choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,081
- 3,831
Au sio?Ndio ukweli ulipo
Wacha wee 😂😂😂😂😂Karibu Kaka.[emoji1431]
Trent hawezi kuondoka kizembe hiviCarvajal ka fracture ACL, huku TAA hajasain mkataba mpya na kuna tetesi wanamtaka, hii imekaaje
Best wake Jude ndio anaye mshawishiTrent hawezi kuondoka kizembe hivi
Huyo Jude asituvurugie mchezaji wetu aiseeBest wake Jude ndio anaye mshawishi
Asain mkataba sasaHuyo Jude asituvurugie mchezaji wetu aisee
Trent hawezi kuondoka
Au sio?
Wacha wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa sababu najua hautashindaEeh si umenivungia huko PM, lengo lko mjadala uishe kimya kimya,.
Kwahiyo unataka kusemaje chambuzi wa soka wa Dunia?🤣Hii sasa nongwa, unanifuatilia kwa ukaribu”,..
Atasaini ukiboreshwaAsain mkataba sasa
Kwa sababu najua hautashinda
Kwahiyo unataka kusemaje chambuzi wa soka wa Dunia?[emoji1787]
Yule jamaa hata sura ya ukocha hana yaaniKuna baadhi ya watu walitaka “Pep Lijnders” achukue mikoba ya Klopp, lakini anachokifanya kwa sasa is too much worse than the worse itself.
Hii ni kuanzia 1/9/2024 to 6/10/2025
Rapid Wien 3-2 Salzburg
Sparta Prague 3-0 Salazburg
WGL Tirol 0-0 Salzburg
Wiener Victoria 0-4 Salzburg
Salzburg 2-0 Austria Wien
Salzburg 0-4 Brest
Sturm Graz 5-0 Salzburg
Jamaa anachapika sana huko, sijui hajaiba material kwa J. Klopp, wanambutua sio domestic league au huko CL,
Ynwa’
Unabisha?Aaah wapi”,.?!
Eti jamani wadau!Scandal kama hizi haunipati ng’o mtoto wa alfu mbili choko choko zenu nyingi sana, hapa utapata tulizo”,. Huko huko PM case imalizike
Unabisha?
Sasa hapa tu umeshindwa,,pm utaweza hii battle kweli?
Eti jamani wadau!
Huyu dogo aje pm tuwekeane battle kweli?
YNWA