BR katunyima raha makusudi kwa muda mrefu sana!!Mpe SG free role na nyuma yake acheze Lucas/Can yyt tunamchapa popote paleWell done SG,there is where you should always be playing....
Tuwekee mapenzi pembeni babu SG ameisha leo tuna cheza 4-4-2 diamond na babu ndo yupo kwenye tip ya diamond hakuna creativity kwenye final third
Yaani namshukuru MUNGU kwa kutuwezesha liverpool kupata ushindi wa 2 mfululizo......natumaini tutaendelea vivyo hivo mpaka mwaka mpya......maana nilikua hoi mpaka basi...BWANA amesikia dua zetu....za kuomba G8 arudishwe kwenye namba yake aliyozoea.YNWA.