Gakpo had a good Euro, but it seems nae amekuwa akipata scrap minutes, yes, its too early na kuna a lot of games, but kama unataka kupata good atitude uwanjani, especially kwa hawa wachezaji ambao wapo in their 20s, unatakiwa uoneshe kuwa unawaamini, na hawapo kama rotational or cup game players.
Game kama ya jana, against Forest, baada ya international break, ndiyo za kuwapa minutes, maana kama humpi minutes Gakpo or Nunez, baada ya wenzao walioanza games 3 mfululizo kutoka internationals with a lot of minutes, wanaanza kujiuliza maswali, na ndiyo maana unaona hata wakiingia sub, hawatoki kwenye first gear kabisa.
Klopp alipata the best out of players like Origi, Shaqiri, Takumi, Ox etc kwasababu ukiachana na cup games, alikuwa anawapa CL games and EPL games mara kwa mara, kuonesha umuhimu wao kwenye kikosi, same na kwa kina Jones, Elliott & Bradley.
Gakpo jana alitakiwa aanze on the left, Diaz was in South America few days ago kabla ya mechi, haikuwa wise kumuanzisha.
Tuesday itatufungua mengi, and not in a bad way, napenda coaches ambao wanapenda ku-stick na same 11, but ni matter ya kufanya mchezaji akufie uwanjani, hata kama anapata minutes chache, but anacheza kwa moyo wote kutokana na unavyotreat na kumanage his game-time, sasa unaona kabisa Gakpo & Nunez wanakuwa hawapo kabisa interested, jana Nunez lost the ball, Gakpo refused to take a yellow for the team, few sequences later, goal la Forest likapatikana, Nunez wasnt scoring goals under Klopp but he was pressing & running like a mad dog, Gakpo used to drop deep kuokota mipira na kutembea nayo past players etc, shida ya ku-manage vijana ndiyo hii, Endo haoni shida kabisa, but haitachukua muda Elliott akianza kulia lia kwenye medias, au Curtis Jones kama atakuwa anakosa sana minutes, especially na form ya Gravanberch now.
You need to show them kuwa they can contribute.