Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
π π π π Nani anaadika hizi meseji ππ...Cody anatosha
Katrent kanajiona kastar
Kabwege tu
Hana effect yoyote kwenye makombe
Awepo asiwepo
Roney alipo mchangani anakiona cha moto...
YNWA
Aafu wana mdomo sana the so called class of 96 yaani kwa kweli kwenye ukocha hawana chao kabisa...Rooney anaupenda ukocha ila ukocha haumpendiβ,. Kila timu anayoenda huko ni majanga tu, anawashusha daraja au awatoe top ten.
Wachezaji wengi wa zamani wa kiingereza wana struggle sana kwenye ukocha. Neville na Valencia yake aliiongoza mechi 28, akashinda 10 akadraw 7 na kufungwa 11,..
Scholes alienda Oldham akakaa mwezi akajiondokea,
Halafu kama umegundua ile Class 96 ya united upande wa ukocha wanachapika.
Ynwaβ
Aafu wana mdomo sana the so called class of 96 yaani kwa kweli kwenye ukocha hawana chao kabisa...
Rooney duh anatia huruma ingekua vyema aanze huko chini ya championship labda mbinu zake kule itafaa lakini kwingine kote mmh ni vipigo tu.
YNWA
View attachment 3133438
[emoji91] [emoji91] [emoji91] Ni 1 game wonder ama he is just getting started haha... Let's see.
YNWA
Hata ikitokea Slot akachukua makombe kumzidi Klop, sifa zimuendee Klop kwa kutufanya tulivyo leo, Slot angeikuta kama alivyoikuta Klop sidhani kama angeiwezaWe are supporting slot
But it is too early to dump klopp
Sasa unadhani Liverpool utashindwa kubeba kikombe chochote eti kisa Trent hayupo??π π π π Nani anaadika hizi meseji ππ...
Umedukuliwa ama.
YNWA
Hakika jamaa ni wazalendo mno kwao United comes 1st mengine baadae... Keane ni ishu jamaa hana bla bla he call a spade a spade and a spoon a spoon... Buts it's life huwezi ukawa masta wa kila jambo na wenyewe washajua hivyo na kutulia na upundits wao.. Kutudiss ni jambo la kawaida na wapainzani nk nk ukiwakuta na Carragher studio utacheka ufe....Hii class of 96 wanajikuta sana ma godfather wanaijua utd na wanaitakia mema utd, wakiongozwa Neville na Keane. Ila nachompendea Keane hana kona kona ananyoosha tu,
Huyu Rooney aliichukua derby count akaishusha daraja (but hapa ilikuwa controversial kwake anaweza asibebe lawama kubwa, baada ya zile points deduction 12 points, ila kwa timu iliyokuwa ikifanya vizuri wasingeshuka kwa sababu alikuwa na mechi kadhaa angeshinda tu asingeshuka.
Akaenda Birmingham City, huku sasa napo akawaporosha by stats from 1.24 points per game wakashuka mpaka 0.67 points per game. January wakamtimu.
Kidogo Carrick anajitahidi na Middlesbrough yake.
Hapo uwakute wakiisema Utd ya sasa, wakimchambua ETH, utasema makocha si hawa hapaβ¦
Ynwaβ
ππππTutaelewana tu Miss Liverpool. Hakuna aliezaidi ya timu.Sasa unadhani Liverpool utashindwa kubeba kikombe chochote eti kisa Trent hayupo??
Angekuwa VVD na Mohamed engine za timu tungesema sawa.