Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
HaondokiTangu saga la Torres huwa naamini mchezaji anaondoka dakika yoyote saa yoyote
Mnataka aje nani ?Ila kiukweli mimi Slot wenu bado sijamkubali
Ila points ni zilezile 3Simba wanasema ushindi wa Liverpool kama wa Yanga! Kagoli kamoja kamoja!
Hawezi kwenda timu mbovu kama Manchester utdNa akihamia Nyumbu FC je😀 just kidding!
Ngoja tuone MkuuEverytime JK akiwa kwenye mbio za ubingwa last 7 games kunakuwa na
Everton
Worst Man united
C.palace and the likes
Na ni lazima atokee wa kuzima ndoto za ubingwa.
Arne kama anautaka ubingwa ajitahidi ashinde wee ikitokea fixture kama hiyo awe yupo 7+ points above City ndio walau aote ubingwa.
Sisi tunagundu mechi kama hizo anateleza mtu bahati mbaya au anatoa pasi boko mradi tuu mambo yaharibike
View attachment 3117582
• 2 goals conceded in 7 Premier League games..
🗣️ - Van Dijk: "It should have been 1 goal. That last goal vs Wolves is still bothering me."
Nashangaa hata hujui, Mahaba mvurugo haya mara Gakpo mara Trent 🤣🤣🤣Kumbe birthday ya babe wangu
Nyonga mkalia ini🤩
Na hamsemi.
Def yupo wapi?
Nina keki ya Trent jamani😊
We Trent yaani Trent.Nashangaa hata hujui, Mahaba mvurugo haya mara Gakpo mara Trent 🤣🤣🤣
Livermania taking over🔥🔥🔥🔥What a weekend 😍
Crystal Palace U18s 2-5 Liverpool U18s
Man Utd U21s 0-1 Liverpool U21s
Tottenham Women 2-3 Liverpool Women
Crystal Palace 0-1 Liverpool
Up The Reds ✊🔴
Lakini hata pep si ulisemaga atakuwa amejifunza vingi kutoka kwa Klopp
Na una imani ya recommendation ya Klopp [emoji23]
Bobby hadi wewe unaanza kuniita Dogo kama Mona?
Leo hii nianze kubishana na mtoto wangu kuthibisha kuwa mimi ni kama mama yake kweli!
Sasa mtoto umri wa kina Diaz ndio ukalingane na mimi kweli
Hebu jitulize[emoji1787]
Ila kiukweli mimi Slot wenu bado sijamkubali
Kwenye majibu ananifurahisha sana japo kwenye tactics zake bado sijamsoma
haswaa huyu Aseno namuwaza sana, kocha wao ni mzuri wa kusoma mbinu za wapinzani wake
Ni angle au angel ?Of which is good.
Mpira haupaswi tufanane katika kuutazama ili kuleta ladha na ndio ladha yenyewe ya mpira ilipo.
Mpira una angel zake za kuangalia na kila mtu ana angel yake inayomfurahisha.
Kwa mf. Kuna mtu anapenda mechi magoli tu yani funga nikufunge lkn nishinde,
Kuna mwingine anapenda, possession football hata kama mtashinda goli moja kwake ni burudani.
Wengine wanapenda direct football, just attack, attack, attack, (mostly kama Jurgen Klopp, Macini wa Italy National Team, Sarri and the likes).
Wengine wanapenda tuondoke tukifika kwenye final third ni long range shots mechi nzima,
Kila mtu ana ladha yake ya kutazama mpira, kutokana na pressure appetite yake inavyosoma.
Ynwa’