Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG-20241007-WA0042.jpg

“I can guarantee all three players [Salah, Van Dijk, Trent] are giving priority to Liverpool”.

[@FabrizioRomano]
 
Of which is good.

Mpira haupaswi tufanane katika kuutazama ili kuleta ladha na ndio ladha yenyewe ya mpira ilipo.

Mpira una angel zake za kuangalia na kila mtu ana angel yake inayomfurahisha.

Kwa mf. Kuna mtu anapenda mechi magoli tu yani funga nikufunge lkn nishinde,

Kuna mwingine anapenda, possession football hata kama mtashinda goli moja kwake ni burudani.

Wengine wanapenda direct football, just attack, attack, attack, (mostly kama Jurgen Klopp, Macini wa Italy National Team, Sarri and the likes).

Wengine wanapenda tuondoke tukifika kwenye final third ni long range shots mechi nzima,

Kila mtu ana ladha yake ya kutazama mpira, kutokana na pressure appetite yake inavyosoma.

Ynwa’
Mimi niko hapa 'attack attack attack, dah nitamkumbuka Jurgen Norbert
 
Wakongwe wametulia
Ila haka katoto ketu ka elfu mbili na mbili ndio kanajiona kakongwe😂
Mwanaume ni Mwanaume tu. Ni zama zake kulipeleka gurudumu mbele alikuwepo Mwamba anaitwa Mi Mbabe alikuwa analipeleka gurudumu vyema kabisa. Mpe hadhi yake Mona akiwa busy na yeye uzi utapoa aisee. Mpe heshima yake kama Mwanaume haijalishi kwako ni mtoto wa elfu 2000. Inaelemea sana unavyom slap humu mbele ya watu laki 5 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom