Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Everytime JK akiwa kwenye mbio za ubingwa last 7 games kunakuwa na
Everton
Worst Man united
C.palace and the likes

Na ni lazima atokee wa kuzima ndoto za ubingwa.

Arne kama anautaka ubingwa ajitahidi ashinde wee ikitokea fixture kama hiyo awe yupo 7+ points above City ndio walau aote ubingwa.

Sisi tunagundu mechi kama hizo anateleza mtu bahati mbaya au anatoa pasi boko mradi tuu mambo yaharibike
 
Ngoja tuone Mkuu
Tumalize kwanza Round ya Kwanza salama.

YNWA
 
IMG-20241007-WA0004.jpg

• 2 goals conceded in 7 Premier League games..

🗣️ - Van Dijk: "It should have been 1 goal. That last goal vs Wolves is still bothering me."
 
❣️
HISTORIA FUPI YA MAISHA YA SOKA YA NAHODHA MSAIDIZI NAMBA MOJA WA KLABU YA Liverpool FC Trent Alexander-Anord 📌

UTANGULIZI:
Trent John Alexander-Anord alizaliwa terehe 7 October 1998 Merseyside katika Jiji la Liverpool nchini Uingereza. Ana urefu wa futi 5. Nafasi anayoicheza akiwa uwanjani ni mlinzi wa kulia.

MAISHA YA SOKA:
Mwaka 2004 kijana huyu akiwa na umri wa miaka 6 alijiunga na klabu ya Liverpool FC ya watoto (Youths Level) kwa kuandikishwa na wazazi wake,akiwa katika level ya kukuzwa vipaji alifanikiwa kuwa nahodha mkuu wa timu ya watoto mpaka pale alipopandhishwa kwenye senior level ambapo anatambulika kama nahodha Msaidizi namba moja kwa Sasa katika klabu hiyo.

Mwaka 2016 ndio mwaka wa history yake ya soka ilianza kutengenezwa rasmi mara baada ya kufanikiwa kucheza mchezo wake wa kwanza chini ya Kocha Jürgen Klopp akiwa na umri wa miaka 18.

Trent Alexander-Anord hajawahi kucheza timu tofauti na Liverpool FC tangu kuzaliwa kwake. Mpaka kufikia Sasa akiwa katika klabu ya Liverpool FC amefanikiwa kucheza michezo takribani 233 pia amefunga mabao 15 kwenye michezo yote aliyocheza mpaka kufikia Sasa.

MAFANIKIO YAKE KATIKA SOKA:
Trent John Alexander-Anord amefanikiwa kutwaa ubingwa wa UEFA Champions League mwaka 2019,ametwaa ubingwa wa Premier League mwaka 2020,mwaka 2021 na 2022 alitwaa ubingwa wa Domestic Cup pamoja an EFL Carabao Cup.

Mwaka 2018 alifanikiwa kuitwa katika kikosi Cha timu ya taifa ya Uingereza akiwa na umri wa miaka 20 na akawa mchezaji wa nne mdogo zaidi kucheza katika katika mashindano makubwa kama hayo kwa kipindi hicho.

.... Nimecopy
 
Attachments

  • IMG-20221220-WA0005.jpg
    IMG-20221220-WA0005.jpg
    44.1 KB · Views: 5
Lakini hata pep si ulisemaga atakuwa amejifunza vingi kutoka kwa Klopp
Na una imani ya recommendation ya Klopp [emoji23]

Bobby hadi wewe unaanza kuniita Dogo kama Mona?

Pole pole”,. Tu mambo yatajidhihirisha kwamba wewe ni alfu mbilinism”,.
 
Ila kiukweli mimi Slot wenu bado sijamkubali

Of which is good.

Mpira haupaswi tufanane katika kuutazama ili kuleta ladha na ndio ladha yenyewe ya mpira ilipo.

Mpira una angel zake za kuangalia na kila mtu ana angel yake inayomfurahisha.

Kwa mf. Kuna mtu anapenda mechi magoli tu yani funga nikufunge lkn nishinde,

Kuna mwingine anapenda, possession football hata kama mtashinda goli moja kwake ni burudani.

Wengine wanapenda direct football, just attack, attack, attack, (mostly kama Jurgen Klopp, Macini wa Italy National Team, Sarri and the likes).

Wengine wanapenda tuondoke tukifika kwenye final third ni long range shots mechi nzima,

Kila mtu ana ladha yake ya kutazama mpira, kutokana na pressure appetite yake inavyosoma.

Ynwa’
 
Kwenye majibu ananifurahisha sana japo kwenye tactics zake bado sijamsoma

Slot philosophy bado haijawa well injected enough, flow bado haijakubali, thats why watu kama ninyi hamfurahishwi bado na anachofanya Slot.

Slow Slow but Sure Slot is cooking.

Lets see untill december, wachezaji watakuwa wame catch vipi.

Ynwa’
 
Of which is good.

Mpira haupaswi tufanane katika kuutazama ili kuleta ladha na ndio ladha yenyewe ya mpira ilipo.

Mpira una angel zake za kuangalia na kila mtu ana angel yake inayomfurahisha.

Kwa mf. Kuna mtu anapenda mechi magoli tu yani funga nikufunge lkn nishinde,

Kuna mwingine anapenda, possession football hata kama mtashinda goli moja kwake ni burudani.

Wengine wanapenda direct football, just attack, attack, attack, (mostly kama Jurgen Klopp, Macini wa Italy National Team, Sarri and the likes).

Wengine wanapenda tuondoke tukifika kwenye final third ni long range shots mechi nzima,

Kila mtu ana ladha yake ya kutazama mpira, kutokana na pressure appetite yake inavyosoma.

Ynwa’
Ni angle au angel ?
 
Back
Top Bottom