Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Vingine ushaninyimaRoho yangu tu mama ? Huna kingine
Jamani we katotoHapana. Mie bahati yangu ipo kwa walionizidi no. Sijui kwa nini toka enzi zile. Heheh kwa hiyo hao u18 na hao wa alfu 2 hata sipo nao..!!! Ndio naanza anza kwako hivi japo ni anonymously, as long as ni wa alf mbili
Sasa wa miaka 23 si wa mwaka 2001 kabisaHehehe unanitumia choko choko na hiyo 18, mie sio alfu mbili kama wewe, 23-27 hivi
Hawa Bournemouth waliamua kupress zaidi once mpira unapokuwa kwa Konate na wakimnyima Space ya kupiga Inside pass kwa either Trent or Mcallister or Ryan Gravenberch kilichotokea ni kuwa Ibou Konate aliwaua kwa kupiga Assist,key pass na pre-Assist akipiga long ball kwa Salah or Nunez or over the Top watu wafanye Running off the Channel
Jamani we katoto
Usiniweke kwenye kundi la watoto wenzio[emoji23]
Sasa wa miaka 23 si wa mwaka 2001 kabisa
Aisee
Tupo na wajukuu wetu humu
HeeeHiyo 23-27 ni miaka yako sio yangu..!!! Kwa mujibu wa avatar ya kwanza & pili.
YNWA…!!!!
Kwanza nipe shkamoo yangu aiseeHeheh Loh.!
YNWA
Heee
Siku hizi avatar zinaonyesha miaka?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza nipe shkamoo yangu aisee
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo unadhani mimi nina age sawa na ya mdogo wangu Trent?😂Kama Trent ni chaguo la moyo wako, wakati huo Trent ni mdogo wangu, is it coming coming kukupa shkamoo???
YNWA
Basi ulienda chaka😂Kwa avatar uliyotoa homework inaweza kukadirisha umri”,..
Kwahiyo unadhani mimi nina age sawa na ya mdogo wangu Trent?[emoji23]
Basi ulienda chaka[emoji23]
We huyo mdogo sanaSasa je, kama umemuacha padogo tu
Leo mbona umeshikia Bango😂😂Haya, tutakuja kupata ka ukweli siku zijazo.
YNWA
Leo mbona umeshikia Bango[emoji23][emoji23]
Nipe NIDA yako afu nikuambie nimekupita miongo mingapi
Kama una 30 tuMie U30, nida achana nayo hapo tu kwenye kunipa miongo inaingia ila haikai akilini”,.
YNWA