Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kuwa removed siyo shida mbona
Mpira lazima tutofautiane mawazo.
Ile goli hata wewe ungefunga,ni mpira tu ulimpitia kichwani..alibahatisha
Ni kama vile Kelleher alivyofunga goli la ushindi la Carabao la penalty ya 11 dhidi ya Chelsea..huku kepa akipaisha mawinguni
Ni kama vile tu baadhi ya watu ambavyo hawamuapprecciate Kelleher..hata adake vipi.. wanasubiri afungwe ili waanze kumnanga kwamba hafai kuwa golikipa wa mechi za ligi kubwa.

Ni sawa pia, watu wanavyomdis Trent,
Lakini pia ni sawa tu na watu wanavyomtukana Klopp Kwa matusi yote, licha ya yeye kututoa matopeni.

Kwahiyo utofauti wa mawazo ni kitu cha kawaida.

Kelleher is nowhere near to Alisson Ramses Becker abilities, kwamba Klopp alimpendelea Becker over Kelleher? Kwamba Slot anampendelea Becker over Kelleher, hata umchukue, Mgunda leo bado ataanza golini na Becker. Its not about kupishana mawazo ila kupishana huko kuna reality??

Ynwa’
 
This is EPL ambapo unakata mti unpanda mti in "like for like" subs.. Unatoa Jota unaweka Nuenz.. Diaz unaweka Gapko nk nk... Ukishakua na wachezaji kiwango basi huko mazoezini maelekezo ya mwalimu yanaeleweka kwa kila mmoja. Lakin ukiwa na magalasa kama akina Henderson basi ujue kuna mahala utadodoshwa case study dogo Henderson aliwai zomewa mara kadhaa kwa kupenda kurudisha mipira nyuma almost wakati mwingi huku akiwa na chance ya kupiga mpira mbele...
Kwa sasa tunao average players Jones, Tsimikas nk dalili njema ni kwamba chini ya Slot wamekuja kivingine kabisa kiasi angalau huko mazoezini kinaleweka wanachofundishwa aisee hii inanpa amani sana kwamba mwalimu somo la tactics linawafikia vyema walengwa..
Most improved players chini ya Slot kwa sasa ni Gravenberch, Diaz, Konate, VVD, Trent, Robbo nk nk

Ngoja wa break kimataifa warejee wakiwa wazima maana wakirudi tu ndani ya siku 10 tuna gemu zifuatazo
View attachment 3116495

YNWA

Tough games, kipimo kizuri cha mental and physical fitness…

Nina amani na rotation imeanza kukubali, kwa baadhi ya wachezaji. Mchezaji kama Jones anahitaji kuzungwa na technical with serious players, vinginevyo ni utoto ataendeleza.

Jones can play better 8 n 10 ila sio dakika 90’ with the same rythym kama Szobozslai.

All in all let them come back good them boom battle iendelee.

I will go with
Kelleher
Trent
Konate
Vvd
Macca (kama hataenda intern. Break)
Gravern
Szobo
Gakpo
Nunez
Salah

In case Macca ataenda then i will choose Endo au pivot ya Szobo & Gravern then Jones behind Nunez.

Hii nimeweka kulingana na international duties.

Ynwa’
 
Wasiwasi wangu majeruhi tu.
Mfumo ushaeleweka. Salah jana kapewa sub ni vyema dogo aelewe msimu huu mechi kama mvua yaani.

YNWA

Finger crossed

Vvd, Macca, Salah hawa jamaa injury zao zitatuathiri pakubwa sana, my concern ipo kwa hawa jamaa, kule LCB kwa sasa hakuna anayeweza kumudu vizuri kama Vvd kwa tulionao, labda Konate & Gomez, but they are nowhere near Vvd excellence.

Ynwa’
 
View attachment 3116544
Hii ndio itakua kipimo cha Slot na vijana wake kwamba msimu huu tunahitaji tuwe wapi big 4 ama contenders wa makombe mazito...
Upepo wa majeruhi uwapitie mbali vijana mechi za kimataifa na Macca angalau iwe sio jeraha la kuwe nje kwa wiki kadhaa.

YNWA

Lets hope its a faking injury ya Macca, Macca is our “UNSUNG HERO”,.

Ynwa’
 
View attachment 3116546
Aiseee Mechi yake ya kwanza Ligi Kuu Uingereza ugenini na katoka salama. Big up kwake sana[emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635]

YNWA

Imagine Adrian was our third GK heheh i swear jana tungeenda 1-1 from no where tu,

Jaros is a good GK, not class one, but anaweza kukaimu golini for some matches.

Ynwa’
 
FB_IMG_17282142126569896.jpg
tuone ubora wa Slot atatokaje
 
It is always tough at Selhurts Stadium for Liverpool.

