Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Roney alipo mchangani anakiona cha moto...

YNWA

Rooney anaupenda ukocha ila ukocha haumpendi”,. Kila timu anayoenda huko ni majanga tu, anawashusha daraja au awatoe top ten.

Wachezaji wengi wa zamani wa kiingereza wana struggle sana kwenye ukocha. Neville na Valencia yake aliiongoza mechi 28, akashinda 10 akadraw 7 na kufungwa 11,..

Scholes alienda Oldham akakaa mwezi akajiondokea,
Halafu kama umegundua ile Class 96 ya united upande wa ukocha wanachapika.

Ynwa’
 
Aafu wana mdomo sana the so called class of 96 yaani kwa kweli kwenye ukocha hawana chao kabisa...
Rooney duh anatia huruma ingekua vyema aanze huko chini ya championship labda mbinu zake kule itafaa lakini kwingine kote mmh ni vipigo tu.

YNWA
 
IMG-20241021-WA0006.jpg

🔥 🔥 🔥 Ni 1 game wonder ama he is just getting started haha... Let's see.

YNWA
 
Aafu wana mdomo sana the so called class of 96 yaani kwa kweli kwenye ukocha hawana chao kabisa...
Rooney duh anatia huruma ingekua vyema aanze huko chini ya championship labda mbinu zake kule itafaa lakini kwingine kote mmh ni vipigo tu.

YNWA

Hii class of 96 wanajikuta sana ma godfather wanaijua utd na wanaitakia mema utd, wakiongozwa Neville na Keane. Ila nachompendea Keane hana kona kona ananyoosha tu,

Huyu Rooney aliichukua derby count akaishusha daraja (but hapa ilikuwa controversial kwake anaweza asibebe lawama kubwa, baada ya zile points deduction 12 points, ila kwa timu iliyokuwa ikifanya vizuri wasingeshuka kwa sababu alikuwa na mechi kadhaa angeshinda tu asingeshuka.

Akaenda Birmingham City, huku sasa napo akawaporosha by stats from 1.24 points per game wakashuka mpaka 0.67 points per game. January wakamtimu.

Kidogo Carrick anajitahidi na Middlesbrough yake.

Hapo uwakute wakiisema Utd ya sasa, wakimchambua ETH, utasema makocha si hawa hapa…

Ynwa’
 
View attachment 3133438
[emoji91] [emoji91] [emoji91] Ni 1 game wonder ama he is just getting started haha... Let's see.

YNWA

Heheh Amin wachezaji wote ila Jones atakuvua nguo,

Ni Mr. Confidence huyu.
Kipaji anacho, uwezo anao, tatizo sasa

Kwenye consistence ndio mtihani, na Changamoto yake kubwa nyingine jamaa ana hana uwiano mzuri wa kimaamuzi kati ya miguu na akili yake, wapi nipige, wapi niache 1, 2, wapi nipige long ball, wapi ni hold mpira hajui. Game vs CFC lile goli la offside la Gakpo angeamua mapema kumpa Salah pande lingekuwa goli.

Ndio maana hawa watoto wa malkia wanaweza kukupa hata good one season na usijue walienda wapi.

Unamkumbuka Delle Ali? Reece Oxford jamaa kutoka London alikipiga Westham je?

Ynwa’
 
Hii class of 96 wanajikuta sana ma godfather wanaijua utd na wanaitakia mema utd, wakiongozwa Neville na Keane. Ila nachompendea Keane hana kona kona ananyoosha tu,

Huyu Rooney aliichukua derby count akaishusha daraja (but hapa ilikuwa controversial kwake anaweza asibebe lawama kubwa, baada ya zile points deduction 12 points, ila kwa timu iliyokuwa ikifanya vizuri wasingeshuka kwa sababu alikuwa na mechi kadhaa angeshinda tu asingeshuka.

Akaenda Birmingham City, huku sasa napo akawaporosha by stats from 1.24 points per game wakashuka mpaka 0.67 points per game. January wakamtimu.

Kidogo Carrick anajitahidi na Middlesbrough yake.

Hapo uwakute wakiisema Utd ya sasa, wakimchambua ETH, utasema makocha si hawa hapa…

Ynwa’
Hakika jamaa ni wazalendo mno kwao United comes 1st mengine baadae... Keane ni ishu jamaa hana bla bla he call a spade a spade and a spoon a spoon... Buts it's life huwezi ukawa masta wa kila jambo na wenyewe washajua hivyo na kutulia na upundits wao.. Kutudiss ni jambo la kawaida na wapainzani nk nk ukiwakuta na Carragher studio utacheka ufe....
Carrick kwa sasa ana pambana aisee kuisaka tena nafasi wapande EPL...

YNWA
 
Sasa unadhani Liverpool utashindwa kubeba kikombe chochote eti kisa Trent hayupo??
Angekuwa VVD na Mohamed engine za timu tungesema sawa.
😂😂😂😂Tutaelewana tu Miss Liverpool. Hakuna aliezaidi ya timu.
Mshahara anaopata wa £180k kwa wiki kwa beki na perfect range hivyo wampe angalau 200k apoe.

YNWA
 
Back
Top Bottom