This is EPL ambapo unakata mti unpanda mti in "like for like" subs.. Unatoa Jota unaweka Nuenz.. Diaz unaweka Gapko nk nk... Ukishakua na wachezaji kiwango basi huko mazoezini maelekezo ya mwalimu yanaeleweka kwa kila mmoja. Lakin ukiwa na magalasa kama akina Henderson basi ujue kuna mahala utadodoshwa case study dogo Henderson aliwai zomewa mara kadhaa kwa kupenda kurudisha mipira nyuma almost wakati mwingi huku akiwa na chance ya kupiga mpira mbele...
Kwa sasa tunao average players Jones, Tsimikas nk dalili njema ni kwamba chini ya Slot wamekuja kivingine kabisa kiasi angalau huko mazoezini kinaleweka wanachofundishwa aisee hii inanpa amani sana kwamba mwalimu somo la tactics linawafikia vyema walengwa..
Most improved players chini ya Slot kwa sasa ni Gravenberch, Diaz, Konate, VVD, Trent, Robbo nk nk
Ngoja wa break kimataifa warejee wakiwa wazima maana wakirudi tu ndani ya siku 10 tuna gemu zifuatazo
View attachment 3116495
YNWA