Mechi kama hii ilitunyima ubingwa 2013/2014. Zilibaki mechi 3,

Chelsea at Anfield
Crystal Palace at Selhurts
Newcastle Anfield

Mechi ya Chelsea tukapoteza 0-2, Demba Ba akiingia kambani after famous Gerrard slip, later on, Willian akamalizia msumari wa pili. Hapo matumaini yakawa a must win for the last two games, ambayo ni C. Palace & Newcastle.

Kipute kikapigwa, mpaka dakika ya 55 ubao ni 0-3, magoli ya Joe Allen, Daniel Sturridge na Luis Suarez( one man army).

All of a sudden vijana katili wa Tony Pulis mwamba mwenye mbinu zake za kupaki bus, wakaanza marejesho bila riba, moja baada ya nyingine. Baadae Pulis kafanya subs zake akamuingiza jamaa mmoja hivi kama ana albinism hivi, anaitwa Dwight Gayle sitamsahau,mpuuzi huyu katili hakumuhurumia hata Stevie G’. Dakika ya 79 wakapata goli moja, tukaona aah, haina tatizo wametuharibia cleansheet tu, aliyeingia D. Gayle akarejesha moja dk ya 81’ he.! tukaanza kuona hali imeanza kuwa mbovu, mpuuze yule akaja kuweka la tatu dk ya 88’ na safari ya Stevie G kulitwa taji la EPL likakomea hapo.

Kuanzia hapo ndipo Selhurts ikaanza kuwa ngumu sana, baada ya kizazi kile cha kina Y. Bolasie, Jason Puncheon winger moja haramu hivi, wakaja kina Zaha, mpaka Olisse na Eze, wamekuwa aakitupa tough tough game sana. Mtashinda lakini mtalala na viatu.

Ndicho wamekifanya leo, tough game with a margin of 0-1, utaelewa nini maana ya pressure. Ubora wa Becker leo umetupa clean three points.

As i said before the game wale jamaa sawa ni kuwafunga mapema kwa kadiri ya iwezekanavyo kwenye 3-4-2-1 yao unaona defensively ni 5-3-2, na ndizo team huwa tuna struggle nao sana, and we did it early 9’ Tsimi, Gakpo wakatengeneza goli zuri sana.

Anachokupa Gakpo sicho anachokupa Diaz ila anachokupa Diaz, Gakpo anaweza kukupa. Why.? Goli alilofunga Jota kama ni Diaz alikuwa kwenye ile situation basi ungetegemea, aendeleze ku hold mpira na kutafuta nafasi ya kufunga. But Gakpo was to quick to see opportunity.
Utofauti wao ni kwenye “maamuzi”, Gakpo ni mwepesi sana wa kuona chances aliyenayo yeye ni ngumu kuliko nikumpa next player thats the different.

Na mechi kama hizi unahitaji one profitable decision.

Kama hauwezi kutengeneza chances basi hakikisha ulichokipata unakilinda, ndicho hufanya Slot sasa hivi, and thats football.

Second half, things weny otherwise sababu ya Macca. Macca yule ndiye “mtuliza bahari” refer after his sub vs NF, alipotolewa yeye uwanja ukainama na wakaanza kufunguka and it paid them, again today after forced sub ya Macca unaona kabisa tumekosa mtu wa kutuliza bahari, we relied on Jones, but he isn’t that guy unaweza kumtegemea through out 90’ mins. Hence unaweza kuwa na tactics zile zile, kila kitu kile kile ila ukimkosa MFANISI wa kutekeleza mbinu zako basi mbinu zako zinafeli.

Palace wakaamua kufunguka na kujaa katikati, baada ya kutest the possibilities na wakaona ooh it might eeh.!!! Lets try we can do it, wakaanza ku press high with loads of no.s, Boom it helped them alot Becker akawa tested mara kama tatu hivi na zote akafanya anayofanya siku zote ‘great saves’. Palace wakaacha kutegeana, wakaamka, wakacheza kama timu, wakaamka kweli kweli, unfortunately to them Becker was under three posts.

Alipotoka Salah upande wa kulia ukawa weak, Diaz alijikuta LW, hauwezi kumlaumu ni ngumu kucheza position ambayo haujaizoea kwa mechi kama ile.

Praise Macca alot, hii ndio cheating code ya Slot, acha Gravern afanye anayofanya though Macca anasema its luck to play with Gravern, but they are all luck for sure.

There is a time you have to lose the battle and win the war, we lost the battle especially 2nd half but we won the war.

Was it a penalty or not,?

