Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sasa hivi ina shawishi shawishi kidogo kutoka kwenye alfu mbili mbili,. Japo inaonekana ni mwili tu huo umeongezeka baada ya kuanza msimu vizuri.

YNWA
Hakuna kilichoongezeka😂
Shida ushazoea kuwaona under 18
Unajua kila mtu wa af2
 
Hakuna kilichoongezeka[emoji23]
Shida ushazoea kuwaona under 18
Unajua kila mtu wa af2

Hapana. Mie bahati yangu ipo kwa walionizidi no. Sijui kwa nini toka enzi zile. Heheh kwa hiyo hao u18 na hao wa alfu 2 hata sipo nao..!!! Ndio naanza anza kwako hivi japo ni anonymously, as long as ni wa alf mbili
 
Sure sio kwamba he has been that awful always wala it's just that comparison ya magoli yanayotokea kwake compared na upande wa Robbo kuna shinda...
Atulie kwenye basics za defending na aache uoga wa tackling sijui anaogopa majeruhi ama namna gani.
Profile ya Trent Anorld 👇 👇



YNWA
 
Embu tuma na ya Macca, ndio utaona umuhimu wa double pivot.

When Bournemouth were pressing high (in a 4-1 system this case), Kelleher stepped between Konaté & VDD while the 2 fullbacks stayed deep and wide to provide pass options. As usual, Gravenberch positioned himself next to Macca (double-pivot) to help to circulate the ball.
 

Naam. Sikumbuki when was his last tackling na pa ndipo udhaifu wake wa kuzuia unaibuka. Aerial duels sijui lini ali win akiwa kwenye kuwania mpira na opponent. Kuna magoli tuliruhusu akiwa kainama huku mpinzani akimfanya ngazi.

Hopefully Slot will help him.

YNWA
 
Tackling ni nature ya mchezaji

Kuna wachezaji wanapenda (in nature) kuzuia mipira ya chini kwa kufanya tackling

Ila wengine hawatumii sana style hii

Mfano hapa hata ukimchukua vvd sidhani kama atakua na namba nzuri kwenye tackling

So Trent doing a defending play on his way
 

That on his way ndio inamuharibia sifa kwa baadhi ya magoli kuonekana kupikwa.

He can learn how to defend kwa namna tofauti ya tackling,. Awareness plus good marking

YNWA
 
Hawa Bournemouth waliamua kupress zaidi once mpira unapokuwa kwa Konate na wakimnyima Space ya kupiga Inside pass kwa either Trent or Mcallister or Ryan Gravenberch kilichotokea ni kuwa Ibou Konate aliwaua kwa kupiga Assist,key pass na pre-Assist akipiga long ball kwa Salah or Nunez or over the Top watu wafanye Running off the Channel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…