Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tulipohoji ni wa nini huyo ni injury prone kuna watu walitetea huu usajili

Chiesa isnt an injury prone labda neno injury prone tunalielewa vibaya. Since apate injury ya ACL Mpaka leo graph yake imepanda na inaenda ikipanda.

Last season, Alicheza dakika nyingi kuliko front three yetu, how can this be an injury prone?

Kilichofanya asajiliwe ni price tag na experience yake ndani ya uwanja. Mie & MosDef ndio tulibariki usajili wake, kwa sababu we knew tuna loads of games, na atasaidia kwenye team rotation na mickey mouse cups.

Tunaweza kukubali kutokukubaliana pia.

Ynwa’.
 

Yeah..!! Lost Europe final vs Sevilla 2016, League Cup final vs Man City 2016.

Lost 5/5 vs Madrid Two finals KO group stage vs them,

Klopp should have won many cups by now.

Ynwa’
 

Passing ability imeongezeka, see Konate mate.!! Alipochukua 45 min vs Ipswich akaamua kumuonesha Quansah jinsi inavyopaswa kufanywa, since then Quansah hana amani, but Slot alichagua kwenda na Quansah.

Balance inapatikana kati ya defending vs attacking without natural DM na hii ndio advantage ya kuwa na double pivot, imagine Gravern as a single pivot, au Jones, naweza kusema tungekuwa position ya kumtukana sana Slot by now. Jamaa ni coach and a good trainer, mambo magumu anayafundisha kwa wepesi sana.

Nilimuona Nunez akicheza false 9 after Jota’s Injury, nili enjoy kumuona mwenye utulivu akirudi chini kusaidia kukaba. Kwa kiasi darasa limeanza kumuingia. Magoli na assist zitakuja inabidi abadili mindset yake na astick na Slot’s demand, ndicho kitakuja kumpa kujiamini tena.

No any front three can do Bobby’s things ila wanaweza kufanya kwa kiasi kidogo kuitumiliza system ya Slot ifanye kazi.

Atleast Klopp alikuwa na Cv alipotoka Dortmund unlike Slot, unexpected candidate ila anazidi kuprove majority wrong.

Lets us see.
Ynwa
 
I wonder akisifiwa Slot watu wanaona anapondwa Klopp.

Na wanasubiri Slot aharibu waanze we knew we knew, Slot profile ndogo sana kuvaa viatu vya Klopp. I wonder.

Kufanya vizuri kwa Slot ni kufanya vizuri kwa LiverpoolFc.

Klopp amefanya aliyoyafanya, ameondoka we enjoyed his times with him now we are with Slot lets see atatufikisha wapi.

Watu hawajui why Madrid wanazidi kudominate mpira wa ulaya hata huko La Liga, its just a mindset wa watu wao waliopo kwenye mpira. Cassilas alikuwa WC GK but Madrid didn’t treat him as WC, Higuain, Cr7, na maisha yakaendelea mbele. You need hard decision kuilinda brand very hard decision and it is what Klopp did, aliona hana otherwise ya kuendelea ku offer chochote ndani ya LFC muda wake umemalizika na mwingine aje aendeleze alipoachia.

Ferguson aliitengeneza utd na kuiacha utd yenye kila sababu ya kutwa major trophies, waliofuata wali struggle sana, ila watch Slot so far ameweza kuendeleza alipoikuta LFC, he is so genius ameweza.

Wenger aliindoka Arsenal ona walivyo struggle kubaki top four mpaka amekuja Arteta after four seasons ndio wamerudi Uefa kwa kujiamini atleast 70% wanaweza kucheza CL kama kipindi cha Wenger.

Ukisema Slot amemfundisha Gravern na kumsaidia kumuimprove hapo umemponda Klopp???

What about Konate??
Trent (defensively) utakuwa umemponda Klopp??
Won 10/11 matches hapo umemponda Klopp?
Win four away matches, umemponda Klopp??
Je hizi sio facts??
First ever LFC coach to win 6 out of his 7 premier league matches, hapo umemponda Klopp?
Timu iliyofungwa magoli machache so far EPL nayo hapa ni kumponda Klopp??

Je ni kweli Klopp hakufungwa CL 2 vs Madrid??
Hakufungwa H/A vs Madrid 2022/2023?
EUROPE final vs Sevilla 2016, didnt we lose?
Major final zote hizi tumefungwa na Spanish club within 90 mins, je ni kweli si kweli??
Within 9 yrs we won 1 EPL hili nalo ni debate??

Big no nani asiyemkubali Klopp ndani ya LFC..!!??