Kwa mujibu wa sheria inahitaji mchezaji aliyechezewa foul awe na impact kwenye mchezo huo. Binafsi i said yea its a penalty, but wakaja kusema it is not a penalty because aliyefanyiwa foul hakuwa na impact yoyote na mpira ule. Hata angeachwa asingefanya chochote, thats why it shouldn’t be a penalty as it didnt.

Jaros.

Promising GK hajawa proved kuwa wa level hizo but i like his confidence. Mbele yako kuna Konate na Vvd utakuwa na less pressure.

Je Cleansheet itakuwa ya Jaros au Becker?
Cleansheet atapewa Becker kwa sababu ndiye amecheza mechi nyingi kuliko Jaros, So another cleansheet for Big man Becker.

Get well Soon Becker you are needed alot toward tough two months.

October to 1st December, two good Months for Slot to be tested with his boys, wataulizwa maswali na:-
Madrid
Arsenal
City
Chelsea
Leipzig
Leverkusen
Brighton twice

All are well with RED Army.

Top of the table for almost next two weeks[emoji736]
Cleansheet[emoji736]
Three crucial points [emoji736]

Up Liverpool
Go Slot
Ynwa’
Asante bro! Uchambuzi mzuri sana. Ni kama vile nilikiwa naitazama gemu upya.
Kongole kwako brother. Endelea kutulisha na kutufunza.
 
Kelleher is nowhere near to Alisson Ramses Becker abilities, kwamba Klopp alimpendelea Becker over Kelleher? Kwamba Slot anampendelea Becker over Kelleher, hata umchukue, Mgunda leo bado ataanza golini na Becker. Its not about kupishana mawazo ila kupishana huko kuna reality??

Ynwa’
Sijasema kwamba makocha wana upendeleo
 
Its ok before ilo moja ulisubiri for how many years,.??!


2ndly, Je, tulikosa ubingwa kwa points tatu (3) kiasi cha kusema tungeshinda game vs Arsenal ndipo tungelikuwa mabingwa??

Baada ya mechi ile ya Arsenal hatukuptoza tena? Kwamba tulishinda na kuendelea kushinda??

Ynwa’
Ila tulikosa
Na katika points tulizofeli, hizo 3 zilikuwepo ndani
 
This is EPL ambapo unakata mti unpanda mti in "like for like" subs.. Unatoa Jota unaweka Nuenz.. Diaz unaweka Gapko nk nk... Ukishakua na wachezaji kiwango basi huko mazoezini maelekezo ya mwalimu yanaeleweka kwa kila mmoja. Lakin ukiwa na magalasa kama akina Henderson basi ujue kuna mahala utadodoshwa case study dogo Henderson aliwai zomewa mara kadhaa kwa kupenda kurudisha mipira nyuma almost wakati mwingi huku akiwa na chance ya kupiga mpira mbele...
Kwa sasa tunao average players Jones, Tsimikas nk dalili njema ni kwamba chini ya Slot wamekuja kivingine kabisa kiasi angalau huko mazoezini kinaleweka wanachofundishwa aisee hii inanpa amani sana kwamba mwalimu somo la tactics linawafikia vyema walengwa..
Most improved players chini ya Slot kwa sasa ni Gravenberch, Diaz, Konate, VVD, Trent, Robbo nk nk

Ngoja wa break kimataifa warejee wakiwa wazima maana wakirudi tu ndani ya siku 10 tuna gemu zifuatazo
View attachment 3116495

YNWA
akishinda 3 kati ya hizi games itaboost sana confidence ya wachezaji
 
View attachment 3116544
Hii ndio itakua kipimo cha Slot na vijana wake kwamba msimu huu tunahitaji tuwe wapi big 4 ama contenders wa makombe mazito...
Upepo wa majeruhi uwapitie mbali vijana mechi za kimataifa na Macca angalau iwe sio jeraha la kuwe nje kwa wiki kadhaa.

YNWA
kuna mechi 7 ngumu hapa, hatari sana!
 
View attachment 3116834tuone ubora wa Slot atatokaje

Si kuwatoa thamani hao wajerumani wawili, ila kuna fixture ngumu ni hizi kwangu:-

Vs Chelsea
Vs Arsenal
Vs Villa
Vs Madrid
Vs City
Vs S’ton

Tough Tough matches, hao wengine its going to be tough too, ila hauwezi fananisha na hao hapo juu. Hawa S’ton wana good football kwa sasa, plus mrundikano wa Mechi utarahisisha game kwao, back to back games wanaweza kutukuta kwenye fatigue plus some injuries (God forbid).

Hapo ni suala la injuries tu, ila kuna mechi naona tukitoka salama, hao Londonese wawili kuna mmoja atakuwa mbishi sana.

Ynwa’
 
Back
Top Bottom