Hili la Bajcetic kwa kocha ambaye hajamuona ni ngumu kuamini nageweza kuwa muhimiri kwenye eneo la 6, na bahati mbaya ka spend karibu msimu mzima nje ya uwanja. Nadhani it will speak louder akiperform hasa kwenye CL maana ligi yao is not that competitive
The boy is so talented and has that maturity inayomuwezesha kuaminiwa na timu kubwa kama Liver.
We have potential in here
Danns
Koumas
Bajcetic
Bradley
Morton
Doak
Chambers
Scanlon
MCconell
I think the narrative around Bajcetic inatakiwa kuwa he needed a lot of game-time, kutokana na long term injury iliyomuweka nje msimu wote uliopita, and at 19 its hard kwa coach kumuamini kama his commanding 6 especially baada ya kutoka kwenye big injury, narrative ya kuwa Slot hajamuona at 6 siyo combative, kwasababu inaweza ku-apply kwa wachezaji karibia wote? plus Grav ambaye hajawahi kucheza at 6 career yake yote? Coach ana profile/data/tapes za kila mchezaji at LFC, Club iliamua ku-hire coach aina ya Slot, kwa kuzingatia his style of play, na players tulionao at the club, 90% ya players waliopo at LFC wana-fit perfectly kwenye mfumo wa Slot, hence Club imeapuka a fire-sale ya wachezaji ili kumtengenezea Slot kikosi chake, but style ya Slot ni perfect kwa wachezaji wetu, ni suala la adjustments tu.
Doak is 100% getting sold, next summer au itakayofatia, eneo lake kuna Salah & Chiesa, na hata kama Salah atondoka, club lazima itaingia sokoni kutafuta a starting RW, because Chiesa is not a starter, but ni miles better than Doak, so Doak hana future at LFC.
Callum (Scanlon), wont last at LFC, I think soon the club will cut ties with Robertson, and sidhani kama Kostas anakuwa viewed kama starter au m-badala wa Robertson in the future, maana nae alikuwa ana-seek a way out hii summer's TW iliyoisha, so plan itakuwa ni Luke Chambers and other starting LB, au Luke Chambers na other experienced LB, maana huwezi kuwa na Chambers (20) a kid, na Callum (19) a kid kama your LB depth.
Koumas, will be sold.
James, yupo at the Club kwasababu ya his injury, but the plan was to sell or loan him out this last summer.
Morton, was 100% leaving on loan, but the club had to choose between him and Bajcetic, na wakaona Baj anahitaji sana minutes, hii bad sign kwa Morton, Club imesha-place tag on his head (£20m), Xabi wanted him in the summer on loan with an Option to buy, but we turned him down, as we felt, it was between him & Bajcetic kwenye kuondoka baada ya deal ya Zubimendi kufa, and tukaona Baj anahitaji minutes nyingi kwasasa, so Baj akatoka, Morton kabaki as a cover, he's 21 now, he needs to play a lot, lets see kama tutampa minutes za kutosha, but indication ni kuwa kama Zubi ange-sign, Morton asingekuwepo at the Club.
Danns, ndiyo anahitaji ku-feature a lot akirudi uwanjani.
Chambers/Baj/Nyoni/Danns are the ones for now, Bradley tayari amesha-break in kwenye first Squad. having said that, hawa ni players ambao wapo for sometime at the club hence nawazungumzia, but i wont be suprised if Rio Ngumoha will be the first one to break in kwenye first team, not just first squad, time will tell.