Ni suala la muda tu. Its only this season na comparison zitaisha, ni kawaida kwenye maisha ya mpira. Hata huko Ulaya kina Carragher, Neville, Barnes na wengine wengi, wakiichambua LFC ni Klopp did this and Slot is doing this, wanatafuta ni wapi Slot amebadili kunampa matokeo?

Kwa sasa itaendelea Klopp vs Slot until next season itabaki Slot vs Slot, naye Slot akishindwa anafurumushwa tu simple as that.

Anyway kukubali kutokukubaliana its a good debate,

Up reds
Up Liverpool
Go Slot

Ynwa’
 
Klopp atabaki kuwa Klopp aliitoa team mbali na akaiacha ikiwa vizuri sana.
Mtu ametuletea Ubingwa wa EPL baada ya miaka 29. Hiyo tu sio kitu kirahisi, Klopp has broken the chain.
Arne Slot will be judged by bringing the trophies to Anfield
 
Klopp atabaki kuwa Klopp aliitoa team mbali na akaiacha ikiwa vizuri sana.
Mtu ametuletea Ubingwa wa EPL baada ya miaka 29. Hiyo tu sio kitu kirahisi, Klopp has broken the chain.
Arne Slot will be judged by bringing the trophies to Anfield

Kuna mtu anapinga hili??
 
Klopp hua nammdiss kwa kuwang'ang'ania akina Henderson, Milner, Keita, Ox nk nk na kuwaachia Mane na Gini mie binafsi sielewi kabisa kwenye hizo area 2 lakin Klopp kama Klopp pamoja na changamoto zote za ubahiri wa FSG alipambana na Oiled Machine ya Mansour Manchester City kiasi Kipara anasema bila kupepesa maneno kwamba Klopp wa Liverpool ndio greatest opponent wa tangu aanze kuwa kocha...
FSG walinunua Liverpool £350m hivi lakin mpaka Klopp anatoka pale ameacha klabu ina value ya £4b plus yaani ndio maana FSG cared less makombe kuja ilihali kwao Liverpool upande wa biashara ulizid kuimarika...
Too bad tuna clueless owners ambao wapo selfish haswa, sie tunataka makombe wao wanaangalia brand inakua aje nk nk....
Hata huyu Slot kuna siku atachoka aisee kufanya kazi na FSG ni kipengele sana..
Kinachowasukuma sana sana ni aura ya mashabiki wa hii klabu yaani wapo very passionate ukishakua wa kwao basi wanakupa mahaba kama yoteee...

Bila Klopp hakuna Slot wala nani tungebaki na akina Rodgers nk
Klopp ni pure definition ya commitment n love.

YNWA
 
Haikuwa shida ya kocha, ilikuwa shida ya menejimenti.

Klopp tangu aanze ukocha hajawahi kufundisha timu inayomwaga hela, natamani aende timu inayomwaga hela style yake inahitaji depth squad
Ishu Klopp hatakaa aongee lolote namna menejimenti walivyomuangusha aisee... He is such a gentleman.

Angalau wengi wanaelewa mwamba amedodoshwa na FSG na si kingine.

Ukiwa na wamiliki design ya FSG ni uwezo binafsi wa Mwalimu na vijana kutuvusha salama lakin kutegemea kila hitaji tutapata majibu sokoni ni pagumu sanaaa aisee.

Slot kaalewa vyema mapema kwamba hapa ana mabosi mabahiri hivyo aji sort na mbinu zake mapema na so far so good

YNWA
 
Hamna style nzuri kama ya Klopp
Angekua na mabosi wenye uchu wa makombe na uelewa wa mpira Klopp wala asingeodoka Liverpool...

Kwa sasa we "boring" to watch hakuna mchakamchaka but team ina balance... In short we not pumping above our weight... Inaitwa Slot ball ambayo kwa wachezaji tulionao inatosha kwa sasa

YNWA
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Sitaki mie uniazishie haya mambo anaweza @TheMoNA
Wewe chaguo lako alikua Steve G the great[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]

YNWA

Heheh Steve G huyu angetufanyia ya Lampard na Chelsea,

Watoto wa malkia uwezo wao kufundisha soka mdogo sana, imebidi wamtafute Tuchel aje awasaidie kazi kidogo

Ynwa’
 
Cody anatosha

Katrent kanajiona kastar
Kabwege tu
Hana effect yoyote kwenye makombe
Awepo asiwepo

Watoto wa Alfu mbili”. Sizitaki mbichi hizi”,..

Binafsi naona Salah & Vvd hapa tunaweza shake kupata mbadala wao.

Mara nyingi kwenye mpira GK, RB & LB hawajawai kuwa sababu ya timu kupotea, tofauti na no. Zilizobaki.

Ynwa’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…