The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,168
- 10,184
Under eighteen mnatusumbua sana
Heheh, tunashushana sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Under eighteen mnatusumbua sana
Tulipohoji ni wa nini huyo ni injury prone kuna watu walitetea huu usajili
Uefa fainali mara 3 mkuu na tukapigwa haya EPL twice we missed by a whisker... . Nadhani we agree to disagree kwamba we were fun to watch lakin trophy wise tulikua weupeee peee na binafsi I would take even The Special One approach kama itanipa makombe
Past is past lets enjoi the present. Future is scary man.
YNWA
Slot ni wild card mate hakuna aliekua anamjua kama future candidate wa kutua Anfield hivyo itawachukua wengi kumwelewa huyu mwamba pengine hata kumwamini...
Majina yalikuwa yanatajwa left and right na jina lake halikuwepo mpaka pale Amorim thought anaweza kuwa out smart FSG watoe ela nyingi sasa ndio wakaona ohooo ebu tutue kwa Kipara Slot chap sanaa.
Kasajili squad player Chiesa ambae huyu amekua profiled tangu zamani hivyo huu sio usajili wake kivile.
Alichoamua ni ku upgrade vijana kuwapa mbinu za ziada na sasa tuna kikosi fearless na kina balance...
I mean mpaka Trent anafanya tackling haiyaaa xmas comes early
YNWA
Klopp atabaki kuwa Klopp aliitoa team mbali na akaiacha ikiwa vizuri sana.I wonder akisifiwa Slot watu wanaona anapondwa Klopp.
Na wanasubiri Slot aharibu waanze we knew we knew, Slot profile ndogo sana kuvaa viatu vya Klopp. I wonder.
Kufanya vizuri kwa Slot ni kufanya vizuri kwa LiverpoolFc.
Klopp amefanya aliyoyafanya, ameondoka we enjoyed his times with him now we are with Slot lets see atatufikisha wapi.
Watu hawajui why Madrid wanazidi kudominate mpira wa ulaya hata huko La Liga, its just a mindset wa watu wao waliopo kwenye mpira. Cassilas alikuwa WC GK but Madrid didn’t treat him as WC, Higuain, Cr7, na maisha yakaendelea mbele. You need hard decision kuilinda brand very hard decision and it is what Klopp did, aliona hana otherwise ya kuendelea ku offer chochote ndani ya LFC muda wake umemalizika na mwingine aje aendeleze alipoachia.
Ferguson aliitengeneza utd na kuiacha utd yenye kila sababu ya kutwa major trophies, waliofuata wali struggle sana, ila watch Slot so far ameweza kuendeleza alipoikuta LFC, he is so genius ameweza.
Wenger aliindoka Arsenal ona walivyo struggle kubaki top four mpaka amekuja Arteta after four seasons ndio wamerudi Uefa kwa kujiamini atleast 70% wanaweza kucheza CL kama kipindi cha Wenger.
Ukisema Slot amemfundisha Gravern na kumsaidia kumuimprove hapo umemponda Klopp???
What about Konate??
Trent (defensively) utakuwa umemponda Klopp??
Won 10/11 matches hapo umemponda Klopp?
Win four away matches, umemponda Klopp??
Je hizi sio facts??
First ever LFC coach to win 6 out of his 7 premier league matches, hapo umemponda Klopp?
Timu iliyofungwa magoli machache so far EPL nayo hapa ni kumponda Klopp??
Je ni kweli Klopp hakufungwa CL 2 vs Madrid??
Hakufungwa H/A vs Madrid 2022/2023?
EUROPE final vs Sevilla 2016, didnt we lose?
Major final zote hizi tumefungwa na Spanish club within 90 mins, je ni kweli si kweli??
Within 9 yrs we won 1 EPL hili nalo ni debate??
Big no nani asiyemkubali Klopp ndani ya LFC..!!??
Ni suala la muda tu. Its only this season na comparison zitaisha, ni kawaida kwenye maisha ya mpira. Hata huko Ulaya kina Carragher, Neville, Barnes na wengine wengi, wakiichambua LFC ni Klopp did this and Slot is doing this, wanatafuta ni wapi Slot amebadili kunampa matokeo?
Kwa sasa itaendelea Klopp vs Slot until next season itabaki Slot vs Slot, naye Slot akishindwa anafurumushwa tu simple as that.
Anyway kukubali kutokukubaliana its a good debate,
Up reds
Up Liverpool
Go Slot
Ynwa’
Klopp atabaki kuwa Klopp aliitoa team mbali na akaiacha ikiwa vizuri sana.
Mtu ametuletea Ubingwa wa EPL baada ya miaka 29. Hiyo tu sio kitu kirahisi, Klopp has broken the chain.
Arne Slot will be judged by bringing the trophies to Anfield
🤣 🤣 🤣 🤣 Sitaki mie uniazishie haya mambo anaweza @TheMoNAMimi hadi nimuone amewafunga Madrid na abebe vikombe hata viwili tu msimu huu
Mpira mzuri hata Klopp alikuwa nao.
Klopp hua nammdiss kwa kuwang'ang'ania akina Henderson, Milner, Keita, Ox nk nk na kuwaachia Mane na Gini mie binafsi sielewi kabisa kwenye hizo area 2 lakin Klopp kama Klopp pamoja na changamoto zote za ubahiri wa FSG alipambana na Oiled Machine ya Mansour Manchester City kiasi Kipara anasema bila kupepesa maneno kwamba Klopp wa Liverpool ndio greatest opponent wa tangu aanze kuwa kocha...Hapo sasa umenifurahisha, unajua ninapoona watu wanamnanga Klopp nasikia maumivu na hasira kubwa mnooo
Klopp style yake nilikuwa naipenda mnoooo na ukiangalia alipotukuta na alipotuacha dah much respect for him💙💙💙💜💛
Tunataka kwanza ashinde makombeWe are supporting slot
But it is too early to dump klopp
Ishu Klopp hatakaa aongee lolote namna menejimenti walivyomuangusha aisee... He is such a gentleman.Haikuwa shida ya kocha, ilikuwa shida ya menejimenti.
Klopp tangu aanze ukocha hajawahi kufundisha timu inayomwaga hela, natamani aende timu inayomwaga hela style yake inahitaji depth squad
Mbona sasa bebi wako anamkimbia.Tunataka kwanza ashinde makombe
Trent akili hanaMbona sasa bebi wako anamkimbia.
YNWA
Angekua na mabosi wenye uchu wa makombe na uelewa wa mpira Klopp wala asingeodoka Liverpool...Hamna style nzuri kama ya Klopp
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Sitaki mie uniazishie haya mambo anaweza @TheMoNA
Wewe chaguo lako alikua Steve G the great[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
YNWA
Tunataka kwanza ashinde makombe
Cody anatoshaMapema utue kwa Nunez 😂😂
YNWA
Cody anatosha
Katrent kanajiona kastar
Kabwege tu
Hana effect yoyote kwenye makombe
Awepo asiwepo
Roney alipo mchangani anakiona cha moto...Heheh Steve G huyu angetufanyia ya Lampard na Chelsea,
Watoto wa malkia uwezo wao kufundisha soka mdogo sana, imebidi wamtafute Tuchel aje awasaidie kazi kidogo
Ynwa’