think Slot is ready to risk that, its his first CL game at LFC, so ni understandable. win or lose, muhimu ni kutokuhama kwenye msitari.
Kocha mwingine sasaBeckor
Trent
Konate
Vvd
Tsimi
Macca
Gravern
Szobo
Diaz
Nunez
Salah
My line up, wish to see Endo get some good mins
At LFC, tuna 4 starters ambao ni South Americans (Alli, Alexis, Diaz & Nunez), kati ya hao, watatu wame-feature kwenye games zote tatu za msimu huu kabla ya International break, na bado waka-feature kwenye games zao za Taifa, mpira wa South America ni aggressive, na pia flight hours from UK to South America, generally takes 11-22 hours, depends na nchi/mji unaoenda, so mara nyingi our SA players huwa wanarudi siku moja na nusu kabla ya official games, so resting time inakuwa ni ndogo sana, compared na wachezaji wetu wanaocheza Europe, ambayo logistics za usafiri ni rahisi. Diaz played against Argentina tarehe 10/9, on 11/9 he had to catch a flight to london (13-14 hours), after london, a-board Flight, up to 2 hours mpaka JL airport, private inakuwa shorter zaidi. then on 12/9 ana-report at Axa for check-ups and light training, so kwa mantiki hiyo anapata time ya kushiriki full-training on 13/9 hours/day kabla ya game. hii ni tofauti na Gakpo, ambaye nae alicheza tarehe 10/9, but ana uwezo wa kurudi Liverpool baada ya game tu, maana from Amsterdam to JL/London ni 1hr+ maximum, huyu anapata 2+ days za full training, na huku hana minutes nyingi msimu huu kulinganisha na Diaz.
Then, una Nunez ambaye hakutoka hata Liverpool kwenye hizi internationals as he's banned, so muda wote wa internationals alikuwepo tu Axa, na haja-accumulate minutes nyingi tangu msimu uanze, why uanze na Jota? ambaye alikuwa na Ureno, ana minutes za kutosha, na out of form now (1 goal in 4 games, hii stat angekuwa Nunez ungeona posts za watu ambao hawajaonekana muda sana humu). Salah was in Botswana tarehe 10/9, kama alitokea Botswana direct to UK, si chini ya 17hrs+ (if i'm not mistaken).
So, international breaks fatigue problems matters.
Haijalishi quality ya players, we have a bigger squad now, attacking depth yetu ni Salah, Gakpo, Jota, Nunez, Diaz, Chiesa, jana kuna baadhi ya scousers walikuwa wanadai Slot kumchezesha Trent in the middle ina-highlight lack ya depth kwenye upande wa kiungo, but ambacho tunakosa ni QUALITY, but depth ipo, Grav/Alexis/Szobo/Curtis/Endo/Elliott/Morton ni good depth, tuna-lack tu a good 6, na hata kama tunge-sajili a good 6, Morton lazima angeondoka on loan, despite ya quality, kama unashindwa kumuanzisha Endo against Forest at home utamuanzisha game ipi? last season he went toe to toe with the likes of Rodri & Rice at Anfield, what is Forest? WC coach alimuamini, why cant you do it? he's 31, Endo alipokuja, at first ali-struggle sana ku-cope na mfumo wa Klopp, but aliweza kuji-adjust, sasa atashindwaje kwako? players wanajifunza kila siku, mpe nafasi, especially kwenye home games, itasaidia kupunguza injury scares pia.
Playing a deep block & sitting deep ni different aspect, Nuno started to sit deep baada ya goal, but what he did tangu mwanzo ni kuuua our ball progression/deep possessional play kwa ku-flood in MFs kwenye kiungo, even Ward alikuwa ana-camp kwenye kiungo. low-block kakutana nayo Ange leo against Arteta.
Bajcetic akiwa na wakati mzuri under Lijnders, Edwards will sell him.