Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani nadanganya?
Huyu Manyanza naye,,anauliza maswali as if hana D mbili...wakati ni mkongwe wa kitambo hicho 2010
7Hag kesho bye bye
Kwahiyo umeanza kupiga ramli?[emoji1787]
Trent wa bongo bwana[emoji16]
View attachment 3118114
“I can guarantee all three players [Salah, Van Dijk, Trent] are giving priority to Liverpool”.
[@FabrizioRomano]
The MoNA muite Saint Anne kuna ujumbe wake hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 3118226
Mimi niko hapa 'attack attack attack, dah nitamkumbuka Jurgen NorbertOf which is good.
Mpira haupaswi tufanane katika kuutazama ili kuleta ladha na ndio ladha yenyewe ya mpira ilipo.
Mpira una angel zake za kuangalia na kila mtu ana angel yake inayomfurahisha.
Kwa mf. Kuna mtu anapenda mechi magoli tu yani funga nikufunge lkn nishinde,
Kuna mwingine anapenda, possession football hata kama mtashinda goli moja kwake ni burudani.
Wengine wanapenda direct football, just attack, attack, attack, (mostly kama Jurgen Klopp, Macini wa Italy National Team, Sarri and the likes).
Wengine wanapenda tuondoke tukifika kwenye final third ni long range shots mechi nzima,
Kila mtu ana ladha yake ya kutazama mpira, kutokana na pressure appetite yake inavyosoma.
Ynwa’
Mimi niko hapa 'attack attack attack, dah nitamkumbuka Jurgen Norbert
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 🤔🤔🤔🤔Bhanaaa.Lakini hata pep si ulisemaga atakuwa amejifunza vingi kutoka kwa Klopp
Na una imani ya recommendation ya Klopp 😂
Bobby hadi wewe unaanza kuniita Dogo kama Mona?
Nini Bobby 😂😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 🤔🤔🤔🤔Bhanaaa.
YNWA
Kwahiyo umeona ukabie juu kabla mwenyewe sijafikaAtakuambia alichoma mechi vs Arsenal, hana kwingine, even Jaros alichomoa tuvitu. Kudos to his debut
Naanza kumkubali Jaros hivi,
Haijalishi ni wa ngapi
Kwani ulitaka kusemaje?Hapana sijaanza kupiga ramli, ni dots naziunga unga huko nipate maana.
Hapo Trent wa Bongo?[emoji848] tuishie hapo.
Ynwa’
Wamiliki bado wana Imani na 7HagWamwache tu tuendelee kufurahia Mateso yao.
Ynwa’
Utambe!Heheh mkongwe mwenzangu”,..
Ynwa’
Wakongwe wakina Ladder a.k.a Mbu muanzilishi wa huu uzi na Uncle Timing 😂😂😂Utambe!
Wakongwe akina Manyanza huwa hawajisemi😁
Wakongwe wametuliaWakongwe wakina Ladder a.k.a Mbu muanzilishi wa huu uzi na Uncle Timing 😂😂😂
Mwanaume ni Mwanaume tu. Ni zama zake kulipeleka gurudumu mbele alikuwepo Mwamba anaitwa Mi Mbabe alikuwa analipeleka gurudumu vyema kabisa. Mpe hadhi yake Mona akiwa busy na yeye uzi utapoa aisee. Mpe heshima yake kama Mwanaume haijalishi kwako ni mtoto wa elfu 2000. Inaelemea sana unavyom slap humu mbele ya watu laki 5 😂😂😂😂Wakongwe wametulia
Ila haka katoto ketu ka elfu mbili na mbili ndio kanajiona kakongwe😂