Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hiki kitt kishajiona staa imekua tabu tu cjui ndo nn kuchwza pekeako
 
Hahahahahahaha!!!

LFC bhanaaa!!!

next stop: Sunderland at Anfield...
 
SG kwenye role yake pendwaaaa!!

Lazima akufurahisheeeee!!!

Fundi wa kiingereza huyo!!

CAPTAIN FANTASTIC!!

hahahahahahahahah!!!


dimba la CHINI hapo kakaa yuleeeee LUCAS LEIVA wa 2008/2009...

hahahahahaha!!!!
 
Kwa wale Mashabiki wa Livepool tuombe BR andelee kuwa kocha wa Liverpool, Liverpool aliyokuwa anaofikiria inakaribia kuwa kweli..Alipomnunua Kolo Toure wa watu walodiss, but Kolo has Improved,Tazama kiwango cha Lambert mechi 4 zilizopita ni bora ukilinganisha na hapo mwanzo.. Amini Lallana+ Markovic+Can+Origi+Sterling+Coutinho+Henderson+Toure+Sturridge Chini Ya BR Dunia itasimama
 
Well done SG,there is where you should always be playing....
BR katunyima raha makusudi kwa muda mrefu sana!!Mpe SG free role na nyuma yake acheze Lucas/Can yyt tunamchapa popote pale

Anyway hatuchelewa bado tumeshinda leo kiurahisi kabisa!Sunderland Jumamosi nampiga na Basel namtandika na qualify CL
 
Tuwekee mapenzi pembeni babu SG ameisha leo tuna cheza 4-4-2 diamond na babu ndo yupo kwenye tip ya diamond hakuna creativity kwenye final third

Baada ya dakika 90 bado unasimamia kauli yako kama SG kaisha so ampishe Coutihno?

SG huwa anatuinua mioyo yetu siku tunayo hitaji tuinuliwe kama ya leo!Viva fundi wa Uingereza
 
Yaani namshukuru MUNGU kwa kutuwezesha liverpool kupata ushindi wa 2 mfululizo......natumaini tutaendelea vivyo hivo mpaka mwaka mpya......maana nilikua hoi mpaka basi...BWANA amesikia dua zetu....za kuomba G8 arudishwe kwenye namba yake aliyozoea.YNWA.
 
Yaani namshukuru MUNGU kwa kutuwezesha liverpool kupata ushindi wa 2 mfululizo......natumaini tutaendelea vivyo hivo mpaka mwaka mpya......maana nilikua hoi mpaka basi...BWANA amesikia dua zetu....za kuomba G8 arudishwe kwenye namba yake aliyozoea.YNWA.

Kuna madai kuwa BR hapatani na SG na hata leo SG alipo ulizwa kama ata renew mkataba wake kasema hawezi sema lolote
 
Back
Top Bottom