Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Waaaaa HAPPY BIRTHDAY BELATED BRO... Mungu akupe afya njema na maisha yenye mafanikio.

Hakika hukukosea kuchagua Liverpool.
We are here to stay. 🔥 🔥 🔥

YNWA
 

I think the narrative around Bajcetic inatakiwa kuwa he needed a lot of game-time, kutokana na long term injury iliyomuweka nje msimu wote uliopita, and at 19 its hard kwa coach kumuamini kama his commanding 6 especially baada ya kutoka kwenye big injury, narrative ya kuwa Slot hajamuona at 6 siyo combative, kwasababu inaweza ku-apply kwa wachezaji karibia wote? plus Grav ambaye hajawahi kucheza at 6 career yake yote? Coach ana profile/data/tapes za kila mchezaji at LFC, Club iliamua ku-hire coach aina ya Slot, kwa kuzingatia his style of play, na players tulionao at the club, 90% ya players waliopo at LFC wana-fit perfectly kwenye mfumo wa Slot, hence Club imeapuka a fire-sale ya wachezaji ili kumtengenezea Slot kikosi chake, but style ya Slot ni perfect kwa wachezaji wetu, ni suala la adjustments tu.

Doak is 100% getting sold, next summer au itakayofatia, eneo lake kuna Salah & Chiesa, na hata kama Salah atondoka, club lazima itaingia sokoni kutafuta a starting RW, because Chiesa is not a starter, but ni miles better than Doak, so Doak hana future at LFC.

Callum (Scanlon), wont last at LFC, I think soon the club will cut ties with Robertson, and sidhani kama Kostas anakuwa viewed kama starter au m-badala wa Robertson in the future, maana nae alikuwa ana-seek a way out hii summer's TW iliyoisha, so plan itakuwa ni Luke Chambers and other starting LB, au Luke Chambers na other experienced LB, maana huwezi kuwa na Chambers (20) a kid, na Callum (19) a kid kama your LB depth.

Koumas, will be sold.

James, yupo at the Club kwasababu ya his injury, but the plan was to sell or loan him out this last summer.

Morton, was 100% leaving on loan, but the club had to choose between him and Bajcetic, na wakaona Baj anahitaji sana minutes, hii bad sign kwa Morton, Club imesha-place tag on his head (£20m), Xabi wanted him in the summer on loan with an Option to buy, but we turned him down, as we felt, it was between him & Bajcetic kwenye kuondoka baada ya deal ya Zubimendi kufa, and tukaona Baj anahitaji minutes nyingi kwasasa, so Baj akatoka, Morton kabaki as a cover, he's 21 now, he needs to play a lot, lets see kama tutampa minutes za kutosha, but indication ni kuwa kama Zubi ange-sign, Morton asingekuwepo at the Club.

Danns, ndiyo anahitaji ku-feature a lot akirudi uwanjani.

Chambers/Baj/Nyoni/Danns are the ones for now, Bradley tayari amesha-break in kwenye first Squad. having said that, hawa ni players ambao wapo for sometime at the club hence nawazungumzia, but i wont be suprised if Rio Ngumoha will be the first one to break in kwenye first team, not just first squad, time will tell.
 
Mnajadili nini humu kila siku wakati hamna tofauti na Chelsea uwanjani?
 
Kama tulifungwa na Luton town
Sishangai hata kufungwa na hivi vitoto vya misituni.

Tunasubiri mechi ijayo
Kipara akizingua tunaanza kumnanga,hatutamuacha.

Hii mechi iliyopita tumefungwa Kwa ujinga wake,ila hakuna mtu anashindaga tu bila kufungwa.
Wachezaji washenzi, kila timu kubwa ilichukua points 6 za luton kasoro sisi
 
🤣🤣🤣
Leo birthday yake ashinde sasa ili kumbukizi yake iende vizuri
Mimi nishaandaa domo langu
Kulitumia Kwa aidha kushangilia ushindi au kumnanga kocha.

Ataamua mwenyewe anataka tuweje Leo.
 
AC Milan wamecheza gemu 4. wameshinda 1 sare 2 na wamepigwa 1 hivyo wana some struggles here n there. Cha msingi Slot afanye homework yake vyema.
Anze rotation ya wachezaji especially pale mbele na kati apatazame vyema angalau leo Gapko na Nunez waanze.
Next game ya Ac Milan ni derby na Inter Milan baada ya hii gemu ya leo hivyo wataliamsha kweli ili kutuma ujumbe. Na pia wako nyumbani meaning wana advantage ya mashabiki.

YNWA
 
Milan vs Liverpool
A minimum ticket costs €90
(270,000/=)
And they say Football is not for money 😎
 
Milan vs Liverpool
A minimum ticket costs €90
(270,000/=)
And they say Football is not for money 😎
Mkuu hiyo euro 90 ni ndogo sana ila kwa sababu thamani ya hela yetu ya madafu iko chini sisi ndio tunaona hela nyingi sana. Msafisha mabanda ya njiwa ughaibuni analipwa dola 40 kwa lisaa halafu kwa wiki anafanya kazi masaa 40. Fikiria ukiegeuza kuwa Tanzania money ni sh ngapi?
 
Exactly 💯 brother
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…